DK. KAMANI AFUNGUA SEMINA KUHUSU MAKABILA YA ASILI
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi , Dk Titus Kamani akifungua semina ya siku mbili ya kimataifa inayozungumzia makabila ya asili, haki zao na namna ya kuboresha maisha na mifumo ya chakula . Semina hiyo inayofanyika Hoteli ya Kunduchi jijini Dar es Salaam inajiandaa kwa kongamano la dunia nzima kuhusiana na jamii za asili ambalo litafanyika Roma Italia, Februari 2015.Mwakilishi Shirika la Kimataifa la maendeleo ya Kilimo, IFAD, Bw.Francisco Pichon akisisitiza jambo wakati wa kongamano...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog16 Dec
Kamani afungua semina kuhusu makabila ya asili
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi , Dk Titus Kamani akifungua semina ya siku mbili ya kimataifa inayozungumzia makabila ya asili, haki zao na namna ya kuboresha maisha na mifumo ya chakula . Semina hiyo inayofanyika Hoteli ya Kunduchi jijini Dar es Salaam inajiandaa kwa kongamano la dunia nzima kuhusiana na jamii za asili ambalo litafanyika Roma Italia, Februari 2015.(PICHA NA PHILEMON SOLOMON).
Mwakilishi Shirika la Kimataifa la maendeleo ya Kilimo, IFAD, Bw.Francisco Pichon...
10 years ago
MichuziDk. KAMANI AFUNGUA SEMINA YA PPF NA WAVUVI - UKEREWE
10 years ago
MichuziWAZIRI KAMANI AFUNGUA SEMINA YA VIONGOZI WA WAVUVI WILAYANI UKEREWE
"Ndugu Meneja wa Kanda, napenda kuupongeza Mfuko wa Pensheni wa PPF ambao unatekeleza mojawapo ya sera zake ya kuhakikisha sekta isiyo rasmi inafikiwa kama ilivyo kwa sekta nyingine za uchumi hapa nchini. Hii itaongeza pato la Taifa hivyo kuzidi kuboresha maendeleo ya Watanzania kwa ujumla na kupunguza umaskini. Napenda kuwaambia kuwa kwa kuandaa semina hii muhimu katika eneo ambalo mimi mwenyewe nalisimamia imenipa faraja sana kwa kuona jinsi Mfuko huu wa PPF unavyowajali sekta zote za...
10 years ago
MichuziNaibu Waziri Kitwanga afungua semina kuhusu matumizi ya gesi asilia nchini
10 years ago
Dewji Blog07 May
Waziri wa Afya afungua semina kwa waandishi wa habari kuhusu usalama wa chakula
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Rashid Seif (kushoto), akihutubia wakati akifungua semina ya siku moja kwa waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu usalama wa chakula. Kulia ni Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), nchini Tanzania, Dk.Rufaro Chatora.
Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), nchini Tanzania, Dk.Rufaro Chatora akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina hiyo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donan Mmbando (kushoto),...
9 years ago
MichuziDKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA SABA WA KIMATAFA KUHUSU NAMNA YA KUZUWIA MAGONJWA YA ASILI NA ULEMAVU KATIKA NCH ZINAZOLEA
10 years ago
VijimamboWAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII DK.RASHID SEIF AFUNGUA SEMINA KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU USALAMA WA CHAKULA
10 years ago
GPLWAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII DK.RASHID SEIF AFUNGUA SEMINA KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU USALAMA WA CHAKULA
11 years ago
MichuziOle Naiko afungua semina ya mafunzo ya wajasiriamali
Mlezi wa Asasi ya Diana Women Empowerment Organization ambaye pia Balozi wa Heshima wa Botswana nchini Tanzania, Bw. Emanuel Ole Naiko kati akifungua semina ya mafunzo ya wajasiriamali ambao ni wanachama wa asasi hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kulia ni Mwenyekiti wa taifa wa asasi hiyo, Bi. Farida Khakoo na kushoto ni Katibu wa Taifa wa asasi hiyo, Bi. Joyce Singano. Mlezi wa Asasi ya Diana Women Empowerment Organizationambaye pia Balozi wa Heshima wa Botswana nchini...