Ole Naiko afungua semina ya mafunzo ya wajasiriamali
![](http://3.bp.blogspot.com/-Wyfeb5vivME/U2Z_PG4L_RI/AAAAAAAFfYk/8d_av9DAJsw/s72-c/unnamed+(73).jpg)
Mlezi wa Asasi ya Diana Women Empowerment Organization ambaye pia Balozi wa Heshima wa Botswana nchini Tanzania, Bw. Emanuel Ole Naiko kati akifungua semina ya mafunzo ya wajasiriamali ambao ni wanachama wa asasi hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kulia ni Mwenyekiti wa taifa wa asasi hiyo, Bi. Farida Khakoo na kushoto ni Katibu wa Taifa wa asasi hiyo, Bi. Joyce Singano.
Mlezi wa Asasi ya Diana Women Empowerment Organizationambaye pia Balozi wa Heshima wa Botswana nchini...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
TheCitizen02 Dec
Ole Naiko speaks out on his share of escrow billions
10 years ago
Mwananchi02 Dec
Ole Naiko ajitetea: Sikujua kama nimewekewa mamilioni
11 years ago
TheCitizen05 May
Ole Naiko lauds establishment of Mkoba Private Equity Fund in TZ
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-hwEeqCyyzdPctKapq*U0B49N9M-6Nn7LOjs3meWzxNLToVTa5q55292OSEiKPwXONa2nq3wZ0*huuIvdgJ1*xPJB8MgCzcZ/elimuyaujasiliamalikwawote.jpg?width=650)
WAJASIRIAMALI NCHINI KUNUFAIKA NA SEMINA MAHSUSI
11 years ago
Tanzania Daima06 Jul
NMB yaahidi semina zaidi kwa wajasiriamali
BENKI ya NMB imesema itaendelea kuendesha semina ya mikopo kwa wajasiriamali ili kuwajengea uwezo wa elimu ya kuziendeleza biashara zao. Hayo yalisemwa na mkuu wa kitengo cha mikopo kwa wajasiriamali...
10 years ago
Vijimambo23 Dec
TPB yaendesha semina kwa wajasiriamali mkoani Mbeya
![Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini, Profesa Norman Sigallah (aliyesimama) akizungumza akifungua semina kwa ajasiriamali iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mtenda Sunset mjini Mbeya.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_0121.jpg)
![Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini, Profesa Norman Sigallah akizungumza akifungua semina kwa ajasiriamali iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mtenda Sunset mjini Mbeya.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_0095.jpg)
![Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta, Sabasaba Moshingi akizungumza katika semina kwa ajasiriamali iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mtenda Sunset mjini Mbeya.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_00451.jpg)
![Baadhi ya wajasiriamali wakiwa katika semina hiyo iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mtenda Sunset mjini Mbeya.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_0019.jpg)
10 years ago
GPL![](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_0121.jpg)
TPB YAENDESHA SEMINA KWA WAJASIRIAMALI MKOANI MBEYA
10 years ago
Mwananchi12 Mar
Umuhimu wa mafunzo kwa wajasiriamali
11 years ago
Mwananchi21 Jul
Wajasiriamali wasaidiwa mafunzo, vifaa Moshi