Ole Naiko ajitetea: Sikujua kama nimewekewa mamilioni
Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Emmanuel Ole Naiko amesema hadi anatajwa kuwa miongoni mwa watu waliomegewa mamilioni ya shilingi yanayohusishwa na sakata la IPTL, hakuwa na taarifa kama akaunti yake katika Benki ya Mkombozi iliingiziwa Sh40.4 milioni.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Wyfeb5vivME/U2Z_PG4L_RI/AAAAAAAFfYk/8d_av9DAJsw/s72-c/unnamed+(73).jpg)
Ole Naiko afungua semina ya mafunzo ya wajasiriamali
![](http://3.bp.blogspot.com/-Wyfeb5vivME/U2Z_PG4L_RI/AAAAAAAFfYk/8d_av9DAJsw/s1600/unnamed+(73).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-P1MnANR0W0Y/U2Z_QE0dLzI/AAAAAAAFfYs/gOJM6oEouRQ/s1600/unnamed+(74).jpg)
10 years ago
TheCitizen02 Dec
Ole Naiko speaks out on his share of escrow billions
11 years ago
TheCitizen05 May
Ole Naiko lauds establishment of Mkoba Private Equity Fund in TZ
10 years ago
Bongo Movies15 Apr
Hii Ndio Show na Kauli ya Mwisho ya Sharo, Sikujua Kwanini Alitaka Tufanye Kazi na Stanbakora-KITALE
Show ya mwisho kufanya na marehemu sharo ilikuwa mwembe yanga show ya DTV nakumbuka ilikuwa inaitwa "NI WAKATI WAKO" baada ya hapo kesho asubuhi tukaenda tanga kushuti movie yetu hii (Safara Hasara) ambayo 20/04/2015 ndio inatoka tukamaliza kushuti salama salimini tukarudi DAR usiku napigiwa simu na marehemu sajuki anataka niende kwenye show yake iringa CHANGIA SAJUKI tarehe 25/11/2012 akabaki kwa sababu alikuwa katoka magomeni kaamia sinza ana siku mbili bado mgeni sinza basi mimi nikafanya...
10 years ago
TheCitizen22 Jan
Naiko downplays ‘role’ in escrow saga
9 years ago
Habarileo02 Oct
Nyosso ajitetea
MCHEZAJI wa timu ya Mbeya City, Juma Said maarufu Nyosso amekitaka Chama cha Wachezaji wa Soka Tanzania (SPUTANZA), kumsaidia katika kupata haki yake. Beki huyo wa kati amefungiwa na Kamati ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) saa 72 inayofuatilia mwenendo wa Ligi Kuu na Ligi Daraja la Kwanza kutokana na kitendo cha utovu wa nidhamu alichoonesha katika mchezo wa timu yake hiyo dhidi ya Azam FC kwenye Uwanja wa Azam Complex hivi karibuni.
11 years ago
Tanzania Daima23 Dec
Kaseja ajitetea
KIPA wa Yanga, Juma Kaseja, amejitetea na kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa Simba katika mechi ya Nani Mtani Jembe, akisema ni hali ya kimchezo. Akizungumza baada ya mechi hiyo...
11 years ago
Tanzania Daima11 Jul
Cassim Mganga ajitetea
NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Kassim Mganga ‘Cassim’ amesema alishindwa kusambaza video ya wimbo wake wa ‘I Love You’ kutokana na audio kufanya vizuri na kutamba kila kona....
10 years ago
Uhuru Newspaper11 Sep
Yona ajitetea, amtaja Mkapa
Na mwandishi wetu
ALIYEKUWA Waziri wa Nishati na Madini, Daniel Yona, ameileza mahakama kuwa mchakato wa kumpata mkaguzi wa madini ya dhahabu ulifuata utaratibu zote na kusimamiwa na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Yona ambaye jana alipanda katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuanza kujitetea, alidai mwaka 2002 kulikuwa na malalamiko mengi kuhusu mapato ya dhahabu iliyokuwa ikichimbwa na kampuni tano za kigeni.
Akiongozwa na wakili wake Elisa Msuya mbele ya Jopo linaloongozwa na Jaji...