Kiongera amkuna Kerr, atua Z’bar
KOCHA wa Simba Dylan Kerr, amesema amefurahishwa na usajili wa mshambuliaji wa kimataifa wa Kenya, Paul Kiongera.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo27 Nov
Streka mpya Simba amkuna Kerr
KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr, amesema mshambuliaji mpya wa timu hiyo Haji Ungando anaweza kuibeba Simba. Kutokana na hali hiyo amemtaka mchezaji huyo pamoja na Issa Said, Danny Lyanga na Abdi Banda watambue wana majukumu makubwa ndani ya kikosi hicho.
9 years ago
Mwananchi21 Dec
Kocha Kerr amkingia kifua Kiongera
Dylan Kerr amewataka mashabiki wa timu hiyo kumpa muda mshambuliaji wake, Raphael Kiongera kutokana na kiwango alichokionyesha katika mechi dhidi ya Toto Africans.
11 years ago
GPLMkenya mchana nyavu atua Simba atua
Kiungo mshambuliaji mpya wa Simba, Mkenya, Modo Kiongera, Na Hans Mloli
MSIMBAZI noma! Hatimaye kiungo mshambuliaji mpya wa Simba, Mkenya, Modo Kiongera, ametua nchini jana Jumapili tayari kwa kumalizana na Simba, lakini kikubwa amedai kwamba anaisubiri Yanga. Kiongera, ambaye msimu uliopita alikuwa akiichezea Kenya Commercial Bank (KCB) ya Kenya, anatarajiwa kusaidiana na Amissi Tambwe kuhakikisha Simba inakuwa na safu imara...
10 years ago
GPLTAMASHA LA MUZIKI MNENE BAR KWA BAR KUENDELEA KIVINGINE
Meneja Mkuu wa Mawasiliano wa kituo cha Redio cha EFM,  Denis Ssebo (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habri Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu  kuendelea kufanyika kwa Tamasha la Muziki Bar kwa Bar baada ya kumalizika kwa tamasha hilo kwa awamu ya kwanza. Kulia ni Mtangazaji, Dina Marios. Na Dotto Mwaibale KITUO cha Redio cha EFM kimeamua kuendelea kufanya tamasha la muziki Bar kwa Bar baada ya kumalizika...
10 years ago
MichuziEFM WAANDAA TAMASHA LA PILI LA MUZIKI MNENE BAR KWA BAR
Meneja Mkuu wa Mawasiliano wa kituo cha Redio cha EFM, Denis Ssebo (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu kuendelea kufanyika kwa Tamasha la Muziki Bar kwa Bar baada ya kumalizika kwa tamasha hilo kwa awamu ya kwanza. Kulia ni Mtangazaji, Dina Marios. Mtangazaji, Dina Marios akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu kuendelea kufanyika kwa Tamasha la Muziki Bar kwa Bar baada ya kumalizika kwa tamasha...
10 years ago
Michuzilibeneke la Muziki mnene bar kwa bar la 93.7 EFM ndani ka kibaha
Wana 93.7 EFM wakipata ytaswira na mashabiki wa EFM maeneo ya Kibaha kuwashukuru na kuwatunza kuwapa zawadi kwa kusikiliza vipindi vya kituo hicho cha redio kinachotamba nchini, ikiwa ni maandalizi ya ujio wa libeneke la Muziki mnene bar kwa bar. Bango la MUZIKI MNENE lilionekana maeneo ya mjini Kibaha, lilowekwa na mmoja wa mashabiki wa EFM Radio 93.7.
10 years ago
VijimamboTAMASHA LA MUZIKI MNENE BAR KWA BAR KUENDELEA KIVINGINE
Meneja Mkuu wa Mawasiliano wa kituo cha Redio cha EFM, Denis Ssebo (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habri Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu kuendelea kufanyika kwa Tamasha la Muziki Bar kwa Bar baada ya kumalizika kwa tamasha hilo kwa awamu ya kwanza. Kulia ni Mtangazaji, Dina Marios.
Na Dotto Mwaibale
KITUO cha Redio cha EFM kimeamua kuendelea kufanya tamasha la muziki Bar kwa Bar baada ya kumalizika kwa tamasha hilo kwa awamu ya kwanza.
Hayo yalibainishwa na Meneja Mkuu...
Na Dotto Mwaibale
KITUO cha Redio cha EFM kimeamua kuendelea kufanya tamasha la muziki Bar kwa Bar baada ya kumalizika kwa tamasha hilo kwa awamu ya kwanza.
Hayo yalibainishwa na Meneja Mkuu...
9 years ago
MichuziTAMASHA LA MUZIKI MNENE BAR KWA BAR KUFANYIKA JUMAMOSI MKURANGA MKOANI PWANI
Ofisa Habari wa Kituo cha Redio cha EFM, Samira Sadiq (kushoto), akizungumza na wanahabari (hawapo pichani), kabla ya kumkaribisha Meneja wa Mawasiliano wa redio hiyo kuzungumza na waandishi wa habari kuhusu tamasha la muziki mnene bar kwa bar litakaloanza kesho kutwa Jumamosi, Agosti 5, 2015 Mkuranga mkoani Pwani. Kulia ni Meneja Usambazaji na Mauzo wa Kampuni ya Simu ya Smart, Haidari Chamshama na katikati ni Meneja wa Mawasiliano wa EFM Redio, Denis Ssebo. Kampuni ya simu ya Smart...
9 years ago
GPLEFM KUTOA MUZIKI MNENE BAR KWA BAR
BAADA ya kumalizika kwa Tamasha la muziki mnene Mtaa kwa Mtaa awamu ya kwanza, (Muziki mnene bango) ambapo mashabiki na wasikilizaji wengi wa EFM wamejishindia zawadi kabambe, Sasa ni zamu ya wapenzi wa burudani na mambo ya party. Muziki mnene bar kwa bar ni tukio ambalo lina wakutanisha wasikilizaji na mashabiki wa EFM na wakali wa EFM kutoka wilaya za kinondoni, Ilala na Temeke katika mkoa wa Dar er Salaam, na kwa sasa Muziki...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania