Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kiongozi China kushawishi uwekezaji kwenye umeme

MAKAMU wa Rais wa China, Li Yuanchao ameahidi kuzishawishi kampuni za China, kuwekeza katika eneo la uzalishaji umeme na usambazaji, ili kuongeza kiwango cha uzalishaji na upatikanaji umeme nchini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Tanzania na China kuendeleza ushirikiano kwenye Sekta ya Uwekezaji na Viwanda

Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Rajabu Gamaha akizungumza wakati wa mkutano kati yake na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje ya China, Balozi Liu Songtian (hayupo pichani). Balozi Liu na ujumbe wake wapo nchini kwa ajili ya kufuatilia masuala ya uwekezaji na maendeleo ya viwanda Tanzania ikiwa ni miongoni mwa nchi tatu za Afrika zilizochaguliwa na China kwa ajili ya kuwa mfano katika uwekezaji na maendeleo ya viwanda....

 

11 years ago

Michuzi

makamu wa rais wa china,Li Yuanchao afungua mkutano wa uwekezaji kati ya tanzania na china jijini Dar leo

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Makamu wa Rais wa China, Li Yuanchao wakitazama picha za ziara ya hayati Baba wa taifa Mwalimu Julius Nyerere kabla ya mgeni huyo kufungua mkutano wa Uwekezaji kati ya Tanzania na China kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Dar es salaam  Juni 23, 3014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akimkabidhi zawadi ya kinyago, Makamu wa Rais wa China, Li Yuanchao  kabla ya mgeni huyo kufungua mkutano wa Uwekezaji kati ya Tanzania na China...

 

9 years ago

Dewji Blog

Tanzania kunufaika na uwekezaji wa mabilioni ya Marekani katika umeme

8E9U5151-702298

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo na Mtendaji Mkuu na Mtawala Mkuu wa zamani wa Shirika la Maendeleo ya Misaada ya Kimataifa la Marekani (USAID), Bwana Raj Shah. (Picha na Maktaba).

*Ni moja ya nchi tatu tu za Afrika zitakazonufaika kwa sasa

*India nayo italengwa na mpango huo wa sekta binafsi

*Walioubuni wasema umasikini haufutiki bila umeme wa kutosha

Tanzania ni moja ya nchi tatu tu za Afrika ambazo zitanufaika na uwekezaji wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

EPZA yashawishi China maeneo ya uwekezaji

WAWEKEZAJI kutoka China wameshawishiwa kuwekeza katika maeneo ya Mamlaka ya Ukanda Maalumu wa Uwekezaji nchini (EPZA) ambayo yameshatengwa kwa ajili hiyo katika mikoa mbalimbali. Mkurugenzi Mkuu wa EPZA, Dk. Adelhelm...

 

9 years ago

Mwananchi

Uwekezaji wa China Tanzania wafikia Sh9.5 trilioni

Kiwango cha uwekezaji wa kampuni za China katika uchumi wa Tanzania kimezidi kukua hadi kufikia Dola 4.3 bilioni za Marekani (Sh9.5 trilioni), tangu mwaka 2006.

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania na China kuendeleza ushirikiano katika Maeneo Maalum ya Uwekezaji

Mkurugenzi wa Eneo la Mamlaka ya Ukanda Maalum wa Uwekezaji (EPZA) nchini, Kanali Mstaafu Joseph Simbakalia akizungumza na Bw. Li Xuhang, Naibu Mkuu wa masuala ya Siasa katika Ubalozi wa China hapa nchini kuhusu mikakati ya Serikali ya Tanzanania katika kuhamasisha uwekezaji nchini katika Maeneo Maalum na kuimarisha ushirikiano na Serikali ya China katika masuala ya uwekezaji kwenye Maeneo Maalum. Mazungumzo yao yalifanyika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.Ujumbe kutoka...

 

9 years ago

Michuzi

KIONGOZI MKUU WA CHINA ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA TAIFA JIJINI DAR

Makamu Mwenyekiti wa Chama Tawala cha Nchini China Mh ZHANG PING akiwa kwenye ukumbi wa Historia wa Makumbusho na Nyumba ya Utamani Dar es Salaam.Makamu Mwenyekiti wa Chama Tawala cha Nchini China Mh ZHANG PING katikati akiwa kwenye ukumbi wa Sanaa wa Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Dar es Salaam.Makamu Mwenyekiti wa Chama Tawala cha Nchini China Mh ZHANG PING watatu kushoto akiwa kwenye chumba mahususi akipewa maelezo na Dr Amandus Kweka ya fuvu la Zinjanthropus lililopo Makumbusho na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kikwete asaidie uwekezaji kwenye mchezo wa riadha

KATIKA miaka ya 1980, aliyekuwa Rais wa Kenya, Daniel Arap Moi, aliyepokea kijiti kutoka kwa Mwasisi wa Taifa hilo, Jomo Kenyatta, aliutazama mchezo wa riadha na kubaini, ulihitaji mageuzi makubwa...

 

11 years ago

Habarileo

Dk Bilal ahimiza uwekezaji kwenye sayansi, teknolojia

Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal amesema nchi za Afrika haziwezi kuendelea pasipo kuwekeza kwenye masomo ya sayansi na teknolojia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani