Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kipanya chaua kumi Mbeya

WIMBI la ajali katika mlima Mbalizi mkoani hapa, limeendelea kushika kasi baada ya ajali nyingine iliyohusisha basi dogo (Kipanya), na lori na kusababisha vifo vya watu kumi na kujeruhi saba,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

‘Kipanya’ chaua watu 10

Watu kumi akiwemo mama na mwanawe wamekufa na wengine wanane kujeruhiwa baada ya gari aina ya Toyota Hiace waliyokuwa wanasafiria kugongana na lori katika mji mdogo wa Mbalizi, Wilaya ya Mbeya Vijijini.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Kipanya’ chaua tisa na kujeruhi

Watu tisa wamefariki dunia na wengine tisa kujeruhiwa kwenye ajali iliyotokea eneo la Buhangija, Manispaa ya Shinyanga baada ya gari dogo la abiria maarufu ‘kipanya’ walilokuwa wamepanda kupoteza mwelekeo na kupanda tuta la barabara na kisha kupinduka mara tatu kabla ya kutumbukia kwenye mtaro.

 

9 years ago

Mwananchi

Kipindupindu chaua Mbeya, sita walazwa

Mtu mmoja amefariki dunia na wengine sita kulazwa katika Hospitali ya Makandana wilayani Rungwe Mkoa wa Mbeya kwa kuugua kipindupindu.

 

10 years ago

StarTV

Wanafunzi elfu kumi wakatisha masomo Mbeya.

Na Mkombe Zanda

Mbeya.

Wanafunzi 10,881 wa shule za Msingi na Sekondari mkoani Mbeya wameacha masomo mwaka 2014 kutokana na sababu mbalimbali utoro ukitajwa kuongoza kukatisha masomo ya wanafunzi hao.

 

Hali hiyo imesababisha mkoa wa Mbeya kufaulisha asilimia 47 pekee ya wanafunzi waliofanya mtihani wa darasa la saba mwaka 2014 hivyo kushindwa kufikia kiwango cha ufaulu kitaifa ambacho ni asilimia 70 chini ya Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa, BRN.

o que fazer viagra para homens

 

Idadi...

 

9 years ago

Vijimambo

UNICEF YAKABIDHI MAGARI KUMI( 10) YA KUBEBEA WAGONJWA MKOANI MBEYA

Mwakilishi wa Shirika la Kimataifa la Unicef Dkt Jama Gulaid akitoa hotuba katika sherehe ya makabidhiano ya magari ya kubebea  wagonjwa Mkoa wa Mbeya15 Octobar  2015Mratibu wa Huduma za Afya ya Uzazi na Mtoto Ndugu Prisca Butuyuyu akitoa taarifa ya huduma za Afya ya Uzazi na Mtoto katika Mkoa wa Mbeya kwenye hafla fupi ya makabidhiano ya magari ya kubebea wagonjwa 15 Octobar 2015.Mwakilishi UNICEF Dkt Jama Gulaid kulia akimkabidhi Kaimu katibu Tawala Mkoa wa Mbeya Ndugu Kastro Msigala...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: WATU KUMI WAFARIKI DUNIA NA WENGINE SABA KUJERUHIWA KATIKA AJALI YA GARI JIJINI MBEYA LEO

WATU kumi wakiwemo watoto wawili wamefariki dunia papo hapo na wengine saba wamejeruhiwa vibaya katika ajali iliyohusisha magari mawili.
Ajali hiyo ilitokea jana majira ya saa nne asubuhi ikihusisha gari ndogo ya abiria maarufu daladala lenye namba za usajili T 237 BFB aina Toyota Hiace na gari kubwa aina ya Fuso lenye namba za usajili T 158 CSV.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo wamesema ajali hiyo ilitokea maeneo ya Mbalizi baada ya Hiace iliyokuwa ikitokea Mbeya mjini kuelekea...

 

10 years ago

Michuzi

WATU KUMI NA TANO WAJERUHIWA KATIKA AJALI ILIYOHUSISHA MAGARI MATATU KATIKA BARABARA YA NJOMBE/MBEYA

WATU KUMI NA TANO WAJERUHIWA KATIKA AJALI ILIYOHUSISHA BASI LA ABIRIA MALI YA KAMPUNI YA TAQWA LENYE NAMBA ZA USAJILI T.791 BZR AINA YA NISSAN LILILOKUWA LIKIENDESHWA NA DEREVA AITWAYE SALUMU SELEMANI (45) MKAZI WA D’SALAAM KULIGONGA GARI LENYE NAMBA ZA USAJILI T.778 CAN ISUZU FTR LIKIENDESHWA NA DEREVA AITWAYE EDWIN LUYENGA (40) NA KISHA KUGONGA KWA NYUMA GARI T.565 CVB/T.836 BBC AINA YA MAN LILILOKUWA LIMEHARIBIKA NA KUEGESHWA.
AJALI HIYO IMETOKEA MNAMO TAREHE 10.05.2015 MAJIRA YA SAA 20:10...

 

11 years ago

Dewji Blog

Ratiba Bunge la Kumi, Mkutano wa Kumi na Tano

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akifunga Bunge  leo twasira ya muono wa Mandhari ilivyokuwa.

Ratiba Ya Mkutano Wa 15 Wa Bunge New by moblog

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani