Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kipenga cha kumrithi Mgimwa chapulizwa

Mgombea ubunge wa Jimbo la Kalenga kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Grace Tendega jana alichukua kwa mbwembwe fomu ya kuwania kiti hicho, huku msafara wenye magari na pikipiki ukizuiwa na polisi mkoani hapa kwa madai ya kutokuwa na ruhusa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

CCM yabariki Mgimwa kumrithi baba yake

Wakati Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM ikimpitisha Godfrey Mgimwa (32) kuwa mgombea wa chama hicho Jimbo la Kalenga, mkoani Iringa, Kamati Kuu ya Chadema inakutana keshokutwa kuteua jina la mgombea wake.

 

9 years ago

Mwananchi

Kipenga cha kampeni kimepulizwa

Hatimaye kipenya cha kampeni za uchaguzi mkuu kimepulizwa leo wakati wagombea, vyama na mawakala wao watakapotumia siku zisizopungua 63 kujinadi na kunadi vyama vyao, huku wasomi wakitaka wagombea wajikite katika kueleza ni kwa jinsi gani watarekebisha uchumi, elimu, afya, utawala bora, mapambano dhidi ya ufisadi na amani.

 

9 years ago

StarTV

Leo ni leo Kipenga cha kampeni kimepulizwa.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva akitangaza kuanza kwa kampeni za vyama vya siasa vilivyosimamisha wagombea wa urais, ubunge na udiwani. Kushoto ni makamu mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu Hamid Mahmoud Hamid na mkurugenzi wa uchaguzi, Kailima Kombwey.   Picha na Anthony Siame   Hatimaye kipenga cha kampeni za uchaguzi mkuu kimepulizwa leo wakati wagombea, vyama na mawakala wao watakapotumia siku zisizopungua 63 kujinadi na kunadi vyama vyao, huku wasomi...

 

11 years ago

Mwananchi

Sababu kifo cha Mgimwa yatajwa

>Wakati mwili wa Waziri wa Fedha, Dk William Mgimwa ukitarajiwa kuzikwa leo, Serikali imesema kilichosababisha  kifo chake ni ugonjwa wa figo.

 

11 years ago

GPL

KIFO CHA WAZIRI MGIMWA, KWA NINI...

Na Mwandishi Wetu
WAKATI taifa likiwa katika msiba kufuatia kifo cha Waziri wa Fedha, Mipango na Uchumi, Dk. William Mgimwa, wananchi wameitaka serikali kueleza kwa nini kwa kipindi chote cha kuumwa kwake, ugonjwa uliomuua ulifanywa siri. Marehemu Dk. William Mgimwa. Waziri Mgimwa alifariki dunia Jumatano (juzi) saa 5:20 asubuhi kwa saa za Afrika Kusini (Tanzania saa 6:20) katika Hospitali ya Mediclinic Klooff jijini...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Kifo cha Mgimwa pengo sekta ya fedha’

MKURUGENZI Mtendaji wa Benki ya Biashara ya CRDB, Dk. Charles Kimei, amesema kifo cha Waziri wa Fedha na Uchumi, William Mgimwa, kimeacha pengo kwenye sekta ya fedha. Dk. Kimei alitoa...

 

11 years ago

GPL

CHADEMA WAOMBOLEZA KIFO CHA DKT WILLIAM MGIMWA

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimepokea kwa mshtuko na majonzi makubwa taarifa za kifo cha Waziri wa Fedha na Uchumi na Mbunge wa Kalenga, Dkt. William Mgimwa ambaye amefariki akiwa kwenye matibabu Afrika Kusini. Kwa masikitiko makubwa CHADEMA kinatuma salaam za pole kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete kwa kuondokewa na msaidizi wake wa karibu na mtumishi mwenzake serikalini. Chama kinatoa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani