Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kipenga cha kampeni kimepulizwa

Hatimaye kipenya cha kampeni za uchaguzi mkuu kimepulizwa leo wakati wagombea, vyama na mawakala wao watakapotumia siku zisizopungua 63 kujinadi na kunadi vyama vyao, huku wasomi wakitaka wagombea wajikite katika kueleza ni kwa jinsi gani watarekebisha uchumi, elimu, afya, utawala bora, mapambano dhidi ya ufisadi na amani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Leo ni leo Kipenga cha kampeni kimepulizwa.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva akitangaza kuanza kwa kampeni za vyama vya siasa vilivyosimamisha wagombea wa urais, ubunge na udiwani. Kushoto ni makamu mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu Hamid Mahmoud Hamid na mkurugenzi wa uchaguzi, Kailima Kombwey.   Picha na Anthony Siame   Hatimaye kipenga cha kampeni za uchaguzi mkuu kimepulizwa leo wakati wagombea, vyama na mawakala wao watakapotumia siku zisizopungua 63 kujinadi na kunadi vyama vyao, huku wasomi...

 

11 years ago

Mwananchi

Kipenga cha kumrithi Mgimwa chapulizwa

Mgombea ubunge wa Jimbo la Kalenga kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Grace Tendega jana alichukua kwa mbwembwe fomu ya kuwania kiti hicho, huku msafara wenye magari na pikipiki ukizuiwa na polisi mkoani hapa kwa madai ya kutokuwa na ruhusa.

 

10 years ago

Michuzi

KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU CHATOA TAARIFA KUHUSU AWAMU YA PILI YA KAMPENI YA KUSAMBAZA UELEWA WA RASIMU YA PILI-KAMPENI GOGOTA

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, Dk.Helen Kijo-Bisimba (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, wakati akitoa taarifa kuhusu awamu ya pili ya kampeni ya kusambaza uelewa wa rasimu ya pili (Kampeni Gogota). Kulia ni Mratibu wa Dawati la Katiba wa kituo hicho, Anna Henga na Mwanasheria wa Kituo hicho, Harold Sungusia.
Wanahabari wakiwa kwenye mkutano huo.
Picha/Habari na Dotto Mwaibale
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu...

 

10 years ago

Habarileo

Kipenga CCM kupulizwa Juni

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Mbunge wa Jimbo la Same Magharibi, David Mathayo wakishiriki ujenzi wa madarasa ya Shule ya Sekondari ya Kata ya Njoro wakati wa ziara yake jimboni humo juzi. (Picha na Adam Mzee).FILIMBI kwa ajili ya kuanza kampeni za kuwania kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi za udiwani, ubunge na urais, itapulizwa rasmi Juni mwaka huu.

 

10 years ago

Mtanzania

NCCR-Mageuzi yapuliza kipenga

mosenaJonas Mushi na Adamu Mkwepu, Dar es Salaam
CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimetoa ratiba kwa wanachama wake kuchukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Ratiba hiyo ilitangazwa jana na Katibu Mkuu wa NCCR Mageuzi, Mosena Nyambabe, katika mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika makao makuu ya chama hicho.
Alisema wanachama wenye sifa kwa mujibu wa katiba ya NCCR- Mageuzi pamoja na ile ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wana haki ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Nkongo kushika kipenga mechi ya Simba, Yanga

Mwamuzi wa kimataifa wa Tanzania, Israel Nkongo anatarajiwa kuchezesha pambano la watani wa jadi, Simba na Yanga Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

9 years ago

Mwananchi

Tuepuke ajali hizi kipindi cha lala salama cha kampeni

Vyombo mbalimbali vya habari nchini jana vilisheheni habari ya vifo vya watu wanne akiwamo aliyekuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Ludewa mkoani Njombe, Deo Filikunjombe. Vifo hivyo vilitokana na ajali ya helikopta iliyoanguka kwenye mbuga ya Selous Alhamisi usiku, walipokuwa safarini wakitoka Dar es Salaam kwenda Ludewa.

 

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE KATIKA CHAKULA CHA JIONI CHA KAMPENI ZA KUPAMBANA NA UTUMIKISHWAJI WA WATOTO

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizungumza wakati wa chakula cha jioni cha kampeni za kupambana na utumikishwaji wa mtoto hapa Tanzania kilichoandaliwa na International Rescue Committee kwenye Hoteli ya Serena tarehe 5.9.2014.Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizindua rasmi kampeni ya kadi nyekundu katika kupambana na utumikishwaji wa mtoto hapa Tanzania wakati wa chakula cha jioni kilichoandaliwa na International Rescue Committee katika Hoteli ya Serena tarehe 5.9.2014.Mke wa Rais Mama Salma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani