Kipenga CCM kupulizwa Juni
FILIMBI kwa ajili ya kuanza kampeni za kuwania kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi za udiwani, ubunge na urais, itapulizwa rasmi Juni mwaka huu.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL10 years ago
Mtanzania21 Feb
NCCR-Mageuzi yapuliza kipenga
Jonas Mushi na Adamu Mkwepu, Dar es Salaam
CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimetoa ratiba kwa wanachama wake kuchukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Ratiba hiyo ilitangazwa jana na Katibu Mkuu wa NCCR Mageuzi, Mosena Nyambabe, katika mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika makao makuu ya chama hicho.
Alisema wanachama wenye sifa kwa mujibu wa katiba ya NCCR- Mageuzi pamoja na ile ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wana haki ya...
9 years ago
Mwananchi22 Aug
Kipenga cha kampeni kimepulizwa
11 years ago
Mwananchi18 Feb
Kipenga cha kumrithi Mgimwa chapulizwa
9 years ago
Mwananchi23 Sep
Nkongo kushika kipenga mechi ya Simba, Yanga
9 years ago
StarTV22 Aug
Leo ni leo Kipenga cha kampeni kimepulizwa.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva akitangaza kuanza kwa kampeni za vyama vya siasa vilivyosimamisha wagombea wa urais, ubunge na udiwani. Kushoto ni makamu mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu Hamid Mahmoud Hamid na mkurugenzi wa uchaguzi, Kailima Kombwey. Picha na Anthony Siame Hatimaye kipenga cha kampeni za uchaguzi mkuu kimepulizwa leo wakati wagombea, vyama na mawakala wao watakapotumia siku zisizopungua 63 kujinadi na kunadi vyama vyao, huku wasomi...