Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIPINDI CHA "MIMI NA TANZANIA" CHAWASHUKURU WATANZANIA KWA KUCHANGIA MATIBABU YA BI. ZUHURA MATATA

10311052_1940774076061511_5395068416549286320_nPichani ni Zuhura Matata mgonjwa mwenye uhitaji wa upasuaji utakaofanyika nchini India.
Kipindi cha “Mimi na Tanzania” kinachoongozwa na mrembo aliyewahi kushika taji Miss Tanzania mwaka 1999 Hoyce Temu, kinatoa shukrani kwa watanzania wote walioguswa na kufanikisha michango ya matibabu ya Zuhura Matata mwenye tatizo la kuvimba mguu ambao unahitaji Oparesheni nchini India.Kupitia Akaunti yake ya mtandao wa kijamii Facebook muongozaji wa kipindi hicho Hoyce Temu ameandikia ujumbe wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Kipindi cha “Mimi na Tanzania” chawashukuru watanzania kwa kuchangia matibabu

10311052_1940774076061511_5395068416549286320_n

Pichani ni Zuhura Matata mgonjwa mwenye uhitaji wa upasuaji  utakaofanyika nchini India.

Kipindi cha “Mimi na Tanzania” kinachoongozwa na mrembo aliyewahi kushika taji Miss Tanzania mwaka 1999 Hoyce Temu, kinatoa shukrani kwa watanzania wote walioguswa na kufanikisha michango ya matibabu ya Zuhura Matata mwenye tatizo la kuvimba mguu ambao unahitaji Oparesheni nchini India.

Kupitia Akaunti yake ya mtandao wa kijamii Facebook muongozaji wa kipindi hicho Hoyce Temu ameandikia ujumbe wa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kipindi cha “Mimi na Tanzania” chavuka mipaka ya Tanzania, safari ni ndani ya jiji la Washington DC

IMG-20140725-WA0004

Pichani ni Mtangazaji anayeongoza Kipindi cha ‘Mimi na Tanzania’ Hoyce Temu aliyewahi kushika taji Miss Tanzania mwaka 1999 akiwa nje ya Ubalozi wetu wa Tanzania nchini Marekani mara baada ya kuwasili ambapo alimua kufunga safari kwa ajili ya kufanya mazungumzo maalum na Balozi wetu wa Tanzania nchini Marekani Mh. Liberata Mulamula.

IMG-20140725-WA0006

Mtangazaji wa Kipindi cha Mimi na Tanzania Hoyce Temu akitia saini kitabu cha wageni kwenye Ubalozi wetu wa Tanzania nchini Marekani.

IMG-20140725-WA0005

Hapa akiwa mapokezi ya...

 

11 years ago

Michuzi

9 years ago

Bongo5

Hofu ya wasanii wengine kutoa kazi zao kipindi cha uchaguzi imenipa mimi uwanja wa kujidai — Belle 9

Wasanii wengi wa Bongo wamesitisha kutoa kazi zao katika kipindi hiki cha uchaguzi kwa kuhofia kuzipoteza kwa kumezwa na kampeni za siasa, lakini Belle 9 aliamua kujitosa na kutoa video yake mpya ‘Shauri Zao’ wiki iliyopita. Belle 9 ameiambia Bongo 5 kuwa hajutii kutoa video katika kipindi hiki kwasababu kutokana na wasanii wengi kuogopa kutoa […]

 

10 years ago

GPL

TBC KUANZISHA KIPINDI CHA MAISHA YA WATANZANIA WALIO UGHAIBUNI

Kaimu Mkurugenzi wa TBC ,Rosemary Jairo,  akizungumza jambo.  Kulia ni Juma Hashim (kulia) na wa kwanza kushoto ni Edna Rajabu.Meneja Huduma wa TBC, Edna Rajabu,  akijibu maswali yaliyoulizwa na…

 

11 years ago

GPL

KIPINDI CHA MASWALI NA MAJIBU KATI YA RAIS KIKWETE NA WATANZANIA, WASHINGTON DC

Mhe. Rais Dk Jakaya Kikwete akijibu maswali ya waTanzania. Usiku wa Agosti 2, 2014, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk Jakaya Mrisho Kikwete alikutana na waTanzania katika hoteli ya Marriot jijini Washington DC
Baada ya hotuba yake, Mhe. Rais aliruhusu maswali kutoka kwa waTanzania hao
Na haya, ndiyo yaliyoulizwa kwake.
Karibu… ...

 

11 years ago

GPL

KIPINDI CHA MASWALI NA MAJIBU KATI YA RAIS KIKWETE NA WATANZANIA, WASHINGTON DC‏

Mhe. Rais Dk Jakaya Kikwete akijibu maswali ya waTanzania Usiku wa Agosti 2, 2014, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk Jakaya Mrisho Kikwete alikutana na watanzania katika hoteli ya Marriot jijini Washington DC Baada ya hotuba yake, Mhe. Rais aliruhusu maswali kutoka kwa watanzania hao Na haya, ndiyo yaliyoulizwa kwake.
Karibu…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani