Kipindu pindu chaua wawili Dar es Salaam
UGONJWA wa kipindupindu umeripotiwa katika Jiji la Dar es Salaam na watu wawili wamethibitika kufa. Wengine zaidi ya 30 wamelazwa katika hospitali za Mwananyamala na Sinza zilizopo Manispaa ya Kinondoni.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi30 Sep
Kipindupindu chaua 36 Dar es Salaam
9 years ago
Mtanzania04 Nov
Kipindupindu chaua wawili Dodoma
WATU wawili wamefariki dunia na wengine zaidi ya 120 wamelazwa katika vituo vya kutolea huduma ya kwanza katika wilaya tano za Mkoa wa Dodoma kutokana na ugonjwa wa kipindupindu.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Ofisa Afya wa Mkoa wa Dodoma, Edward Ganja alisema watu wawili wamefariki dunia kutokana na ugonjwa huo katika Wilaya ya Kongwa.
Ugonjwa wa kipindupindu umeripotiwa kuingia mkoani hapa tangu Septemba mwaka huu katika wilaya za Kongwa, Chamwino, Bahi, Manispaa ya...
10 years ago
Mwananchi31 Jan
Kimbunga chaua wawili, 30 wajeruhiwa kisiwani Goziba
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/e_XL4gbiblg/default.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-9XO0iVqomug/VMKw78ONDQI/AAAAAAAG_NM/3pctYRSdRBI/s72-c/unnamed%2B(1).jpg)
BREAKING NEWZZZZZ: majambazi wawili wauwawa katika jaribio la kupora pesa kariakoo, Dar es salaam usiku huu
![](http://2.bp.blogspot.com/-9XO0iVqomug/VMKw78ONDQI/AAAAAAAG_NM/3pctYRSdRBI/s1600/unnamed%2B(1).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-hF70Av9Mx6Y/VMKw8PkcR0I/AAAAAAAG_NQ/VJITQghw-7E/s1600/unnamed.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-YhWXHTkyD9Y/UvjhMYPwBKI/AAAAAAAFMMU/akwMx1PmcZI/s72-c/download.jpg)
news alert: wawili wahukumiwa faini shilingi milioni 15 ama jela miaka 15 kwa ujenzi wa jengo la ghorofa 18 jijini dar es salaam
![](http://2.bp.blogspot.com/-YhWXHTkyD9Y/UvjhMYPwBKI/AAAAAAAFMMU/akwMx1PmcZI/s1600/download.jpg)
Washtakiwa hao ni aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), Makumba Kimweri na aliyekuwa Msanifu Mkuu wake Richard Maliyaga (55) wote wakazi wa jijini Dar es Salaam.
Akisoma hukumu hiyo Hakimu Mkazi Sundi...
9 years ago
Mwananchi19 Aug
Kipindupindu chaua mwingine Dar
11 years ago
Habarileo06 Apr
Kifusi chaua watu watatu Dar
WATU watatu wamekufa katika machimbo ya mawe eneo la Bunju Kilungule baada ya gema kukatika na kuwafunika. Watu hao ni Juma Mohamed (25) utingo wa lori, Juma Ngulumbai (45) opereta wa karasha na Ally Msalaga(45) dalali wote wakazi wa Bunju. Tukio hilo lilitokea Aprili 4 saa 5:00 asubuhi.
9 years ago
Vijimambo27 Aug
Kipindupindu Dar chaua 10, wagonjwa sasa wafikia 65
Nipashe ilitembelea katika Kambi ya Mburahati wilayani Kinondoni jana na kushuhudia madaktari na wauguzi wakiendelea kutoa matibabu.
Akizungumza na gazeti hili msimamizi wa kambi hiyo, ambaye pia ni Mratibu wa Mafunzo Idara ya Afya Wilaya ya Kinondoni, Alfred Ngowi, alisema hadi...