Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KISIKI UKAWA KUPATA MGOMBEA NI HIKI

Viongozi wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA). Na Ojuku Abraham WAKATI Watanzania wakiwa makini kusikiliza jina la mgombea wa nafasi ya urais kutoka vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ambaye atapambana na Dk. John Magufuli wa CCM, habari zinasema kizingiti kikubwa cha kumpata mtu huyo ni mvutano mkubwa uliopo baina ya vyama viwili vya CUF na Chadema, Uwazi Mizengwe linakutaarifu.....Soma...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA MWENZA WA UKAWA AMNADI MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KISARAWE RASHID MWISHEHE "KINGWENDU"



 Mgombea Mwenza wa Ukawa Juma Duni Haji akipokea kadi ya CCM kutoka kwa mwanachama wa chama hicho, Kasim Msham aliyekihama na kujiunga na CUF katika kijiji cha Nanjilinji Mkoa wa Lindi. (Picha na Francis Dande)Kadi za CCM zilizorudishwa na wanachama wa Chama hicho na kujiunga na CUF katika kijiji cha Nanjilinjimkoa wa Lindi.
 Umati wa watu ukiwa katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi Majengo wilayani Bagamoyo. Umati wa watu ukiwa katika mkutano wa kampeni...

 

10 years ago

Michuzi

UPDATES YA UKAWA USIKU HUU: MGOMBEA URAIS WA UKAWA KUTANGAZWA NDANI YA SIKU SABA

Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA umesema kuwa mgombea wao wa Urais watamtoa baada ya siku saba.
Akizungumza na Waandishi wa Habari usiku huu,Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi,Mh.James Mbatia amesema kuwa kuchukua muda mrefu kwa kikao hicho imetokana na kuandaa utaratibu jinsi ya kumtoa mwali wao  wa Urais kwa tiketi ya UKAWA aliye bora.Amesema kuwa mkutano huo pia umechukua muda mrefu  kutokana na mambo mengi ikiwemo mgawanyo wa majimbo.
Afisa Habari wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

 

9 years ago

Raia Mwema

Hiki ndicho chanzo cha Ukawa

SEHEMU ya misingi ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano, ya 1977, inasema: “Kwa kuwa sisi wananchi wa

Joseph Mihangwa

 

10 years ago

Mwananchi

ADC yaanza mchakato wa kupata mgombea urais

Chama cha ADC kimeanza mchakato wa kumpata mgombea wa urais katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25.

 

10 years ago

Mwananchi

Ukawa kupata ‘warithi’ bungeni

Baadhi ya Wajumbe wa Bunge la Katiba wamejiandaa kuwarithi wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), ambao katika awamu ya kwanza walikuwa vinara wa maoni ya wachache.

 

10 years ago

Mwananchi

Mgombea ‘wa nne’ aivuruga Ukawa

>Wakati wa hali ya sintofahamu ikiwa imetawala uteuzi wa mgombea atakayeungwa mkono na vyama vinne vya upinzani, imebainika kuwa mzozo unaochelewesha suala hilo ni mgombea ambaye Chadema haijamuweka bayana.

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge wa Ukawa kuchagua mgombea urais

Dar es Salaam. Hatimaye leo wabunge wote wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wanakutana na viongozi wao wa jijini hapa kumchagua mgombea urais atakayeviwakilisha vyama hivyo katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25.

 

10 years ago

Mwananchi

Lubuva: Mgombea mmoja ukawa sawa

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), Jaji Damian Lubuva amesema mpango wa vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wa kusimamisha mgombea mmoja katika Uchaguzi Mkuu mwakani ni halali kisheria.

 

10 years ago

Vijimambo

Ukawa waungwa mkono mgombea mmoja

Baada ya vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kukubaliana kumsimamisha mgombea mmoja wa urais katika uchaguzi mkuu mwakani, baadhi ya wasomi na viongozi wa asasi za kiraia wameunga mkono hatua hiyo.

Aliyekuwa mjumbe wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Prof. Mwesiga Baregu, alisema lengo la kuundwa kwa Ukawa lilikuwa ni kuunganisha nguvu kusaidia mchakato wa kupatikana kwa katiba mpya ambayo alidai kupinduliwa.

Prof. Baregu, alisema maazimio ya Ukawa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani