Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KISIWA CHA MANHATTAN NEW YORK CITY

Hili ndiyo jiji la wasilolala New York City muonekano wa vikwangua anga vyake wakati wa usiku, Manhattan ni kisiwa kilichozungukwa na maji upande wa West Side ni Hudson River, upande wa East side ni East Side River, South Side ni Bahari na North ni Harlem River.
Kwaiyo kuingia Manhattan unaitaji kuvuka maji njia za kuvuka maji hayo mi Tunnel na Bridge. Upande wa East Manhattan imepakana na Queens, Upande kwa South ni Brooklyn upande wa North ni Bronx na West ni New Jersey. New York ina...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

Curious on Tanzania Launches Tanzania Culture Fest in New York City On September 5, 2015 experience Tanzania in New York City with a cultural evening of food and live entertainment that will inspire and fulfill your curiosities about Tanzania.


Curious on Tanzania Launches Tanzania Culture Fest in New York City On September 5, 2015 experience Tanzania in New York City with a cultural evening of food and live entertainment that will inspire and fulfill your curiosities about Tanzania. 

The idea behind the Fest is to celebrate Tanzanian culture with Tanzanians, taste makers, previous/ future travelers and others who are curious to know more or experience our culture and more. Some of the highlight of the event will be Tanzanian...

 

10 years ago

Vijimambo

MAMA WA UPENDO, KISIWA CHA IMANI

Mwanadamu ulizaliwa katika hisia za kulia  ukiwa kichanga mwenye uchafu Asili ya upendo ipo kwa mama ulipofumbua macho ulikutana na tabasamu la mama.

Mama alitabasamu wakati unalia mama alijifanya uchizi ili kukufurahisha ghafla ungetokea kuwaona mtoto anapocheza na mama yake ungelidhani wote ni watoto kwa mapenzi ya mama.

Mwanadamu tambua unaweza umizwa na wengi lakini upendo wa mama ukakufanya utulie na hakuna mapenzi ya kweli kwa mtu kama mapenzi ya mama.

Mama juu yako baya likikukuta mama...

 

10 years ago

Habarileo

‘Kisiwa cha Pemba si sehemu ya Kenya’

SERIKALI imekanusha madai yanayosambazwa na vyombo vya habari vya Kenya kwamba Kisiwa cha Pemba ni sehemu ya Kenya.

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI KILUMANGA ATEMBELEA KISIWA CHA ANJOUAN

Mhe. Chabaka Kilumanga, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoro amefanya ziara katika Kisiwa cha Anjouan. Akiwa Anjouan Mhe. Balozi Kilumanga alipata fursa ya kukutana na kufanya mazungumzo na Gavana wa Kisiwa hicho Mhe. Aniss Chamsudine kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Kisiwa cha Anjouan na baadhi ya Mikoa ya Tanzania, hususan katika nyanja za elimu na uwekezaji.  Baadaye, Mhe. Balozi alitembelea maeneo mbalimbali ya kisiwa hicho na kujionea vivutio vya...

 

9 years ago

Habarileo

Watano wafariki Kisiwa cha Ilugwa kwa kuhara

WATU watano wakazi wa Kisiwa cha Ilugwa wilaya ya Ukerewe, Mwanza wamepoteza maisha baada ya kuugua ugonjwa wa kuhara na kutapika, huku ikielezwa kuwepo kwa upungufu wa dawa na wataalamu.

 

11 years ago

Mwananchi

Kisiwa cha Robben; jela ya Mandela alikoishi miaka 17

Nchini Afrika Kusini, hakuna eneo la kivutio cha kitalii linalotembelewa na wageni wengi kama Kisiwa cha Robben. Umaarufu wa eneo hili umekuwa ukiongezeka mwaka mpaka mwaka.

 

11 years ago

Michuzi

MANDHARI ZA KUVUTIA KUZUNGUKA HIFADHI YA TAIFA YA KISIWA CHA SAANANE

KISIWA CHA SAANANE NI MOJA KATI YA VIVUTIO  VILIVYOKO CHINI YA HIFADHI ZA TAIFA ,TANZANIA (TANAPA) ,TIZAMA MANDHARI ZA KUVUTIA KUZUNGUKA HIFADHI HIYO ILIYOKO JIJINI MWANZA. Video imepigwa na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Kisiwa cha Changuu Z`bar chakodishwa kwa `bei chee`

Waziri wa zamani wa Utalii Biashara na Uwekezaji Zanzibar, Samia Suluhu Hassan(Mgombea mwenza wa Magufuli) Kisiwa cha utalii cha Changuu, kilikodishwa kwa ‘ bei chee’ na kampuni ya Leizure Hotel Limited, ripoti ya Kamati ya Baraza […]

The post Kisiwa cha Changuu Z`bar chakodishwa kwa `bei chee` appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

StarTV

Wakazi wa kisiwa cha Pemba waishukuru Serikali Kwakuleta miradi ya maendeleo

Wakazi wa Kisiwa cha Pemba wameiomba Serikali kuweka mifereji kwenye barabara iliyotengenezwa kwa msaada wa Mfuko wa Maendeleo ya Changamoto za Millenia MCC unaofadhiliwa na watu wa Marekani. Wakazi hao pia wameishukuru Serikali kwa juhudi zilizooneshwa za ujenzi wa barabara pamoja na mradi wa maendeleo uliokamilika.

Hata hivyo wasema bado wanakabiliwa na changamoto kubwa ya mvua inaponyesha ambapo maji hutiririka katika nyumba zao na hivyo hushindwa kuishi kwa amani kutokana na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani