Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watano wafariki Kisiwa cha Ilugwa kwa kuhara

WATU watano wakazi wa Kisiwa cha Ilugwa wilaya ya Ukerewe, Mwanza wamepoteza maisha baada ya kuugua ugonjwa wa kuhara na kutapika, huku ikielezwa kuwepo kwa upungufu wa dawa na wataalamu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Kisiwa cha Changuu Z`bar chakodishwa kwa `bei chee`

Waziri wa zamani wa Utalii Biashara na Uwekezaji Zanzibar, Samia Suluhu Hassan(Mgombea mwenza wa Magufuli) Kisiwa cha utalii cha Changuu, kilikodishwa kwa ‘ bei chee’ na kampuni ya Leizure Hotel Limited, ripoti ya Kamati ya Baraza […]

The post Kisiwa cha Changuu Z`bar chakodishwa kwa `bei chee` appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Mwananchi

Wanafunzi watano wafariki dunia Mtwara

Wanafunzi watano wa Sekondari ya Mustapha Sabodo, Kijiji cha Msijute, Wilaya ya Mtwara Vijijini, wamekufa baada ya kugongwa na gari wakikimbia mchakamchaka eneo la shule.

 

10 years ago

Michuzi

WAWILI WAFARIKI, WATANO WAJERUHIWA AJALINI

Na John Gagarini, Kibaha
WATU wawili wamefariki dunia na wengine watano wamejeruhiwa baada ya magari mawili likiwemo basi dogo la abiria waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso.
Kwa mujibu wa kaimu kamanda wa polisi mkoani Pwani Athuman mwambalaswa alisema kuwa tukio hilo lilihusisha gari aina ya Coaster likitokea kwenye msiba Musoma kwenda Jijini Dar es Salaam na kugongana na lori la mafuta.
Kamanda Mwambalaswa alisema kuwa ajali hiyo ilitokea Septemba 17 mwaka huu majira ya saa 12:15...

 

9 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi watano wa Nato wafariki Afghanistan

Watu watano, wakiwemo wanajeshi wawili wa angani wa Uingereza, wamefariki baada ya helikopta ya Nato kuanguka Afghanistan.

 

9 years ago

StarTV

Wachimbaji wadogo watano wafariki Geita

Wachimbaji wadogo watano wamefariki dunia baada ya kufukiwa na vifusi katika maeneo ya Mgusu na Nyanza mkoani Geita.

Matukio hayo yametokea kwa nyakati tofauti ambapo wachimbaji kumi waliingia eneo la Nyanza majira ya saa tisa novemba 28 na wakiwa katika harakati za uchimbaji wakaangukiwa na kifusi huku usiku wa novemba 29 tukio hilo limetokea mgusu na kusababisha wachimbaji hao kufariki.

Maeneo ya Nyanza na Mgusu wanayoingia wachimbaji wadogo kwa ajili ya kujitafutia dhahabu yako chini ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Watano wafariki ajali ya basi Handeni

Watu watano wamekufa hapo hapo na wengine 39 kujeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Matro walilokuwa wakisafiria kutoka Rombo kwenda Dar Es Salaam kuacha njia na kupinduka  katika Kijiji cha Manga kata ya Mazingara wilayani Handeni.

 

5 years ago

CCM Blog

WANAFUZI WATANO WAFARIKI BAADA YA KUGONGWA NA GARI

   Wanafunzi watano wa shule ya msingi Ndelenyuma,Ruvuma wamefariki Dunia na mmoja amejeruhiwa baada ya kugongwa na Land Cruiser lililokuwa likitokea Songea kwenda Madaba, Gari hilo liliacha njia na kuwagonga wanafunzi kisha likapinduka, Dereva aliyefahamika kwa jina moja la Salum ametoroka.

“Chanzo cha ajali iliyoua wanafunzi watano ni mwendo kasi wa Dereva wa Land Cruiser, hakujali mvua na utelezi, Gari likamshinda na kuwagonga Watoto pembezoni mwa Barabara wakadondokea mtaroni, watatu...

 

9 years ago

StarTV

Watu watano wafariki, sita wajeruhiwa Katavi

Watu  watano  wamefariki    na  wengine  sita  kujeruhiwa  katika  ajali  ya  gari  iliyokea  kijiji  cha Matandalani  wilaya  ya Mlele  mkoani  Katavi   baada  ya  gari  aina  ya NOAH   lenye  namba  T 451 DDP  ikitokea  Mpanda  mjini  Kuelekea  Sitalike   kupinduka  na  kuacha  njia.

Kamanda  wa  Polisi  mkoa  wa  Katavi  Dhahiri  Kidavashari amesema  ajali  hiyo  imetokea  majira  ya saa tano  za  asubuhi  baada  ya  gari  kupasuka  tairi  na  kupinduka  ambapo  chanzo  cha  ajali ...

 

10 years ago

CloudsFM

Watu Watano wafariki dunia wakipeleka mjamzito hospitali

WATU watano wakiwamo watatu wa familia moja wamekufa na wanne kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kupinduka.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Ulrich Matei alisema kuwa watu hao walikuwa wakimpeleka mgonjwa hospitali.

Kamanda Matei alisema kuwa tukio hilo lilitokea Januari 5 mwaka huu majira ya saa 6:30 mchana huko eneo la Fukayosi Tarafa ya Msata wilaya ya Bagamoyo.

Alisema kuwa ajali hiyo ilihusisha gari namba T 252 DCB aina...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani