Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kisonono sugu chaibuka upya Uingereza

Kisonono kinaweza kuwa moja ya magonjwa sugu, afisa mkuu wa matibabu nchini Uingereza ameonya.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

ALIEKUWA MCHUMBA WA MH SUGU AFUNGUKA NA KUSEMA KUWA MHESHIMIWA SUGU HAMJALI MTOTO WALIOZAA

Aliyekuwa mpenzi wake na mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu, Faiza Ally amemtupia mzazi mwenzake kuwa hamjali mwanae baada ya kuachana.Faiza alikuwa akiongea kwenye kipindi cha Take One cha Clouds TV ambapo alikiri kuwa kuachana na Sugu kunaendelea kumuumiza.
“Imeniathiri sana hata hailezeki,” alisema. “Naona hata nikieleza siwezi kumaliza. Imeniathiri kiasi kikubwa sana, kwa sababu na mwaka mzima kama nikipumzika kulia ni siku moja.”“Yaani inauma sana mtu ambaye ulikuwa unamuona...

 

10 years ago

Mtanzania

Kizaazaa chaibuka watoto 18 waliofungiwa Moshi

NA RODRICK MUSHI, MOSHI
ZAIDI ya raia 500 wameizingira nyumba moja iliyokuwa imewafungia ndani watoto 18 wenye umri kati ya miaka mitatu na 17 mjini Moshi.
Watoto hao inadaiwa walifungiwa kwenye nyumba hiyo yenye vyumba vinne na choo kimoja ambapo inadaiwa walikuwa wakifundishwa masomo ya dini.
Inaelezwa kuwa watoto hao walifungiwa kwenye nyumba hiyo kwa muda wa miaka mitatu, huku wakifundishwa masomo ya dini hali iliyozua hofu kwa wakazi wa Manispaa ya Moshi.
Taarifa za kuwapo kwa watoto...

 

11 years ago

GPL

MAUZAUZA IRINGA: CHUNGU CHA AJABU CHAIBUKA JUU YA KABURI KIKITOKA DAMU

Chungu cha ajabu kilichokutwa juu ya kaburi la mtoto Agnes Mlawa katika makaburi ya Makanyagio mjini Iringa  leo kikiwa  kinafoka  damu. Baada ya kufunguliwa chungu hicho ndani kulikuwa  na damu, maini na kichwa cha ndege. Wananchi wakishuhudia chungu hicho cha ajabu kilichopo kushoto karibu na jembe.…

 

11 years ago

Michuzi

KIOTA KIPYA CHA MARAHA CHAIBUKA KATIKATI YA JIJI LA DAR, UFUNGUZI RASMI JUMAMOSI

 Haya sasa wakazi wa Dar es Salaam, Shughuli imewadia kushudia club ya aina yake hapa nchini. Iko katika jingo jipya la IT PLAZA mtaa wa Ohio Street, inatazamana na PPF TOWERS. Club hii mpya inajulikana kwa jina la HIGH SPIRIT LOUNGE ambayo iko ghorofa ya 11. Parking za kumwaga mpaka underground na ulinzi wa kutosha. Fika ujionee mwenye ufunguzi rasmi Tarehe 21/6/2014 kuanzia saa tano usiku. Ma- DJ watakao kupatia burudani tosha. SOUND MPYAAAAA. Pia Kombe la Dunia utaliona katika luninga...

 

5 years ago

Michuzi

KIWANDA cha Sherlys pharmaceutical LTD chaibuka kidedea kwenye shindano la KAIZEN, kuwakilisha katika shindano la KAIZEN Afrika

KIWANDA cha Sherlys pharmaceutical LTD cha Mwenge jijini Dar es Salaam chaibuka kidedea katika shindano la nne la KAIZEN lililofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Akizungumza wakati wa kuwapa tuzo za ushindi wa kiwanda bora za KAIZEN jijini Dar es Salaam leo, Katibu Mkuu wa wizara ya Viwanda na Biashara, Riziki Shemdoe amesema kuwa kiwanda kilichoshinda kitatuwakilisha katika mashindano ya KAIZEN kwa nchi za Afrika zitakazofanyika Mwakani 2020 nchini Afrika Kusini.
"Sisis kama Sherlys...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani