Kizaazaa chaibuka watoto 18 waliofungiwa Moshi
NA RODRICK MUSHI, MOSHI
ZAIDI ya raia 500 wameizingira nyumba moja iliyokuwa imewafungia ndani watoto 18 wenye umri kati ya miaka mitatu na 17 mjini Moshi.
Watoto hao inadaiwa walifungiwa kwenye nyumba hiyo yenye vyumba vinne na choo kimoja ambapo inadaiwa walikuwa wakifundishwa masomo ya dini.
Inaelezwa kuwa watoto hao walifungiwa kwenye nyumba hiyo kwa muda wa miaka mitatu, huku wakifundishwa masomo ya dini hali iliyozua hofu kwa wakazi wa Manispaa ya Moshi.
Taarifa za kuwapo kwa watoto...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi10 Mar
Watoto 18 waliofungiwa Moshi wadai kubebeshwa matofali mgongoni
10 years ago
GPL
WATOTO 3 WALIOFUNGIWA MIAKA 10 NA MAMA YAO MWINGINE TAABANI
10 years ago
Habarileo10 Mar
‘Aliyeficha’ watoto 18 Moshi ajitetea
SIKU mbili baada ya jeshi la polisi kuvamia nyumba moja katika Kata ya Pasua katika Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, iliyotumika kuhifadhi zaidi ya watoto 18 kinyume cha utaratibu, mmiliki wa nyumba hiyo yenye vyumba vinne na choo kimoja, ameibuka na kujitetea licha ya kwamba anashikiliwa na polisi.
10 years ago
Mtanzania03 Apr
Saba wakamatwa kwa kulea watoto Moshi
NA UPENDO MOSHA, MOSHI
JESHI la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linawashikilia watu saba wanaodaiwa kuwa ni wamiliki wa vituo vitatu vilivyogundulika kuhifadhi watoto 147 kwa siri Katika Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Geofrey Kamwela, alitoa taarifa hiyo jana, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.
Alisema kwamba, watu hao wanashikiliwa kwa kosa la kulea watoto katika mazingira hatarishi na kusababisha wengine wasiendelee na masomo kinyume cha...
10 years ago
Mwananchi21 Dec
Watoto walemavu na albino moshi, walivyosaidiwa na juhudi za kibinafsi
9 years ago
BBCSwahili27 Dec
Kisonono sugu chaibuka upya Uingereza
10 years ago
Mtanzania11 May
Waliofungiwa CCM waendelea kubanwa
NA FREDY AZZAH, Dar es Salaam
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza ratiba ya vikao vya chama hicho kuanza mwezi huu ikionyesha mchakato wa kuchukua fomu za kuwania kugombea urais utafanyika wakati makada wake sita waliofungiwa wakiendelea kuwa kifungoni.
Akizungumza na MTANZANIA kwa simu jana, Katibu wa Halmashauri Kuu, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, alisema baada ya ratiba ya uchaguzi kutangazwa ndani ya chama hicho, wana CCM watatakiwa kuendelea kuheshimu taratibu na sheria za...
11 years ago
Michuzi.jpg)
Watoto wenye Ulemvu Moshi wapokea msaada wa Viti maalum vya kutembelea
10 years ago
GPL
MAKADA SITA WALIOFUNGIWA CCM SASA HURU