Kituo cha Mwenge kurudi kwa ajili ya kushusha na kupandisha abiria tu
Kituo cha Mwenge kurudi tena kwa ajili ya kushusha na abiria tu,baada ya kuhamishwa mwaka jana kuelekea kwenye kituo cha Makumbusho,Kijitonyama,zaidi msikilize Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Mh.Yusuph Mwenda akizungumzia kuhusu kurudi kwa kituo hicho ambapo magari ya abiria hayataruhusiwa kukaa kwa muda mrefu.
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziChama Cha Kutetea Abiria (CHAKUA) YAITAKA SUMATRA KUSHUSHA NAULI KWA DALADALA NA MABASI YA MIKOANI
Na Chalila Kibuda.
Chama Cha Kutetea Abiria (Chakua) kimesema kuwa kutokana na bei ya mafuta kushuka nchini nauli ya daladala na nauli ya mabasi mikoani inatakiwa kushuka kwa asilimia...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-qEMni6Z3hBE/VOUKOCZFJMI/AAAAAAAHEbQ/DsI15vPWE7c/s72-c/DSC07352.jpg)
ABIRIA WA TRENI MKOANI DODOMA KUTUMIKA KITUO KIDOGO CHA KATOSHO BADALA YA STESHENI YA TRENI YA KIGOMA KWA TRENI ZA ABIRIA KUANZIA FEBRUARI 18, 2015
![](http://2.bp.blogspot.com/-qEMni6Z3hBE/VOUKOCZFJMI/AAAAAAAHEbQ/DsI15vPWE7c/s1600/DSC07352.jpg)
Kwa mujibu wa wa taarifa ya Uongozi wa TRL lilitolewa Februari 16, 2015 uamuzi wa treni kutofika katika stesheni ya Kigoma unatokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha mjini Kigoma na hivyo kuzoa mchanga ambao umefunika tuta la reli katika eneo la stesheni ya Kigoma.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo abiria wote...
10 years ago
Dewji Blog13 Dec
Pinda ashiriki hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya maboresho ya kituo cha kulea watoto yatima cha Buhangija
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wanachama wa Umoja wa wake wa viongozi ( New Millenium Women Group) katika chakula cha jioni kilichoambatana na burudani mbalimbali kwenye ukumbi wa Kardinal Rugambwa, Oysterbay jijini Dar es salaam, Desemba 12, 2014. Chakula hicho kiliandaliwa ili kuchangisha fedha kwa ajili ya maboresho ya kituo cha kulea watoto yatima cha Buhangija mkoani Shinyanga.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya washiriki wa maonyesho ya mavazi...
10 years ago
Dewji Blog19 Jul
Mtemvu apokea msaada wa vyakula, nguo uliotolewa na kampuni ya Goodone kwa ajili ya kituo cha Yatima cha Alqam, Tandika Dar
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Good One, Wu Ya Hui (kushoto), akimkabidhi msaada wa vyakula na nguo, sabuni na vyombo Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu vilivyotolewa kwa Kituo cha Kulelea Yatima cha Darul Arqam cha Tandika, Dar es Salaam jana. Msaada huo uliombwa na mbunge huyo kwa kushirikiana na aliyewahi kuwa Makamu wa Rfais wa TFF, Athuman Nyamlani. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG)
Mtemvu akipokea sabuni kwa ajili ya kituo hicho.
Mtemvu akipoea balo la...
10 years ago
Vijimambo19 Jul
MTEMVU APOKEA MSAADA WA VYAKULA,NGUO ULIOTOLEWA NA KAMPUNI YA GOODONE KWA AJILI YA KITUO CHA YATIMA CHA ALQAM,TANDIKA DAR
(PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS / GPL)
10 years ago
GPLMTEMVU APOKEA MSAADA WA VYAKULA, NGUO ULIOTOLEWA NA KAMPUNI YA GOODONE KWA AJILI YA KITUO CHA YATIMA CHA ALQAM, TANDIKA DAR
10 years ago
MichuziAWAMU YA KWANZA YA UANDIKISHAJI WA WACHEZAJI KWA AJILI YA KUJIUNGA NA KITUO CHA MICHEZO CHA NSSF-REAL MADRID SPORTS ACADEMY WAANZA RASMI LEO
![](http://4.bp.blogspot.com/-EfMof1nH_7Y/VN8a8u-vCHI/AAAAAAABTSE/CxGu9WB8BsI/s1600/1.jpg)
11 years ago
Dewji Blog02 Jun
Baada ya mabasi kuzuiwa kituo cha Mwenge wafanyabiashara wadogo wapanga kuandamana kupinga kuweka meza zao za biashara ndani ya kituo
Abiria wakiwa wanashangaa Daladala zinapita Mwenge Bila kusimama.
Daladala zikiwa zinapita bila kusimama sehemu yoyote.
Kituo cha kwenda Tegeta , Kawe na Mbezi Beach kikiwa Kitupu Muda huu.
Kituo cha Mabasi Mwenye Cheupe hakuna hata Daladala hata moja.
Bajaji ndizo zimegeuka kuwa daladala na ni Tsh 1000 tu kwa mtu mmoja mpaka Mwenge.
Eneo ambalo Daladala zilikuwa nyingi sasa hakuna tena mabasi hayo.
Bajaji zikiendelea na Kazi.
Upande wa Mwenge kwenda Morocco Pia hakuna mabasi...