KITUO CHA SEGEREA MAGEREZA HALI NI SHWARI, WENGI WAJITOKEZA KUPIGA KURA
Wakazi wa Segerea wakiwa katika foleni kwaajili ya kuendelea na zoezi la kupiga kura katika kituo cha Magereza Segerea muda huu huku hali ya usalama ikiwa shwari kabisa Foleni ikiwa bado ndefu huku mwamko ukiwa mkubwa kwa rika zote kuanzia vijana na wakina mama na baba zoezi linaendelea vizuri mpaka sasa Blogger Josephat Lukaza akiwa katika foleni ya kupiga kura katika kituo changu cha Magereza segerea...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboKITUO CHA SEGEREA MAGEREZA HALI NI SHWARI WENGI WAJITOKEZA KUPIGA KURA
Blogger Josephat Lukaza akiwa katika foleni ya kupiga kura katika kituo changu cha Magereza segerea kwaajili ya kupiga kura kumchagua kiongozi atakayenifaaPicha zote na Josephat Lukaza wa...
9 years ago
GPLMTONI KIJICHI, MBAGALA WENGI WAJITOKEZA KUPIGA KURA KWA UTULIVU NA AMANI JIJINI DAR ES SALAAM
11 years ago
GPLWANANCHI WENGI WAJITOKEZA KUPIGA KURA KATIKA UCHAGUZI JIMBO LA KIEMBESAMAKI
9 years ago
MichuziMTONI KIJICHI, MBAGALA WENGI WAJITOKEZA KUPIGA KURA KWA UTULIVU NA AMANI JIJINI DAR ES SALAAM
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
9 years ago
GPLWENGI WAJITOKEZA KUPIGA KURA KWA AMANI NA UTULIVU VITUO VYA NZASA, KENTONI, USTAWI WA JAMII NA MPAKANI 'A' JIJINI DAR
9 years ago
Mwananchi25 Oct
Atinga kituo cha kupiga kura na kuhubiri
9 years ago
Dewji Blog25 Oct
Wakazi wa Dar Wasimamisha Shughuli Kupiga Kura, Wajitokeza kwa Wingi
Na Joachim Mushi, Dar es Salaam
WAKAZI wa maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam leo wamesimamisha...
9 years ago
Dewji Blog25 Oct
Wananchi wajitokeza kwa wingi kupiga kura maeneo mbalimbali ya Kata ya Kijitonyama jijini Dar
Wasimamizi wa uchaguzi wakiendelea kuwahudumia wananchi waliofika katika kituo cha Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kijitonyama leo jijini Dar kwa ajili ya kupiga kura.(Picha na Geofrey Adroph wa Pamoja Blog).
Mmoja wa wazee akisaidiwa na mtu wake wa karibu ili kupiga kura katika kituo cha Chuo cha Ustawi wa Jamii jijini Dar leo.
Mlemavu akisaidiwa na mtu wa karibu alipofika katika kituo cha Kenton kwa ajili ya kupiga kura.
Mmoja wa wananchi akiwa kwenye sehemu ya kupigia kura...
9 years ago
MichuziWAKAZI WA JIJI LA MBEYA WAJITOKEZA KWA WINGI KUPIGA KURA, MADUKA YAFUNGWA KUAJILI YA UCHAGUZI
Hapa ni eneo la Mwanjelwa maharufu kwa Jina la Mtaa wa kongo likiwa Pweke kuajili ya uchaguzi hakuna alie leta Biashara yake hapa siku hii ya leo.
Baadhii ya...