Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Atinga kituo cha kupiga kura na kuhubiri

Mwanaume ambaye hajafahamika jina lake, amefika kwenye kituo cha kupiga kura cha Mtoni Kijichi A, kisha akaanza kuhubiri kwa sauti kubwa akimwomba Mungu awabariki wapiga kura.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KITUO CHA SEGEREA MAGEREZA HALI NI SHWARI WENGI WAJITOKEZA KUPIGA KURA

 Wakazi wa Segerea wakiwa katika foleni kwaajili ya kuendelea na zoezi la kupiga kura katika kituo cha Magereza Segerea muda huu huku hali ya usalama ikiwa shwari kabisa Foleni ikiwa bado ndefu huku mwamko ukiwa mkubwa kwa rika zote kuanzia vijana na wakina mama na baba zoezi linaendelea vizuri mpaka sasa
 Blogger Josephat Lukaza akiwa katika  foleni ya kupiga kura katika kituo changu cha Magereza segerea kwaajili ya kupiga kura kumchagua kiongozi atakayenifaaPicha zote na Josephat Lukaza wa...

 

10 years ago

GPL

KITUO CHA SEGEREA MAGEREZA HALI NI SHWARI, WENGI WAJITOKEZA KUPIGA KURA‏


 Wakazi wa Segerea wakiwa katika foleni kwaajili ya kuendelea na zoezi la kupiga kura katika kituo cha Magereza Segerea muda huu huku hali ya usalama ikiwa shwari kabisa

 Foleni ikiwa bado ndefu huku mwamko ukiwa mkubwa kwa rika zote kuanzia vijana na wakina mama na baba zoezi linaendelea vizuri mpaka sasa

 Blogger Josephat Lukaza akiwa katika  foleni ya kupiga kura katika kituo changu cha Magereza segerea...

 

10 years ago

GPL

SAKATA LA JARIBIO LA KUUAWA, DR. SLAA ATINGA KITUO CHA POLISI

Akihojiwa na Wanahabari.     ..Slaa (kulia), akitoka katika lango kuu la kituo cha Polisi akiwa na viongozi wengine wa chama hicho.…

 

10 years ago

Vijimambo

WAZEE WA CHAMA CHA CUF KISIWANI PEMBA WATAKA KUPEWA ELIMU YA KUPIGA KURA

  Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akiwahutubia wazee wa CUF wa Wilaya nne za Pemba katika mkutano na wazee hao uliofanyika Ofisi za CUF Mkanjuni ChakeNaibu Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui akizungumza kwenye mkutano huo. (picha na Salmin Said, OMKR).  Baadhi ya wazee wa CUF kisiwani Pemba wakieleza dukuduku lao mbele ya Katibu Mkuu Maalim Seif Sharif Hamad, huko Mkanjuni Chake Chake Pemba.
Baadhi ya wazee wa CUF kisiwani Pemba wakieleza dukuduku lao mbele ya...

 

5 years ago

Michuzi

Wananchi wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika kipindi cha kupiga kura ili kupata kiongozi bora

Na Woinde Shizza, ArushaWANANCHI wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika kipindi cha kupiga kura ili kupata kiongozi bora ambaye anaweza kuiongoza serikali na kuiletea nchi maendeleo kama vile Rais Wa awamu ya tano John Magufuli alivyofanya.
Hayo yameelezwa na Mwenyekiti Wa umoja Wa jumuiya ya wazazi nchi Edmund Mundolwa wakati akiongea na wananchi, makadi wa CCM Wa halmashauri ya Meru alipofanya ziara ya kutembelea na kuona kuzindua rasmi mradi Wa Nyuki uliopo katika Kijiji cha Sakila chini...

 

10 years ago

Dewji Blog

Miaka 17 ya Kituo cha Mazoezi cha Home Gym: kutembelea wodi ya wazazi Kituo cha Afya Sinza Palestina leo Sept 19

home gymKituo cha Mazoezi cha Home Gym…

Na Andrew Chale, modewjiblog

[Dar es Salaam-Tanzania]- Kuelekea miaka 17 ya tangu kuanzishwa kwa  kituo cha Mazoezi cha Home Gym chenye maskani yake Mwenge jijini Dar es Salaam-Tanzania, uongozi wa kituo hicho unatarajia kufanya matukio makuu muhimu ikiwemo kutembelea  wodi ya akina mama katika kituo cha Afrya cha Sinza Palestina Jijini.

Akizungumza na modewjiblog, Mkurugenzi wa kituo hicho, Andrew Mangomango amebainisha kuwa, kuelekea shughuli za miaka 17 za...

 

10 years ago

Dewji Blog

Siku Nane zatolewa kuhakiki taarifa kituo cha kupigia kura

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva, akizungumza na wahariri vyombo vya habari Dar es Salaam jana. Kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume hiyo Julius Mallaba. Picha na Joseph Zablon

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva, akizungumza na wahariri vyombo vya habari Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume hiyo Julius Mallaba. 

Na Anitha Jonas-Maelezo

Tume ya Taifa ya Uchaguzi  yawaasa  wapiga kura kote nchini kuhakiki taarifa zao katika vituo vya vya kupiga kura siku nane kabla ya uchaguzi.

Hayo yamesema jana  Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva alipokuwa akizungumza katika mkutano na viongozi wa...

 

10 years ago

Michuzi

DK.SHEIN APIGA KURA KITUO CHA BUNGI WILAYA YA KATI, UNGUJA, LEO

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Dkt.Idriss Muslim Hija (kushoto) wakati alipowasili katika kituo cha kupiga kura Skuli ya Bungi msingi wilaya ya Kati Unguja leo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein  akipokea karatasi ya kupigia...

 

10 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF APIGA KURA KITUO CHA GARAGARA MTONI KIDATU UNGUJA

Na Hassan Hamad, OMKR. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amepiga kura katika kituo cha Garagara Shehia ya Mtoni Kidatu jimbo la Mtopepo. Maalim Seif ambaye pia ni Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Wananchi CUF, amepiga kura katika kituo hicho mnamo majira ya saa nne asubuhi. Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kupiga kura, Maalim Seif amesema ameridhishwa na jinsi wananchi walivyojitokeza kupiga kura, sambamba na utulivu uliokuwepo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani