Kituo cha uwekezaji Tanzania (TIC) chasajili miradi 885
Meneja Mawasiliano wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Pendo Gondwe (katikati), akieleza kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na usajili wa miradi 885 wakati wa mkutano uliofanyika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO), jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Ofisa Mwandamizi Huduma kwa Wawekezaji Kituo hicho, Patrick Chove na kulia ni Ofisa Habari wa Idara ya Habari (MAELEZO), Frank Mvungi.(Picha na Maktaba).
Frank Mvungi-Maelezo
Kituo cha uwekezaji Tanzania chasajili (TIC)...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziBODI MPYA YA KITUO CHA UWEKEZAJI NCHINI (TIC) YAZINDULIWA JIJINI DAR
5 years ago
Michuzi
TIC yahimiza uwekezaji wa Kilimo cha Chikichi
Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa kushirikiana na Kampuni ya Trolle Meesle Tanzania Limited ya Mkoani Kigoma inaandaa mafunzo kwa ajili ya kuwajengea uwezo wakulima wanachama wa vyama vinane vya ushirika vyenye wanachama 1,850 wanaojishughulisha na kilimo cha michikichi Mkoani humo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania Bw. Geoffrey Mwambe (Wa Kwanza Kushoto) akipata ufafanuzi kutoka kwa Mwekezaji wa Kampuni Trolle Meesle Tanzania Limited Bw....
11 years ago
Michuzi
KITUO CHA UWEKEZAJI CHAWAPONGEZA WAKUU WA MIKOA KATIKA JITIHADA ZAO ZA KUHAMASISHA UWEKEZAJI MIKOA YA KANDA YA ZIWA
Mikoa ambayo itashiriki katika Kongamano la Uwekezaji la Kanda ya Ziwa ni Mwanza, Geita, Mara, Simiyu, Kagera na Shinyanga Kongamano ambalo kwa pamoja litawakutanisha Wawekezaji pamoja na Serikali katika kujadili vivutio vya Uwekezaji vinavyopatikana katika mikoa hiyo ya kanda ya Ziwa.
Kituo cha Uwekezaji Kimejizatiti...
11 years ago
Tanzania Daima13 Jan
TIC kukuza uwekezaji Mtwara
KITUO cha Uwekezaji nchini (TIC) kimesema kitaendelea kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, ili kuendelea kuhamasisha na kuvutia wawekezaji wa ndani na nje ya nchi katika mkoa...
10 years ago
Michuzi
JUST IN: KITUO CHA MICHEZO CHAENDELEA KUJIZATITI Aliyekuwa Kocha kwenye Ligi Kuu ya Uingereza aja Tanzania kuongoza kituo cha vijana cha michezo

10 years ago
Michuzi
ICF na TIC Kuongeza Uwekezaji Nchini
Katika makubaliano...
5 years ago
Michuzi
Wavamizi wa maeneo ya Uwekezaji watakiwa kuondoka-TIC
Na Mwandishi wetu, Uvinza.
Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) Bw. Geoffrey Mwambe amesema ipo haja kwa watu waliovamia maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya Uwekezaji yanayomilikiwa na Kituo hicho kuondoka ili kupisha shughuli zilizotengwa kwa matumizi ya maeneo hayo.
Maeneo hayo yaliyovamiwa tayari yametengwa na Serikali kwa ajili ya uwekezaji wa kilimo kikubwa cha michikichi na kumilikishwa TIC ikiwepo shamba Na. 205 lenye ukubwa wa hekta 3,249.76 lililopo eneo la Basanza na...
11 years ago
Michuzi
TIC YAINGIA MKATABA WA MAKUBALIANO YA UWEKEZAJI NA WAKUU WA MIKOA YA KANDA YA ZIWA
