KIVAZI CHA JINI KABULA AIBU 100%
![](http://api.ning.com:80/files/YkTQKvQouuq9K7dxdTUgsd214*sFXjnpvdudV1kDT*2WathUHRI4fbUsoaei3gfsumSvCY2wY7ZK-aruHatHykVTkoNcU4SD/jinikabulacopy.jpg?width=650)
Na Gladness Mallya AIBU 100%! Mwanadada kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ amewaacha watu midomo wazi baada ya kutinga kivazi kilichomuacha wazi mwili wake. Mwanadada kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’. Jini Kabula alitinga kivazi hicho kwenye bethidei ya mtoto wa mwigizaji mwenzake, Riyama Ally ambayo aliiunganisha na ya kwake na kufanya bonge la...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Vlz-VcMBEuk5ZpjIoVID1nOBdbhR3N7SaDNeyE3QQ9gMEZ0smGtZSVI-9j2EDKT6fo5WL-8QWeagTbb*lsqbWIGwTdWN9nck/jgg.jpg?width=650)
MADAI JINI KABULA AREKODIWA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rYXJV*jyRSkY48Hq9C4Enymn9a2RPRC1qpbVttMjh*QUJXGBigDsqQ-c23HYwaCDpaJnd3cJIBvYzm*VhJbEamkpgrBeF4wU/Picture146.jpg?width=650)
JINI KABULA AMSHANGAA BUSHOKE!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/VEmjh*oDsumuk83cfZL6bNuz*kWM1tVuVRs9DtUoeK9Cj7tgZLj27QjrESXlAm*gRTMSyUZV7VvNaOiSW9S9iTjHw6FFwPws/JINI.jpg)
JINI KABULA ANASWA MTUMBANI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LXZYmTRupZ*uTMXPV5v*XoLekZsm5zUNfyWPTNbe7l6TSrWcYrDt90*4u6KUmlcbn6gde7yNOwrNedT15I9M8HSO4d*6a54Z/Bushoke.jpg)
JINI KABULA, BUSHOKE WAMWAGANA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Jlj7Yacjzg2CgKGtbLcJWK0-umoDvCrwP-19ZXRwa1blWi6hpfmkyHw5vwcLmtiue2KjrbCfD1Br533LJEZpxHsosuqnFKcb/JINI.jpg)
JINI KABULA ACHARUKA VIMINI RAMADHANI
10 years ago
Bongo Movies15 Mar
Jini Kabula Afunguka Kumpenda Mwisho
Staa wa Bongo Movies, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’amefunguka na kusema wazi kuwa anampenda staa mwenzake, Mwisho Mwampamba kwa kile alichodai kuwa ana roho nzuri, na kusisitiza kuwa kwa sasa yeye hana mahusianao ya mwanaume wa kitanzania na ieleweke hiyo.
Kabula aliyasema hayo kupitia ukurasa wake mtandaoni mara baada ya kubandika picha ya Mwisho.
“Wee ndo mchizi wangu jambazi wangu nakupendaga tu kwa roho yako mzungu wangu ndo vile ukiibukaga Tanzania nakuwaga happy....sihitaji fununu...
10 years ago
Bongo Movies14 May
Jini Kabula Atulizwa na Mpenzi Wake
Baada ya kuachana na mwanamuziki Ruta Bushoke ‘Bushoke’, staa wa Bongo Movies, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ ameibuka na kudai kwamba mpenzi wake mpya hataki aende kwenye kumbi za starehe.
Kabula bila kumtaja mpenzi wake huyo mpya, alidai kwamba amekatazwa na hatakiwi kuzungumzia habari za kwenda kwenye kumbi za starehe.
“Nimeamua kupunguza kwenda kwenye kumbi za starehe kwa sababu niko bize na mpenzi wangu na pia kwa sasa naandika filamu na nyimbo kwa ajili ya mradi wangu mpya wa hivi...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y-6c8O6EPx8POorx1CJ3YTlCkXbJWBGTqDCdqMnh3wgls64uJmrB9FP*pm7BzxV-4Ks9ZddJXTEZLWyjuZ72sAUZUh7kTsEz/ISABELA.jpg)
JINI KABULA, ISABELA WAMALIZA BIFU
9 years ago
Global Publishers30 Dec
Jini kabula amwanika wa ubani wake
Msanii wa filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’.
NA gladness mallya
MSANII wa filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ hivi karibuni alimwanika mpenzi wake kwenye mtandao wa kijamii wa WhatsApp na kuambatanisha na maneno ya kimahaba.
Jini Kabula aliweka picha ya mpenzi wake huyo ambaye hakutaka kumtaja jina huku akiambatanisha na maneno ya kimahaba na alipoulizwa kuhusu suala la ndoa alisema halipo bali ni marafiki tu.
“Huyu ni rafiki yangu sana na niliweka picha tukiwa pamoja kwenye...