Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kivumbi cha ligi kuu nchini Uingereza

Kitimtim cha ligi kuu ya England kitaendelea tena leo wakati ambapo mashabiki wa soka watapata nafasi ya kuzishuhudia timu zao.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Kivumbi cha Ligi kuu England

ligi kuu ya England itaendelea kesho wakati mashabiki duniani kote watashuhudia timu zao zikitafuta point tatu muhimu.

 

9 years ago

Michuzi

JUST IN: KITUO CHA MICHEZO CHAENDELEA KUJIZATITI Aliyekuwa Kocha kwenye Ligi Kuu ya Uingereza aja Tanzania kuongoza kituo cha vijana cha michezo

Ndugu Ray Power, ambaye amewahi kuwa Kocha wa Chama Cha Soka na mkuu wa kitengo cha mpira wa miguu katika chuo kiitwacho Central College Nottingham; ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Ufundi katika Kituo cha Vijana cha Michezo kilichopo Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam (pichani). Katika nafasi yake mpya, Ndugu Power atasimamia mafunzo na Uongozi wa kituo kipya ambacho kinategemewa kufunguliwa tarehe 19 ya Mwezi huu. Ndugu Power anachukua nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa Mkurugenzi wa...

 

11 years ago

TZToday

MSIMAMO WA LIGI KUU YA UINGEREZA

CHANZO: Barclayspremierleague.com

 

10 years ago

BBCSwahili

Matokeo ya Ligi kuu ya Uingereza

EPL-Matokeo ya mechi zilizochezwa siku ya jumamosi.

Liverpool 1 - 1 Everton

Chelsea 3 - 0 Aston Villa

Crystal Palace2 - 0Leicester

Hull 2 - 4 Man City

Man Utd 2 - 1 West Ham

Southampton 2 - 1QPR

Sunderland 0 - 0 Swansea

Arsenal 1 - 1 Tottenham

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

BBCSwahili

Mechi za ligi kuu Uingereza Jumamosi

Arsenal itachuna na Manchester United huku Chelsea na Manchester City zikikabiliana na West Brom na Swansea

 

5 years ago

BBCSwahili

Ligi kuu Uingereza kurejea tarehe 17 Juni

Ligi kuu Uingereza kurejea tarehe 17 Juni, zaidi ya miezi mitatu baada ya kuahirishwa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani