Kiwanda cha Samsung chaporwa simu 40,000 nchni Brazil
Wezi walivamia kiwanda cha simu cha Samsung nchini Brazil usiku wa Jumatatu na kuiba mali yenye thamani ya dola milioni thelathini na sita. Mali hiyo ilikuwa pamoja na simu za mkononi na komputa. Genge hilo lililokuwa limejihami vikali, liliwateka wafanyakazi wanane waliokuwa wanaodnoka kazini na kuiba vitambulisho vyao ambavyo walivitumia kuweza kuingia katika kiwanda hicho […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili08 Jul
Kiwanda cha Samsung chaporwa Brazil
Wezi walivamia kiwanda cha Samsung nchini Brazil na kuiba mali yenye thamani ya dola milioni thelathini na sita.
11 years ago
BBCSwahili14 Jul
Kiwanda cha 'Samsung' chatumikisha watoto
Samsung imepata ushahidi wa kuwatumikisha watoto kinyume na sheria katika moja ya kiwanda cha kusambaza bidhaa zake nchini China
11 years ago
Mwananchi30 Jun
Kiwanda cha nguo cha Tooku kuajiri 3,000
>Kiwanda cha Tanzania Tooku Garments Co. Ltd kinachozalisha nguo kwa ajili ya soko la Marekani kinakusudia kupanua zaidi shughuli zake na kuongeza idadi ya ajira kutoka 1,000 hadi 3,000.
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/uFUzQ5rW45Q/default.jpg)
5 years ago
Michuzi5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-rkDlSWtKUUI/XmuedqFgVzI/AAAAAAALi-k/pDTjG9naKxke3S_VbYINWLuSl9XEo-6_ACLcBGAsYHQ/s72-c/Screen%2BShot%2B2020-03-13%2Bat%2B15.04.09.png)
Tigo yaungana na Samsung kuzindua simu janja aina ya Samsung S20 Tanzania
![](https://1.bp.blogspot.com/-rkDlSWtKUUI/XmuedqFgVzI/AAAAAAALi-k/pDTjG9naKxke3S_VbYINWLuSl9XEo-6_ACLcBGAsYHQ/s640/Screen%2BShot%2B2020-03-13%2Bat%2B15.04.09.png)
Wateja watakaonunua simu hiyo watajipatia Gb78 za intaneti kwa mwaka mzima
Dar es Salaam. Machi 13, 2020. Kampuni inayoongza kwa mageuzi ya kidigitali nchini, Tigo kwa kushirikiana na Samsung Electronics wamezindua Simu janja aina ya Samsung S20 nchini Tanzania.Simu hizo tatu ni Galaxy S20, Galaxy S20+ na Galaxy S20...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Yyq9zrGrKEhPXdDWaKitqptFU0pJVjF8xaLqthdghg2dhk1CR0vvw*KKTGSdsLB6NcsrPDYVfJwf1uZ44KEkpdQxjmW2WbSo/S1.jpg)
SAMSUNG YAZINDUA SIMU MPYA GALAXY S6
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia John Mngogo akipata maelezo kutoka kwa Hy Zong Sun Seo Mkurugenzi Mtendaji wa Samsung Electronics Tanzania wakati wa uzinduzi wa simu mpya ya Samsung Galaxy S6 iliyozinduliwa jana kwenye hoteli ya Hyyat Kilimanjaro jijini Dar es salaam , Kushoto ni Sylvestre Manyara Nteere , Meneja wa Mauzo na Usambazaji. Hy Zong Sun Seo Mkurugenzi Mtendaji wa Samsung Electronics...
10 years ago
BBCSwahili16 Jul
Samsung yazindua simu nyembamba zaidi
Kampuni ya Samsung imezindua simu yake nyembamba zaidi aina ya smartphone kufikia sasa.
11 years ago
Michuzikiwanda cha nguo cha Mazava cha Morogoro chaadhimisha miaka mitano ya kiutendaji
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania