Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIMU TV: Moto Mkubwa Waibuka Kiwanda Cha TANWAT Njombe

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

Kiwanda cha Samsung chaporwa simu 40,000 nchni Brazil

Wezi walivamia kiwanda cha simu cha Samsung nchini Brazil usiku wa Jumatatu na kuiba mali yenye thamani ya dola milioni thelathini na sita. Mali hiyo ilikuwa pamoja na simu za mkononi na komputa. Genge hilo lililokuwa limejihami vikali, liliwateka wafanyakazi wanane waliokuwa wanaodnoka kazini na kuiba vitambulisho vyao ambavyo walivitumia kuweza kuingia katika kiwanda hicho […]

 

5 years ago

Press

MOTO MKUBWA WAZUKA MCHANA WA LEO KARIBU NA CHUO CHA TUMAINI (TUDARCO) Cocacola Road

img_20161110_124829

Moto mkubwa umeunguza na kuteketeza mali na majengo kwenye kampuni inayosemekana niya matairi.

img_20161110_124604

Kati ya mali zinazosemekana kuteketea ni Matairi, pikipiki na baadhi ya vifaa

img_20161110_124622

Baadhi ya Mashuhuda waliokua Eneo La tukio

img_20161110_124607

 

img_20161110_124707

 

10 years ago

Michuzi

KIWANDA CHA PAMBA AMBACHO PAMBA YAKE ILITEKETEA KWA MOTO MKOANI SHINYANGA CHAPATA BIMA YAKE TOKA UAP

Baadhi ya maafisa wa Kampuni ya Bima ya UAP wakiwa na Meneja wa Kiwanda cha JIELONG Holdings Tanzania LTD Kiki Huwa Xu (kushoto) wakitenbelea kiwanda hicho kujionea shughuli za utendaji ikiwa ni pamoja na kuzungumza na uongozi wa kiwanda hicho mara baada ya kukipatia bima ya shilingi milioni themanini (80,000,000/=)  kufuatia kuunguliwa na pamba yake katika ghala la kuhifadhia lililopo kiwandani hapo.Mwanzoni mwa mwaka huu 2015 pamba iliyokuwa imehifadhiwa kwenye moja ya maghala katika...

 

9 years ago

Mwananchi

Moto wateketeza mabanda Njombe

Moto ambao chanzo chake hakijajulikana hadi sasa umeteketeza baadhi ya mabanda ya mama lishe na mitumba karibu na kituo cha mabasi mkoani Njombe.

 

10 years ago

Michuzi

PINDA AONGOZA KIKAO CHA KUTATUA MGOGORO WA KIWANDA CHA CHAI CHA LUPONDE

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na   Ali Juma Mkangala ,mmoja washiriki wa Mkutano wa Kutatua mgogoro wa kiwanda cha chai cha Liponda kilichopo Bumbuli Tanga. Mkutano huo ulifanyika kwenye ukumbi wa Ofisi  ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga Septemba  13, 2014.Mbunge wa Mlalo, Brigedia Jenerali Mstaafu, Hassan Ngwilizi (kushoto) na Mbunge wa  Bumbuli , Januari Makamba (kulia) wakiteta na Waziri wa Kilimo , Chakula na Ushiriki Mhandisi Christopher  Chiza katika mkutano wa kutatua mgogoro wa kiwanda...

 

11 years ago

Michuzi

kiwanda cha nguo cha Mazava cha Morogoro chaadhimisha miaka mitano ya kiutendaji

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Bi. Janet Mbene (kulia) akiingia katika ukumbi kwa ajili ya halfa fupi ya miaka mitano ya kiwanda cha nguo cha Mazava cha Morogoro mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Wengine ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Ukanda Maalumu wa Uwekezaji nchini (EPZA), Dkt. Adelhelm Meru na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Bw. Joel Bendera (kushoto). Kiwanda hicho kinafanya kazi kwa leseni ya EPZA. Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Bi. Janet Mbene akiongea wakati wa...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA SIMU YA TTCL YATOA BATI 100 KWA SHULE MBALIMBALI MKOANI NJOMBE

Naibu waziri wa maendeleo ya jamii jinsia na watoto Dkt Shirika la mawasiliano la TTCL Tanzania limekabidhi jumla ya bati 100 zenye thamani ya shilingi Milioni mbili kwa Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Njombe Dokta Pindi Hazara Chana ambaye pia ni Naibu waziri wa maendeleo ya Jamii  Wanawake jinsia na watoto kwa ajili ya sekta ya elimu mkoani Njombe.
Akikabidhi bati hizo  kwa niaba ya mkurugenzi kuu wa TTCL Tanzania, Kaimu mkurugenzi kanda ya nyanda za Juu kusini bwana James Mlaguzi amesema...

 

10 years ago

BBCSwahili

Moto mkubwa wazuka Tianjin-China

Kumetokea mlipuko mkubwa katika mji wa China Tianjin-ambao ni sehemu ya viwanda katika eneo la kusini kaskazini mwa Beijing.

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU ATEMBELEA KIWANDA CHA TUMBAKU MKOANI RUVUMA NA KUWASIMAMISHA KAZI VIONGOZI WA CHAMA CHA USHIRIKA CHA SONAMCU

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametembelea kiwanda cha kusindika  tumbaku  cha mkoani Ruvuma na kuwasimamisha kazi viongozi wa Chama Cha Kikuu Cha Ushirika cha SONAMCU.
Akizungumza  jana jioni(Jumanne, Januari 5, 2016), katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu Ndogo ya Songea, wakati alipokutana na wakulima wa zao la tumbaku wa Wilaya ya Namtumbo, Wananchama wa Vyama Vya Ushirika vya Mkoa wa Ruvuma, viongozi wa Mkoa pamoja na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Edwin Ngonyani ambaye ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani