Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMPUNI YA SIMU YA TTCL YATOA BATI 100 KWA SHULE MBALIMBALI MKOANI NJOMBE

Naibu waziri wa maendeleo ya jamii jinsia na watoto Dkt Shirika la mawasiliano la TTCL Tanzania limekabidhi jumla ya bati 100 zenye thamani ya shilingi Milioni mbili kwa Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Njombe Dokta Pindi Hazara Chana ambaye pia ni Naibu waziri wa maendeleo ya Jamii  Wanawake jinsia na watoto kwa ajili ya sekta ya elimu mkoani Njombe.
Akikabidhi bati hizo  kwa niaba ya mkurugenzi kuu wa TTCL Tanzania, Kaimu mkurugenzi kanda ya nyanda za Juu kusini bwana James Mlaguzi amesema...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TTCL YATOA BATI 100 KWA SHULE MBALIMBALI MKOANI NJOMBE

Naibu waziri wa maendeleo ya jamii jinsia na watoto Dkt Shirika la mawasiliano la TTCL Tanzania limekabidhi jumla ya bati 100 zenye thamani ya shilingi Milioni mbili kwa Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Njombe Dokta Pindi Hazara Chana ambaye pia ni Naibu waziri wa maendeleo ya Jamii  Wanawake jinsia na watoto kwa ajili ya sekta ya elimu mkoani Njombe.
Akikabidhi bati hizo  kwa niaba ya mkurugenzi kuu wa TTCL Tanzania, Kaimu mkurugenzi kanda ya nyanda za Juu kusini bwana James Mlaguzi amesema...

 

11 years ago

GPL

KAMPUNI YA TTCL YATOA ZAWADI YA EID EL FITR KWA YATIMA DAR‏

Wawakilishi wa Kituo cha Watoto Yatima cha Mama Theresa kilichopo Mburahati, wakipokea msaada wao toka kwa Meneja wa TTCL, Dar es Salaam Kati, Jane Mwakalebela kwa niaba ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL.  Kituo cha Watoto Yatima cha Mama Theresa kilichopo Mburahati, Kituo cha Mwandaliwa cha Mbweni na Kituo cha Chakuwama cha Sinza katika picha ya pamoja mara baada ya kupokea zawadi zao jijini Dar es Salaam.… ...

 

10 years ago

Michuzi

TTCL yatoa Msaada wa Madawati kwa Shule ya Msingi Bunena,Bukoba

Uongozi wa TTCL ukitoa Msaada wa Madawati katika Shule ya Msingi  Bunena leo Ijumaa.TTCL inaamini kutoa msaada huo wa Madawati utasaidia kuboresha Ufanisi wa Shule na hatimaye kupata Matokeo Makubwa sasa katika Sekta ya Elimu. Pia ni Mategemeo ya TTCL kuwa utaleta chachu kwa wadau wengine katika Sekta kuweza kuchangia katika sekta hiyo pana ya Elimu. Hatimae kuondoa Changamoto zinazoikabili sekta ya Elimu hapa Mkoani Kagera na Nchi nzima kiujumla. TTCL pia imeweza kuwahakikishia wadau...

 

10 years ago

Vijimambo

LINDI | MAMA SALMA KIKWETE AKABIDHI BATI 100 NA VYOMBO VYA BENDI SHULE YA SEKONDARI ANGAZA

Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Wilaya ya Lindi Mjini Mama Salma Kikwete akipokewa na Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mheshimiwa Mwantumu Mahiza mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Lindi tarehe 15.3.2015 kuanza ziara ya kikazi ya siku 5 kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM.Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mheshimiwa Mwantumu Mahiza akisisitiza jambo wakati akiwahutubia mamia ya wana CCM na wananchi wa Lindi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata ya...

 

10 years ago

Michuzi

Mbunge wa jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa achangia bati 100 ujenzi wa shule ya msingi lukwambe na zahanati ya kijiji cha mlangali

Mbunge wa  jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa  (kulia) akikabidhi ahadi ya bati 100 alizokuwa ameziahidi mbunge aliyepita marehemu Dr  Wiliam Mgimwa kwa  viongozi wa kijiji cha Mangalali kwa ajili ya ujenzi  wa vyumba vya madarasa  shule ya msingi Lukwambe hadi  sasa ni asilimia 90 ya ahadi binafsi za mbunge aliyefariki  zimetekelezwa jimbo la Kalenga na mbunge Mgimwa.


Mbunge wa  jimbo la Kalenga Bw Godfrey Mgimwa kulia akikabidhi mchango wake wa Tsh 250,000 kwa ajili ya kusaidia kazi ndogo...

 

10 years ago

StarTV

Kampuni ya Simu TTCL yakanusha kufilisika.

Na Lilian Mtono,

Dar es Salaam.

Wakati taarifa za kufilisika kwa Kampuni ya simu nchini TTCL zikichukua nafasi hivi sasa, kampuni hiyo imekanusha madai hayo ikiwahakikishia watanzania maboresho ya huduma zake yatakayoanza kufanyika hivi karibuni na huduma bora zaidi kuanza kutolewa baadae mwaka huu.

 

Imesema, tayari imekwishasaini makubaliano ya maboresho hayo na kinachosubiriwa sasa ni kuanza kwa utekelezaji wake.

 

TTCL, kampuni tanzu ya huduma za mawasiliano hapa nchini, hivi sasa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya LG yatoa zawadi mbalimbali kwa wateja wake ndani ya sikukuu ya sabasaba

2

Mkufunzi mwandamizi toka kampuni ya LG, Elizabeth Morris, (Kushoto) akiwaonyesha waandishi wa habari moja ya microwave ambayo inatolewa kama zawadi kwa wateja wanaonunua friji za kisasa za LG. Tukio hilo lilifanyika katika banda la LG ndani ya viwanja vya maonyesho ya 39 ya biashara kimataifa maarufu kama Sabasaba, wa pili kushoto ni meneja wa tawi la LG Mtaa wa Nkurumah, Yasin Lodhi .

3

Bw. Festo Sakaya akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kupokea zawadi ya Microwave ya kisasa toka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani