TTCL YATOA BATI 100 KWA SHULE MBALIMBALI MKOANI NJOMBE
![](http://1.bp.blogspot.com/-IiDdSNH8I0g/VazXGElt1NI/AAAAAAAAPoM/6ss8Af_zWAA/s72-c/20150720_093629.jpg)
Naibu waziri wa maendeleo ya jamii jinsia na watoto Dkt Shirika la mawasiliano la TTCL Tanzania limekabidhi jumla ya bati 100 zenye thamani ya shilingi Milioni mbili kwa Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Njombe Dokta Pindi Hazara Chana ambaye pia ni Naibu waziri wa maendeleo ya Jamii Wanawake jinsia na watoto kwa ajili ya sekta ya elimu mkoani Njombe.
Akikabidhi bati hizo kwa niaba ya mkurugenzi kuu wa TTCL Tanzania, Kaimu mkurugenzi kanda ya nyanda za Juu kusini bwana James Mlaguzi amesema...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-IiDdSNH8I0g/VazXGElt1NI/AAAAAAAAPoM/6ss8Af_zWAA/s72-c/20150720_093629.jpg)
KAMPUNI YA SIMU YA TTCL YATOA BATI 100 KWA SHULE MBALIMBALI MKOANI NJOMBE
![](http://1.bp.blogspot.com/-IiDdSNH8I0g/VazXGElt1NI/AAAAAAAAPoM/6ss8Af_zWAA/s640/20150720_093629.jpg)
Akikabidhi bati hizo kwa niaba ya mkurugenzi kuu wa TTCL Tanzania, Kaimu mkurugenzi kanda ya nyanda za Juu kusini bwana James Mlaguzi amesema...
10 years ago
Michuzi06 Mar
TTCL yatoa Msaada wa Madawati kwa Shule ya Msingi Bunena,Bukoba
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F4.bp.blogspot.com%2F-WSN62WQqEUw%2FVPmPBPnOroI%2FAAAAAAAAaC4%2FWsv4tDvg8_M%2Fs1600%2F5.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
10 years ago
VijimamboLINDI | MAMA SALMA KIKWETE AKABIDHI BATI 100 NA VYOMBO VYA BENDI SHULE YA SEKONDARI ANGAZA
10 years ago
Michuzi10 Jun
10 years ago
MichuziMbunge wa jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa achangia bati 100 ujenzi wa shule ya msingi lukwambe na zahanati ya kijiji cha mlangali
Mbunge wa jimbo la Kalenga Bw Godfrey Mgimwa kulia akikabidhi mchango wake wa Tsh 250,000 kwa ajili ya kusaidia kazi ndogo...
10 years ago
MichuziMAMA SALMA KIKWETE AZURU LINDI/ AHUTUBIA MKUTANO MKUBWA LINDI MANISPAA, AKABIDHI BATI 100 NA VYOMBO VYA BENDI SHULE YA SEKONDARI ANGAZA
9 years ago
Dewji Blog01 Oct
Tigo yatoa mchango wa madawati 700 kwa shule za umma mkoani Mbeya
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Tigo nchini, Diego Gutierrez, (kushoto) akimkabidhi madawati yaliyotolewa na kampuni hiyo kwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro, Tigo imetoa msaada wa madawati 700 yenye thamani ya 49 milioni kwa shule za msingi za wilaya za Rungwe, Mbozi na Mbeya Mjini.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro, (kulia) akimkabidhi madawati Ofisa Elimu Shule za Msingi Jiji la Mbeya, Deusdedit Bimbalirwa, baada ya kukabidhiwa msaada wa madawati 700 yenye thamani ya Sh49milioni...
10 years ago
VijimamboTTCL YATOA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KATIKA SHULE YA SEKONDARI LUSWISWI ILEJE MBEYA
11 years ago
MichuziNHC Kilimanjaro yatoa msaada wa bati kwa wahanga wa mvua ya Upepo wilaya za Mwanga na Hai.
![](http://4.bp.blogspot.com/-zfvhH4v_HnU/Uzudj2vWxiI/AAAAAAAAB5s/Vr7QAWGNda0/s1600/2014-03-27+11.11.28.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-J-BUY53CquY/UzudkrND6ZI/AAAAAAAAB50/hEhOmYT827g/s1600/2014-03-27+11.11.37.jpg)