Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kizimbani kwa kuiibia NHIF

MFANYABIASHARA William Daud (22) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo, katika Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka ya kujipatia fedha kupitia bima ya Afya.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Ofisa NHIF apandishwa kizimbani

OFISA wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Godius Masilango, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka ya kusababisha hasara ya Sh milioni 51.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Apanda cheo baada ya kuiibia shule

OFISI ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza, imeingia kwenye kashfa ya kumpandisha cheo mkuu wa shule ya msingi Muungano, Gasper Mujinja anayedaiwa kupora mali za shule, lakini ameteuliwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kortini wakidaiwa kuiibia TPB mil. 550/-

WATU wa wawili wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam jana, wakikabiliwa na shitaka la wizi wa zaidi ya sh. milioni 550 mali ya Benki...

 

10 years ago

Michuzi

WAJASIRIMALI TUMIENI FURSA YA KUJIUNGA NA NHIF KWA KUCHANGIA SH.78,600 KWA MWAKA

 Meneja wa Mfuko wa Bima ya Afya Mkoa wa Kinondoni ,Grace Temba akizungumza leo na wajasirimali wa Mkoa wa Kinondoni (hawapo pichani) juu ya faida ya kujiunga na mfuko huo kupitia Mtandao wa ASEE iliyofanyika katika ukumbi Pricess ,Sinza Jijini Dar es Salaam.

 Afisa Matekelezo na Uratibu wa NHIF,Catherine Masingisa akitoa maada kwa wajasirimali wa Mkoa wa Kinondoni (hawapo pichani) namna ya kujiunga  na mfuko wa Bima ya Afya  kupitia vikundi vya ujasiriamali iliyofanyika Katika Ukumbi wa...

 

10 years ago

Michuzi

NHIF LINDI WATOA ELIMU KATA KWA KATA KWA WANACHAMA WAKE,SANJARI NA UPIMAJI WA AFYA BURE KWA WANANCHI WILAYANI RUANGWA

Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Ofisi ya Mkoa wa Lindi,Fortunata Raymond akitoa Mada ya Maboresho yanayotekelezwa na Mfuko hususani kitita cha Mafao kwa Wanachama katika Kata namichiga Wilayani Ruangwa ambapo pia aliwataka kutumia Mkutano huo kubainisha Changamoto hasi na Chanya zitakazowezesha Maboresho Ya Huduma Za Matibabu Sambamba Na Sekta Ya Afya Kwa Ujumla,Kushoto Katikati Ni Mtendaji Kata Ya Namichiga Richard Nnonjela Na Kushoto Kabisa Ni Mwalimu Mkuu Wa Shule...

 

11 years ago

Michuzi

news alert: watano wapanda kizimbani kwa mashtaka ya usambazaji wa Dawa feki za kurefusha maisha kwa waathirika wa Ukimwi

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es Salaam pia ni Mkurugenzi Mkuu Kiwanda cha Kutengeza Dawa (TPI Ltd) Ramadhani Madabida na wenzake watano wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, wakikabiliwa na mashitaka matano ya usambazaji wa Dawa feki za kurefusha maisha kwa waathirika wa Ukimwi na kuisababishia Bohari Kuu ya Dawa (MSD)hasara ya zaidi ya Sh.milioni 148.3.   Mbali na Madabida washtakiwa wengine ni, Meneja Uendeshaji Seif Shamte, aliyekuwa...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Kizimbani kwa ubakaji


NA EMMANUEL MOHAMED
MKAZI wa Dar es Saalam Juma Omary, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kujibu shitaka la ubakaji.
Omary (65), alisemewa shitaka hilo jana, mahakamani hapo na Mwendesha Mashitaka Faustine Sylvester mbele ya Hakimu Boniphace Lihamwike.
Sylvester alidai kuwa mshitakiwa alitenda kosa hilo Agosti 19, mwaka huu, muda usiofahamika, katika mtaa wa Mkunguni, Kinondoni.
Mshitakiwa alikana shitaka hilo na alirudishwa rumande, baada ya kushindwa kutimiza...

 

11 years ago

Habarileo

36 kizimbani kwa kesi za mauaji

WATUHUMIWA 36 wa kesi 11 za mauaji, wanatarajiwa kupandishwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Tabora, ambayo inaendelea na kikao chake mkoani hapa.

 

10 years ago

Habarileo

Kizimbani kwa mashitaka ya mauaji

WAKAZI wawili wa Dar es Salaam, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, wakikabiliwa na mshitaka ya mauaji. Washitakiwa hao ni Habibu Mohammed (28) ambaye hati ya mashitaka ilimtambulisha kuwa ni Dereva na Said Kassimu (29) ambaye ni mfanyabiashara.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani