KKKT, Finland kujenga kituo
KUTOKANA na ongezeko la matukio ya vitendo vya ukatili wa kijinsia nchini, Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Morogoro kwa kushirikiana na marafiki wa Finland Usharika wa Lempala wameanza ujenzi wa kituo cha kuishi waathirika wa vitendo hivyo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziVIONGOZI WA TANZANIA WATEMBELEA KITUO CHA MAZINGIRA FINLAND
10 years ago
MichuziBALOZI WA FINLAND NCHINI TANZANIA AZINDUA KITUO CHA MSAADA KWA WAHANGA WA UKATILI
10 years ago
VijimamboBALOZI WA FINLAND NCHINI TANZANIA ,ANTILA SINIKKA AZINDUA KITUO CHA MSAADA KWA WAHANGA WA UKATILI.
Mkurugenzi wa Shirika linalotoa msaada wa kisheria na elimu ya haki za binadamu mkoani Kilimanjaro(KWIECO) akimpokea Balozi wa Finland Tanzania Mh. Antila Sinikka aliyefika kwa ajili ya uzinduzi wa kituo cha msaada kwa wahanga wa ukatili wa kijinsia.
Watoa ushauri wa shirika linalotoa msaada wa kisheria na elimu ya haki za binadamu mkoani Kilimanjaro(KWIECO)wakiimba wakati wa ufunguzi wa kituo hicho.
Balozi wa Finland Tanzania Mh. Antila Sinikka akifurahia jambo mara wakati akitembelea...
11 years ago
Tanzania Daima31 May
Uturuki kujenga kituo cha albino
SERIKALI ya Tanzania imesaini mkataba na Serikali ya Uturuki ya ujenzi wa kituo kikubwa cha kuhudumia wenye ulemavu wa ngozi (albino) ambacho kitakuwa na hospitali na shule. Akizungumza jijini Dar...
10 years ago
Habarileo26 May
SMZ kujenga kituo cha walioathirika mihadarati
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema imejizatiti kuhakikisha tatizo la vijana wanaotumia dawa za kulevya linadhibitiwa kwa kiasi kikubwa kwa kujenga kituo cha kurekebisha tabia kwa vijana walioathirika na dawa za kulevya.
10 years ago
Vijimambo27 Jan
Real Madrid kujenga kituo cha michezo TZ
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/304/amz/worldservice/live/assets/images/2015/01/26/150126203903_kituochamichezo_tanzania_304x171_bbc_nocredit.jpg)
Mjumbe kutoka Real Madrid Rayco Garcia na Mkurugenzi wa NSSF,Ramadhani Dau wakitia saini Hati ya makubaliano
Klabu tajiri duniani, Real Madrid ya Uhispania imesaini hati ya makubaliano na Shirika la hifadhi ya Jamii Tanzania (NSSF) kwa ajili ya kujenga na kuendesha kituo cha michezo kitakachogharimu Shilingi bilioni 16.
Ujenzi huo utajumuisha viwanja vitano vya mpira wa miguu, mabweni ya wachezaji na wageni, maduka na huduma nyingine muhimu .Pia watajenga uwanja wa gofu wenye mashimo 18...
10 years ago
Mtanzania04 Mar
Uturuki kujenga kituo cha Albino nchini
Patricia Kimelemeta na Asifiwe George, Dar es Salaam
TANZANIA kwa kushirikiana na Uturuki inatarajia kujenga kituo kikubwa cha albino ambacho kitakuwa na huduma mbalimbali muhimu ikiwamo shule na afya.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe alisema kituo hicho kitawasaidia albino kupata huduma muhimu wakiwa kwenye mikono salama.
Alikuwa akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana baada ya kumalizika kikao cha ndani cha mabalozi na wawakilishi wa nchi...
9 years ago
Mwananchi05 Jan
Sh20 bilioni kujenga soko, kituo Kibaha
10 years ago
BBCSwahili27 Jan
Real Madrid kujenga kituo cha Michezo