Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KKKT walaani mlipuko wa bomu usharika wa Imani

KANISA la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi Mashariki ya Ziwa Victoria, limelaani kulipuka kwa bomu katika usharika wa Kanisa Kuu Imani, eneo la Nyumba ya Kupumzikia na Kusababisha mtu mmoja kujeruhiwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YATOA MSAADA WA MILIONI 10 UJENZI WA KANISA LA KKKT USHARIKA WA MATOSA

 Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Matosa Kimara jijini Dar es Salaam, Rabisante Lema akimshukuru Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei baada ya kukabidhi hundi ya sh. milioni 10 kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa miundombinu ya kanisa hilo wakati wa harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa. Jumla ya shilingi milioni 50 zilipatikana katika harambee hiyo. (Picha na Francis Dande)Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles...

 

9 years ago

Michuzi

DK. KIMEI AONGOZA HARAMBEE YA UJENZI WA KANISA LA KKKT USHARIKA WA SIHA MKOANI KILIMANJARO

  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza wakati wa ibada maalum iliyofanyika katika Kanisa la KKKT Usharika wa Siha Sango Mkoani Kilimanjaro. Ibada hiyo ilikwenda sambamba na harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa hilo ambapo zaidi ya shs Milioni 100 zilipatikana.















Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Kiijili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Cuthbert Temba akiongoza ibada. Waumini wa Kanisa hilo wakiwa katiba ibada.  Katibu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Goodfrey...

 

5 years ago

Michuzi

Rais Magufuli atoa salamu baada ya kusali Ibada ya Jumapili katika Kanisa la KKKT Usharika wa Chato

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa katika Ibada ya Jumapili ya Tano baada ya Pasaka katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Chato mkoani Geita leo tarehe 17 Mei 2020.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Chato mkoani Geita leo tarehe 17 Mei 2020 mara...

 

11 years ago

GPL

BOMU LA KKKT MWANZA LAZUA HOFU

Stori: Mwandishi Wetu, Mwanza
SIKU chache baada ya kulipuka kwa kitu kilichosadikiwa kuwa ni bomu kwenye Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki ya Ziwa Victoria, Makongoro Misheni, Mwanza, wananchi wameendelea kuishi kwa hofu kwa kutokea mlipuko mwingine. Kwenye mlipuko huo wa awali uliotokea Jumatatu iliyopita, mhudumu wa nyumba ya kulala wageni ya kanisa hilo, Benedata Alfred (25)...

 

11 years ago

Mwananchi

Viongozi wa dini walaani mauaji ya bomu Z’bar

Kamati ya Amani na Uhusiano wa viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini Mkoa wa Tanga imelaani kitendo cha ulipuaji wa bomu mjini Unguja uliosababisha kifo cha mtu mmoja.

 

11 years ago

GPL

MLIPUKO WA BOMU ZANZIBAR

HABARI ambazo mtandao huu umezipata sasa hivi kutoka Zanzibar zinasema kuna mlipuko umetokea Zanzibar karibu na Kanisa la Anglikana. Polisi wameshafika eneo la tukio na madhara yake bado hayajajulikana. Taarifa zaidi zitawajia hivi punde!

 

11 years ago

BBCSwahili

Mlipuko wa bomu Mogadishu wawauwa 3

Bomu moja lililokuwa limefichwa katika mfuko wa plastiki limelipuka katika mji mkuu wa Somali ,Mogadishu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mlipuko wa bomu wawaua 30 Yemen

Mlipuko mmoja umetokea katika gari nje ya chuo cha mafunzo ya Polisi katika mji mkuu wa Yemen-Sanaa.

 

10 years ago

GPL

MLIPUKO WA BOMU WAUA SOMALIA

WATU kadhaa wameripotiwa kupoteza maisha katika mlipuko mkubwa wa bomu la kujitoa muhanga katika mji wa Mogadishu nchini Somalia karibu na uwanja wa ndege. Mlipuko huo umesababiswa na mtu aliyejitoa muhanga kwa kujilipua akiwa ndani ya gari lililokuja na kuegesha katikati ya msafara wa magari ya Shirika la Umoja wa Mataifa na magari yaliyokuwa yakiusindikiza msafara huo. Kundi la wapiganaji wa kiislamu la Al- Shaabab mara kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani