Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BOMU LA KKKT MWANZA LAZUA HOFU

Stori: Mwandishi Wetu, Mwanza
SIKU chache baada ya kulipuka kwa kitu kilichosadikiwa kuwa ni bomu kwenye Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki ya Ziwa Victoria, Makongoro Misheni, Mwanza, wananchi wameendelea kuishi kwa hofu kwa kutokea mlipuko mwingine. Kwenye mlipuko huo wa awali uliotokea Jumatatu iliyopita, mhudumu wa nyumba ya kulala wageni ya kanisa hilo, Benedata Alfred (25)...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Bomu lazua taharuki uwanjani Dortmund

Bomu la vita vya pili vya dunia ambalo halijalipuka limepatikana katika uwanja wa Borussia Dotmund.

 

11 years ago

BBCSwahili

Tetemeko lazua hofu ya tsunami Chile

Tetemeko linalofikia kiwango cha 8.0 katika Rikta, limeibua tahadhari ya janga la Tsunami katika eneo zima la Kusini Marekani.

 

11 years ago

Habarileo

KKKT walaani mlipuko wa bomu usharika wa Imani

KANISA la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi Mashariki ya Ziwa Victoria, limelaani kulipuka kwa bomu katika usharika wa Kanisa Kuu Imani, eneo la Nyumba ya Kupumzikia na Kusababisha mtu mmoja kujeruhiwa.

 

10 years ago

StarTV

Kuelekea uchaguzi mkuu, KKKT yaingiwa hofu.

Na Zephania Renatus,

Moshi.

 

Wakati Taifa likielekea katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania KKKT limeeleza hofu yake ya kupatikana kwa viongozi bora   watakaokuwa chaguo la watanzania walio wengi.

 

Hofu hiyo imekuja baada ya madai ya kuwepo kwa maandalizi hafifu ya uboreshaji wa daftari la wapiga kura pamoja na upatikanaji wa katiba pendekezwa kwa wananchi ambayo inaelezwa kutowafikia wananchi walio wengi ili waweza kuisoma na kuielewa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Kuganda kwa damu, tatizo linalowakumba wagonjwa wengi walio katika hali mahututi lazua hofu

Wongonjwa wengi ambao wamekuwa na tatizo la damu kuganda katika mishipa wamekuwa wakitumia dawa za kujaribu kuyeyusha damu hiyo na kufanya tatizo hilo lisilo la kawaida kuwa la kipekee.

 

11 years ago

GPL

HOFU YA BOMU MLIMANI CITY

Na Waandishi Wetu HUKU watu karibia 60 nchini kenya wakiuawa kwenye mashambulizi ya kigaidi, katika hali isiyo ya kawaida nchini Tanzania, walinzi wa Maduka ya Mlimani City jijini Dar wamejikuta wakipata mchecheto wa aina yake baada ya kitu kilichodhaniwa ni bomu kukutwa kwenye eneo la kuegeshea magari. Walinzi wa maduka ya Mlimani City jijini Dar wakikagua kitu kinachosadikika kuwa ni bomu. Tukio hilo lilitokea Juni 16, mwaka...

 

10 years ago

GPL

HOFU YA BOMU YATIKISA CHUO KIKUU DAR

waandishi wetu
WAKATI hofu ya ugaidi wa Kundi la Al Shabaab la Somalia ikiwa bado imetanda kufuatia mauaji ya wanafunzi 146 wa Chuo Kikuu cha Garissa nchini Kenya, hisia za kuwepo kwa bomu imewakumba watu mbalimbali pamoja na wasomi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, baada ya kitu kilichodhaniwa kuwa bomu kukutwa katika kituo cha mabasi ya daladala kijulikanacho kama Kontena, kilichomo eneo la chuo hicho. Kitu kilichodhaniwa...

 

11 years ago

Mwananchi

KKKT watoa tamko Kanisa la Mwanza

Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki ya Ziwa Victoria (DMZV), limeitaka Serikali kuhakikisha inawatafuta watu waliohusika na tukio la bomu lililolipuka kanisani hapo juzi.

 

9 years ago

MillardAyo

Hofu ya bomu ilivyolazimisha ndege ya Ufaransa kutua Kenya kwa dharura…

Matukio ya ajali za ndege yalichukua headlines katika vyombo mbalimbali vya habari duniani. Kuna hii nyingine inayohusisha ndege ya abiria aina ya Air France Boeing 777 AF463, iliyokuwa ikifanya safari zake kati ya Mauritius na Paris ambapo  imelazimika kutua kwa ghafla katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta baada ya kuwepo hofu ya bomu. […]

The post Hofu ya bomu ilivyolazimisha ndege ya Ufaransa kutua Kenya kwa dharura… appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani