Klabu zitumie vizuri dirisha dogo la usajili
Siku chache zijazo klabu 14 za Ligi Kuu pamoja na timu za madaraja mengine nchini zitaanza usajili mdogo kwa ajili ya kuziba nafasi zilizoonekana kuwa zina udhaifu wakati wa duru la kwanza la msimu huu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo22 Dec
Kuelekea dirisha dogo la usajili barani Ulaya, huu ni usajili mbovu wa wachezaji uliowahi kufanyika …
Mtu wangu wa nguvu najua headlines za usajili wa dirisha dogo kwa Bongo zimepita na sasa tunaelekea katika usajili wa dirisha dogo la mwezi January barani Ulaya, tumeona vilabu vya Man United na Tottenham Hotspurs vikiwania saini ya mchezaji wa Algeria anayekipiga katika klabu ya Leicester City Riyad Mahrez. Mtu wangu wa nguvu kabla ya dirisha […]
The post Kuelekea dirisha dogo la usajili barani Ulaya, huu ni usajili mbovu wa wachezaji uliowahi kufanyika … appeared first on...
9 years ago
Mwananchi18 Dec
Diego afunika usajili wa dirisha dogo
9 years ago
MillardAyo15 Dec
Saa kadhaa kabla ya dirisha dogo la usajili halijafungwa, Yanga wasajili nyota wawili …
Uongozi wa klabu ya Dar Es Salaam Young African usiku wa December 15 tukiwa tunaelekea kufunga dirisha la usajili imetangaza kukamilisha usajili wa nyota wawili. Yanga ambao walithibitisha kumtema mchezaji wa kimataifa wa Brazil aliyekuwa anakipiga katika klabu hiyo Andry Coutinho wametangaza kusajili wachezaji wawili. Yanga wamethibtisha kumsajili aliyekuwa mshambuliaji wa Mbeya City na baadae Mwadui FC Paul […]
The post Saa kadhaa kabla ya dirisha dogo la usajili halijafungwa, Yanga...
10 years ago
Mwananchi27 Mar
Nyota wa dirisha dogo wachemsha
9 years ago
Habarileo07 Nov
Kocha Yanga apotezea dirisha dogo
KOCHA wa Yanga Hans van der Pluijm, amesema hafikiri kusajili mchezaji mpya kwenye dirisha dogo la usajili zaidi ya kuwaongezea mbinu aliokuwa nao kwenye kikosi alichoanza nacho msimu huu.
10 years ago
BBCSwahili16 Dec
Dirisha la usajili lafugwa Tanzania
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-yr2teepIgmk/Vk8iUzDKvII/AAAAAAAIHJ4/SvA-ChUS4v4/s72-c/kizu.png)
DIRISHA LA USAJILI KUFUNGWA DISEMBA 15
![](http://1.bp.blogspot.com/-yr2teepIgmk/Vk8iUzDKvII/AAAAAAAIHJ4/SvA-ChUS4v4/s640/kizu.png)
10 years ago
BBCSwahili02 Sep
Dirisha la Usajili lafungwa England