Kocha mpya Coastal matumaini kibao
KOCHA aliyechukua jukumu la kuinoa timu ya Coastal Union ya Tanga, Mbwana Bushiri ameahidi kuiwezesha kufanya vyema kwenye michezo yake iliyobakia ya Ligi Kuu msimu huu.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo25 Oct
Msuva matumaini kibao
MFUNGAJI bora wa msimu uliopita wa ligi kuu bara, Simon Msuva amesema kuanzia benchi katika mechi tatu zilizopita hakumtii hofu ya kupoteza nafasi yake ya kuitumikia Yanga.
9 years ago
Mtanzania16 Nov
Stars matumaini kibao Algeria
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
KIKOSI cha timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kimeondoka nchini jana alfajiri kuelekea jijini Algiers huku kikiwa na matumaini ya kufanya vizuri na kuwatoa wapinzani wao Algeria ‘The Desert Foxes’ ugenini.
Stars iliyolazimishwa sare ya mabao 2-2 nyumbani, itarudiana na Algeria kwenye Uwanja wa Stade Mustapha Tchaker jijini Algiers kesho katika mchezo wa raundi ya pili kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi.
Kocha Mkuu wa Stars, Charles...
9 years ago
Habarileo18 Oct
Magongo matumaini kibao Afrika
TIMU ya Taifa ya wanawake na wanaume ya mpira wa magongo zinatarajiwa kuondoka kesho kuelekea nchini Afrika Kusini kwa ajili ya michuano ya kuwania kufuzu kucheza Olimpiki mwaka 2016, Brazil.
11 years ago
Tanzania Daima08 Jul
Stars yarejea, matumaini kibao
MSAFARA wa timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, ulirejea juzi jioni ukitokea kupiga kambi nchini Botswana huku Kocha Mart Nooij akiwa na matumaini makubwa ya kuifunga Msumbiji katika mechi...
11 years ago
Mwananchi04 Mar
Madadi matumaini kibao Stars
9 years ago
Habarileo28 Oct
Azam matumaini kibao Ligi Kuu
OFISA Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Azam FC, Saad Kawemba, ameelezea kufurahishwa na mwenendo wa timu yao kwenye Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu huu, huku akimsifia kocha wao Stewart Hall kwa mbinu anazotumia.
9 years ago
Habarileo21 Nov
Kili Stars yaondoka na matumaini kibao
WAKATI timu ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ iliondoka jana alfajiri kwenda Ethiopia kwa ajili ya michuano ya Kombe la Chalenji inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi leo, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Abdallah Kibadeni amejigamba kuwa timu hiyo itafanya vizuri.
9 years ago
Habarileo20 Dec
Pluijm matumaini kibao kwa kiungo Mniger
KOCHA Mkuu wa Yanga Hans van Pluijm amesema ana imani na mchezaji mpya wa Niger Issoufou Garba kuwa atafanya vyema katika kikosi hicho kutokana na uwezo aliouonesha kwenye majaribio.
9 years ago
Habarileo25 Oct
Kocha Mbeya City aamini kitaeleweka kibao
KOCHA wa muda wa Mbeya City, Abdul Mingange, amesema kukosa wachezaji wenye uzoefu ndiyo sababu ya timu hiyo kufanya vibaya kwenye mechi zao za Ligi Kuu Tanzania Bara.