Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Azam matumaini kibao Ligi Kuu

OFISA Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Azam FC, Saad Kawemba, ameelezea kufurahishwa na mwenendo wa timu yao kwenye Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu huu, huku akimsifia kocha wao Stewart Hall kwa mbinu anazotumia.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

FRIENDS RANGERS YAFUFUA MATUMAINI YA LIGI KUU, AFRICAN SPORTS YAIKALISHA MAJIMAJI

BAO pekee la Ramadhani Hamidu dakika ya 20, limeipa ushindi wa 1-0 African Sports ya Tanga dhidi ya Majimaji, Uwanja wa Mkwakwani, mjini hapa katika mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara. Ushindi huo, unaifanya Sports itimize point 41 baada ya kushuka dimbani mara 19 ikiendelea kujikita kileleni mwa kundi A ya ligi daraja la kwanza. Timu mbili za kila kundi ufanikiwa kuingia VPL kila mwaka. Wanakimanumanu oyeeee kila la kheli katika michezo iliyo bakia.

 

11 years ago

Michuzi

AZAM FC YAREJEA KILELENI LIGI KUU


Na Bin Zubeiry
AZAM FC imerejea kileleni mwa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kufuatia ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Ashanti United jioni hii Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam. Ushindi huo unaifanya timu hiyo ya Alhaj Sheikh Said Salim Awadh Bakhresa na familia yake ifikishe pointi 40 baada ya kucheza mechi 18, ikiishusha nafasi ya pili, Yanga SC yenye pointi 38 ingawa ina mechi moja mkononi.Gaudence Exavery Mwaikimba alifunga kila kipindi dhidi ya timu yake ya zamani, mabao yote...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Azam wamestahili ubingwa Ligi Kuu

TIMU ya soka ya Azam, imetawazwa kuwa mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2013/14, baada ya kufikisha pointi 62 katika mechi 26 walizocheza katika ligi hiyo iliyoanza Agosti...

 

11 years ago

GPL

Azam bingwa Ligi Kuu Bara

Mshambuliaji wa Azam Fc, Gaudence Mwaikimba akishangilia bao huku akifuatwa na mwenzake, Kipre Tchetche(kulia), nyuma yao ni mwenzao, Himid Mao katika mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbeya City kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya, jana. Azam bingwa ligi kuu Na Martha Mboma, Mbeya
ILIKUWA kama vita lakini hatimaye mechi imefanyika, matokeo yamepatikana na rekodi imewekwa kwenye… ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Simba na Azam kupepetana ligi kuu

Baada ya Yanga kuchanja mbuga kuelekea ubingwa wa ligi kuu Tanzania Bara, sasa vita ni ya Simba na mabingwa watetezi, Azam FC.

 

9 years ago

Habarileo

Azam yaelekeza nguvu Ligi Kuu

KLABU bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC wameahirisha mechi yao ya kirafiki dhidi ya Ruvu Shooting na sasa macho yao yanatazama kutulia na kujipanga kwa ajili ya maandalizi ya ligi.

 

10 years ago

Mwananchi

LIGI KUU BARA: Yanga, Azam mshikemshike

>Waswahili husema, hakuna kulala hadi kieleweke. Hivyo ndivyo unavyoweza kuzungumzia mbio za kusaka ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu ambazo dhahiri zimekuwa za Yanga na Azam.

 

10 years ago

Mwananchi

LIGI KUU: Azam, Simba kama fainali

>Ni vita ya kupanda ndege. Hilo, pengine ndilo jina  la pambano la leo baina ya Simba na Azam kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

11 years ago

GPL

AZAM FC BINGWA LIGI KUU BARA 2013/2014

Ni baada ya kuilaza Mbeya City bao 2-1 katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya hivi punde na kufikisha jumla ya pointi 59 ambazo haziwezi kufikiwa na timu nyingine yoyote!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani