Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FRIENDS RANGERS YAFUFUA MATUMAINI YA LIGI KUU, AFRICAN SPORTS YAIKALISHA MAJIMAJI

BAO pekee la Ramadhani Hamidu dakika ya 20, limeipa ushindi wa 1-0 African Sports ya Tanga dhidi ya Majimaji, Uwanja wa Mkwakwani, mjini hapa katika mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara. Ushindi huo, unaifanya Sports itimize point 41 baada ya kushuka dimbani mara 19 ikiendelea kujikita kileleni mwa kundi A ya ligi daraja la kwanza. Timu mbili za kila kundi ufanikiwa kuingia VPL kila mwaka. Wanakimanumanu oyeeee kila la kheli katika michezo iliyo bakia.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

friends rangers vs African lyon jino kwa jino uwanja wa karume kesho

KIKOSI cha timu ya Friends Rangers, kesho kinajitupa kwenye Uwanja wa Karume, Dar es Salaam kuvaana na timu ya African Lyon, katika mchezo wa ligi daraja la kwanza.  Ofisa habari wa Friends Rangers, Asha Kigundula, alisema kuwa mchezo huo wa pili kwa timu hizo ikiwa ni mzunguko wa pili wa ligi hiyo.  Kigundula alisema kuwa kikosi chao kipo katika hali kubwa ya kuhakikisha haitapoteza mchezo huo.  Alisema kikosi chao chini ya kocha wao Ally Yusuph 'Tigana' kina...

 

9 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI LIGI KUU BARA: Majimaji FC imepandishwa na Mswahili, itashushwa na Mzungu?

Mpira unazidi kurudi katika nyumba zake na Songea ni moja kati ya nyumba za soka ambazo mpira ulihama kwa miaka mingi.

 

11 years ago

Mwananchi

Sifa, Kagera Rangers, Bomu FC zimeibua nyota wengi Ligi Kuu

Timu za soka za Sifa United ya Manzese, Kagera Rangers ya Magomeni na Bomu FC ya Ilala ni timu kongwe jijini Dar es Salaam ambazo zimeshiriki ligi daraja la nne, tatu na sasa zimegota kwenye ligi daraja la pili.

 

9 years ago

Habarileo

Azam matumaini kibao Ligi Kuu

OFISA Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Azam FC, Saad Kawemba, ameelezea kufurahishwa na mwenendo wa timu yao kwenye Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu huu, huku akimsifia kocha wao Stewart Hall kwa mbinu anazotumia.

 

11 years ago

GPL

MTIBWA YAIKALISHA AZAM FC TAMASHA LA MATUMAINI 2014

Patashika wakati wa mtanange kati ya Azam FC na Mtibwa Sugar. Mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Musa Mgosi (kushoto) akijaribu kumtoka beki wa Azam.…

 

10 years ago

Michuzi

Friends Rangers kuwavaa Azam

KIKOSI cha timu ya Friends Rangers, kesho asubuhi kinashuka kwenye Uwanja wa Azam Complex, uliopo Chamazi Dar es Salaam, kuvaana na timu ya Azam FC, katika mchezo wa kirafiki.
Ofisa habari wa klabu hiyo Asha Kigundula, alisema kuwa mchezo huo utafanyika asubuhi kuanzia saa 2, asubuhi.
Kigundula alisema kuwa wameshukuru kupata mechi hiyo ambayo itaendelea kuiweka timu yao katika mazingira mazuri kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa ligi daraja la kwanza.
Alisema kuwa kucheza na timu kama Azam...

 

11 years ago

Mwananchi

Kanumba Day yafufua matumaini ya filamu Bongo

Kila ifikapo Aprili saba, wapenzi na msahabiki kama siyo Watanzania kwa jumla huadhimisha kifo cha mwigizaji mahiri, Steven Charles Kanumba, kwa kufanya mambo mbalimbali.

 

9 years ago

Habarileo

Friends Rangers safi Kombe la Magufuli

TIMU ya Friends Rangers imekamilisha idadi ya timu nne ambazo zimefuzu kucheza hatua ya Nusu Fainali ya michuano ya Kombe la Magufuli ‘Hapa Kazi Tu’ baada ya juzi kuifunga timu ya Faru Jeuri kwa bao 1-0.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani