Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kocha mpya Simba awaweka kiporo majeruhi

Baada ya kuwapinga panga wachezaji tisa, Kocha wa Simba, Zdravko Logarusic amewaweka kiporo wachezaji wanne ambao ni majeruhi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KOCHA MPYA WA SIMBA ATUA DAR

Kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri. Kocha Mzambia Partick Phiri ametua Dar kwa ajili ya kusaini mkataba wa kuinoa Simba. Yupo njiani kuelekea klabuni hapo akitokea Uwanja wa…

 

10 years ago

GPL

Kim Poulsen kocha mpya Simba

Kim Polusen raia wa Denmark. Na Ezekiel Kitula
SIMBA imeamua kufanya mabadiliko kwa kumtwaa kocha Kim Polusen raia wa Denmark katika nafasi ya Mzambia, Patrick Phiri.Simba imeingia kwenye harakati za kumng’oa Phiri ambaye ameiongoza Simba katika mechi sita tu za Ligi Kuu Bara na zote ametoka sare. Simba imefunga mabao sita, imefungwa sita na ina pointi sita. Mdenishi Poulsen ambaye yuko kwao nchini Denmark baada ya...

 

10 years ago

GPL

KOCHA MPYA WA SIMBA ATUA DAR

Kocha mpya wa Simba , Goran Kopunovic alipowasili leo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea nchini Hungary.…

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE ATEUA WAKUU WA MIKOA WAPYA WANNE, AHAMISHA SITA, WATATU WA ZAMANI AWAWEKA KIPORO, PIA ATEUA MAKATIBU WAKUU WANNE WAPYA WA WIZARA NA KUHAMISHA MMOJA.

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: ikulucommpress@googlemail.com
Website : www.ikulu.go.tz   Fax: 255-22-2113425
PRESIDENT’S OFFICE,STATE HOUSE,1 BARACK OBAMA ROAD,11400 DAR ES SALAAM.Tanzania.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa wakuu wapya wanne wa Mikoa, amewahamisha wengine sita na ameamua kuwa wengine watatu watapangiwa kazi...

 

10 years ago

Mwananchi

Majeruhi wa Simba wapelekwa Muhimbili

Majeruhi watano kati ya mashabiki 24 waliojeruhiwa katika ajali ya basi dogo la mashabiki wa klabu ya Simba SC Tawi la Mpira na Maendeleo (Simba Ukawa) watalazimika kuchunguzwa zaidi afya zao na madaktari bingwa wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kuumia vibaya mkoani hapa.

 

10 years ago

Habarileo

Simba wamchefua kocha

KOCHA wa Simba, Dylan Kerr amesema licha ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 katika mchezo wa kirafiki dhidi ya SCVilla ya Uganda juzi, hajafurahishwa na kiwango cha wachezaji wake.

 

11 years ago

GPL

KOCHA SIMBA AFARIKI

James Kisaka enzi za uhai wake. Aliyekuwa kocha wa makipa wa Klabu ya Simba, James Kisaka amefariki dunia leo asubuhi katika Hospitali ya Burhan, Dar es Salaam. Kisaka aliyewahi kuwa kipa wa timu hiyo miaka ya nyuma, alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya kichwa, macho na miguu kwa muda mrefu. Global Publishers tunatoa pole kwa ndugu na jamaa. MUNGU AIPUMZISHE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI.… ...

 

9 years ago

Habarileo

Kocha Simba atimka

IKIWA imebaki siku moja kuchezwa kwa pambano la watani wa jadi la Simba na Yanga, klabu ya Simba imeachana na kocha wake wa viungo Dusan Marmcilovic, imeelezwa.

 

11 years ago

GPL

Matola Kocha Mkuu Simba

Na Mwandishi Wetu
SELEMANI Matola ataonja utamu wa kuwa Kocha Mkuu Simba kwa zaidi ya saa 96 baada mwenye nafasi hiyo kuridhia aitumikie. Kocha Mkuu, Zdravko Logarusic, amekubali Matola apewe nafasi hiyo kuanzia leo Jumatatu hadi Ijumaa asubuhi atakapowasili akitokea kwao Croatia.
Chanzo kimesema hali hiyo inatokana na Logarusic kuchelewa kurejea nchini. “Kweli kocha katuambia atachelewa na nafasi ya ukocha mkuu apewa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani