Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kim Poulsen kocha mpya Simba

Kim Polusen raia wa Denmark. Na Ezekiel Kitula
SIMBA imeamua kufanya mabadiliko kwa kumtwaa kocha Kim Polusen raia wa Denmark katika nafasi ya Mzambia, Patrick Phiri.Simba imeingia kwenye harakati za kumng’oa Phiri ambaye ameiongoza Simba katika mechi sita tu za Ligi Kuu Bara na zote ametoka sare. Simba imefunga mabao sita, imefungwa sita na ina pointi sita. Mdenishi Poulsen ambaye yuko kwao nchini Denmark baada ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TFF YAVUNJA MKATABA NA KOCHA KIM POULSEN KWA MAKUBALIANO

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen wamekubaliana kuvunja mkataba katika makubaliano ambayo ni siri kwa pande zote mbili.
Uamuzi huo umetangazwa leo (Februari 27 mwaka huu) jijini Dar es Salaam kwa pamoja na Rais wa TFF, Jamal Malinzi na Kocha Poulsen mbele ya waandishi wa habari.
Rais Malinzi kwa niaba ya TFF ametoa shukrani za dhati kwa Kocha Poulsen kwa ushirikiano na mchango ambao ameutoa kwa Tanzania kuanzia kwenye mpira wa miguu wa...

 

10 years ago

GPL

Kim Poulsen... afunguka kuhusu Simba

Kocha Kim Poulsen. Na Saleh Ally
KOCHA Kim Poulsen amefunguka kwa mara ya kwanza na kuweka wazi kuwa amefanya mazungumzo na Simba.Poulsen raia wa Denmark, amefanya mahojiano maalum na Championi Jumatano, jana mchana na kusema anaangalia kati ya ofa mbili, moja ya Simba na pili kwao Denmark na bado hajafikia uamuzi sahihi. Awali, gazeti hili liliandika kuhusiana na ujio wa Poulsen aliyewahi kuinoa Taifa Stars, anayekuja...

 

11 years ago

Mwananchi

Kim Poulsen aishauri Azam FC

Kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen amesema amefurahishwa na ushindi iliopata Azam dhidi ya Ferroviario ya Msumbuji, lakini ameitaka ifanye maandalizi ya maana kabla ya pambano la marudiano.

 

11 years ago

Mwananchi

Kim Poulsen: Tumetimiza malengo Chalenji

Kocha wa Kilimanjaro Stars, Kim Poulsen amejitetea kwamba hajafeli kwa kushindwa kutwaa Chalenji bali alikuja Kenya kwa mambo matatu ikiwemo kucheza mechi sita za kirafiki.

 

10 years ago

GPL

KOCHA MPYA WA SIMBA ATUA DAR

Kocha mpya wa Simba , Goran Kopunovic alipowasili leo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea nchini Hungary.…

 

10 years ago

GPL

KOCHA MPYA WA SIMBA ATUA DAR

Kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri. Kocha Mzambia Partick Phiri ametua Dar kwa ajili ya kusaini mkataba wa kuinoa Simba. Yupo njiani kuelekea klabuni hapo akitokea Uwanja wa…

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha mpya Simba awaweka kiporo majeruhi

Baada ya kuwapinga panga wachezaji tisa, Kocha wa Simba, Zdravko Logarusic amewaweka kiporo wachezaji wanne ambao ni majeruhi.

 

9 years ago

Mwananchi

Kocha Kim sasa aibukia Rwanda

Rais wa Shirikisho la Soka la Rwanda (Ferwafa), Vincent Nzamwita amethibitisha kwamba wapo katika mazungumzo na kocha Kim Poulsen ili awe mkurugenzi wa ufundi wa shirikisho hilo na anatarajiwa kuanza kazi Novemba.

 

10 years ago

Mwananchi

Kim anukia Simba, Hall atua Azam

Dar es Salaam. Wakati Simba ikiendelea na mchakato wa kusaka kocha mpya na majina ya makocha saba yakitajwa, kocha wa zamani wa Taifa Stars, Kim Poulsen akipewa nafasi kubwa ya kupewa kibarua hicho, Azam imetangaza kumrejesha Stewart Hall kuwa kocha mpya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani