Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kocha Silvester Marsh alivyoagwa Muhimbili leo

Beki wa zamani wa timu ya soka ya Yanga na timu ya taifa, Bakari Malima ‘Jembe Ulaya’ akisukuma jeneza lililokuwa na mwili wa aliyekuwa Kocha Msaidizi timu ya taifa ‘Taifa Stars’ marehemu, Sylvester Marsh, wakati wa ibada ya kuaga mwili iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Muhimbili jijini Dar es Salaam, kabla ya kusafirishwa kuelekea jijini Mwanza kwa mazishi. (Picha na Francis Dande)Credit:ShaffihDaudaMwanahamis Omary wa timu ya taifa ya Wanawake akiaga mwili wa Kocha Marsh.Waombolezaji...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

PIGO WADAU WA SOKA NCHINI: Kocha Sylvester Marsh afariki dunia mapema leo

Marsh (kushoto) enzi za Uhai wake akiwa na kocha mkuu wa timu ya Taifa wakatoi huo Pousan

Marsh (kushoto) enzi za uhai wake akiwa na Kocha mkuu wa timu ya Taifa wakati huo, Kim Paulsen.

Na Andrew Chale wa Mo dewji blog

Habari zilizotufikiaa chumba cha habari cha mtandao huu wa Mo dewji blog,  ni kuwa aliyekuwa Kocha Msaidizi wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Sylvester Marsh amefariki dunia alfajiri ya leo katika hospitali ya Muhimbili alikokuwa amelazwa.

Taarifa hizo zilibainisha kuwa, Marsh alipatwa na umauti huo alipokuwa akiendelea na matibabu  ya maradhi...

 

10 years ago

Michuzi

Kocha wa Zamani wa Taifa Stars,marehemu Sylvester Marsh azikwa leo jijini Mwanza

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliekuwa Kocha wa timu ya Taifa (Taifa Stars), marehemu Sylvester Balunzi Mashishigulu ‘Marsh’, leo kwenye uwanja wa Shule ya msingi Mirongo,Jijini Mwanza.Marehemu Marsh amezikwa kwenye makaburi ya Igoma nje kidogo ya Jiji la Mwanza.Picha zote na G Sengo Blog.Familia ya Marehemu Sylvester Balunzi Mashishigulu ‘Marsh’, ikiwa kwenye huzuni kubwa baada ya kuondokewa na mpendwa wao,wakati wa ibada maalum ya kumuada...

 

10 years ago

GPL

KOCHA MARSH AFARIKI DUNIA

Aliyekuwa kocha msaidizi wa timu ya Taifa, Taifa Stars, Sylvestre Marsh enzi za uhai wake. Na Mwandishi Wetu ALIYEKUWA kocha msaidizi wa timu ya Taifa, Taifa Stars, Sylvestre Marsh, amefariki dunia asubuhi ya leo. Marsh alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kuungua maradhi ya saratani ya koo kwa muda mrefu, awali alilazwa hapo akapata nafuu na kupelekwa kwao Mwanza, lakini wiki iliyopita alirudishwa...

 

10 years ago

GPL

Sylvestre Marsh: Kwa heri kocha

Kocha wa zamani wa Taifa Stars, Sylvestre Marsh. Na Martha Mboma
Dar es Salaam
INASIKITISHA, ni msiba mkubwa kwa wanafamilia wa soka hapa nchini ambao hakika umeacha pengo ambalo ni vigumu kuzibika kutokana na kifo cha kocha wa zamani wa Taifa Stars, Sylvestre Marsh. Alilazwa kwa mara nyingine tena mwaka huu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili wiki mbili zilizopita akitokea Mwanza, baada ya hali yake kuwa mbaya mpaka...

 

9 years ago

GPL

KOMBANI ALIVYOAGWA LEO VIWANJA VYA KARIMJEE JIJINI DAR!

Makamu wa Rais, Dk. Bilal akielekea kutoa heshima za mwisho kwa Kombani. Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Zanzibar Balozi, Seif Ally Idd, akitoa heshima za mwisho. Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Salma Kikwete, akiuaga mwili wa marehemu Kombani. Anne Makinda akitoa heshima za mwisho kuaga mwili wa Celina Kombani. Mama Maria Nyerere akiwa mbele ya jeneza.… ...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI WA AFYA ATEMBELEA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI LEO

Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Ummy Mwalimu akiwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MNH, Profesa Lawrence Mseru leo asubuhi katika hospitali hiyo.Mtaalamu wa Mionzi kwenye chumba cha mashine ya MRI, Job Joshua (kushoto) na Profesa Mseru (wa pili kulia) wakimpatia maelezo Waziri Ummy Mwalimu (katikati) wakati alipotembelea leo hospitali hiyo kukagua utengenezaji wa mashine hiyo.Mkuu wa Idara ya Mionzi, Dk Flora Lwakatare akitoa maelezo kwa Mheshimiwa Waziri kuhusu...

 

11 years ago

Michuzi

JK AZINDUA KITUO CHA MOYO KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI LEO

: Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete na Makamu Mwenyekiti wa chama tawala cha China cha National People's Congress Mhe. Chen Changzhi wakipata maelezo ya utendaji wa mashine katika chumba cha wagonjwa mahututi  (ICU) pamoja na chumba cha uchunguzi kwenye kituo kipya na cha kisasa cha Moyo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kukifungua rasmi leo April 27, 2014

 

9 years ago

Mwananchi

Kocha Mwambusi kutua Yanga leo

Safari ya kocha wa Mbeya City kutua Yanga imeiva baada ya jana kuwaaga rasmi wachezaji wake mazoezini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani