Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kocha Stars awachunia wanahabari

Kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Martin Nooij jana alitoa mpya alipogoma kuzungumza na waandishi wa habari baada ya kuwasili mkoani hapa kwa ajili mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Malawi inayotarajiwa kufanyika Uwanja wa CCM Kirumba, Jumapili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KOCHA MPYA WA TAIFA STARS AONGEZA WACHEZAJI TISA STARS

Kocha mpya wa Taifa Stars, Mart Nooij ameongeza wachezaji tisa katika kikosi hicho kinachojiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Malawi (The Flames) itakayochezwa Mei 4 mwaka huu katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
Wachezaji walioongezwa ni Edward Charles Manyama (JKT Ruvu), Elias Maguli (Ruvu Shooting), Hassan Dilunga (Yanga), Hussein Javu (Yanga), John Bocco (Azam), Kelvin Friday (Azam), Oscar Joshua (Yanga), Nadir Haroub (Yanga) na Shomari Kapombe (AC Cannes, Ufaransa).
Naye beki...

 

11 years ago

GPL

KOCHA MPYA STARS

Martinus Ignatius "Mart" Nooij. Kocha mpya wa Taifa Stars ni Mholanzi, Martinus Ignatius "Mart" Nooij anayetarajiwa kutambulishwa rasmi Machi 24 mwaka huu na Rais wa TFF, Jamal Malinzi! CHANZO NI BIN ZUBEIRY…

 

9 years ago

Habarileo

Kibadeni kocha Kili Stars

SHIRIKISHO la soka Tanzania (TFF) limemteua Abdallah Kibadeni kuwa kocha wa timu ya taifa ya soka ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ kwa ajili ya michuano ya Kombe la Chalenji.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ngasa amkera kocha Stars

WAKATI msafara wa timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars ukitarajiwa kurejea nchini kesho ukitokea kambini nchini Botswana, kuna habari kuwa Kocha Mart Nooij, amemtema mshambuliaji Mrisho Ngasa kwa utovu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kocha wa Taifa Stars afukuzwa

Kipigo cha magoli 3-0 ilichokipata timu ya taifa ya Tanzania , kimesababisha kufukuzwa kwa kocha wa timu hiyo, Mdachi Mart Nooij.

 

10 years ago

Mwananchi

Kocha Stars atoa dozi

Kocha wa Taifa Stars, Mart Nooij amesema ameandaa dozi ya mazoezi ya mara mbili kwa siku kukipa makali kikosi chake kinachojiandaa kuikabili Benin, Jumapili.

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha achimba mkwara Stars

Kocha wa Taifa Stars, Mdachi Martinus Nooijm ameweka wazi kwamba mchezaji atakayejituma mazoezini ndiye mwenye uhakika wa namba katika kikosi chake, bila kujali umaarufu wa majina yao nje ya uwanja.

 

9 years ago

Mtanzania

Kocha Nigeria afurahia sare na Stars

Pg 32*Akiri mambo yalikua magumu upande wao

*Mkwasa asema timu yake imekosa uzoefu tu

NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Nigeria ‘Super Eagles’, Sunday Oliseh, amefurahia matokeo ya suluhu katika mchezo wa kuwania kufuzu kwa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) dhidi ya Taifa Stars ya Tanzania, akieleza wazi kuwa maji yalikua shingoni kwa upande wao.

Stars na Nigeria ambazo zimepangwa kundi G kwenye michuano hiyo, juzi zilitoshana nguvu na kuambulia pointi...

 

9 years ago

Habarileo

Serikali kushughulikia malipo ya kocha Stars

SERIKALI imesema suala la malipo ya kocha wa timu ya soka ya Taifa, Taifa Stars linashughulikiwa na likikamilika itatoa majibu. Taarifa ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo iliyotolewa kwa vyombo vya habari jana ilisema serikali haijakataa kumlipa kocha wa timu iliyopita.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani