Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kocha wa Stars, TFF fikirieni Kombe la Dunia 2018

Mwezi ujao, timu yetu ya soka ya Taifa, ‘Taifa Stars’ inatarajiwa kuikabili Malawi au The Flames katika mchezo wa awali wa kusaka tiketi ya kushiriki Fainali za Kombe la Dunia mwaka 2018 nchini Russia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Golota kuona Kombe la Dunia 2018 uraiani

Mshambuliaji wa zamani wa Simba anayetumikia kifungo cha miaka saba na nusu jela nchini Ethiopia, Joseph Kaniki ‘Golota’, huenda akazitazama fainali za Kombe la Dunia 2018 nchini Russia akiwa uraiani.

 

9 years ago

Dewji Blog

Matokeo ya michezo ya jana ya kufuzu kucheza kombe la dunia Urusi 2018

taifa stars vs nigeria

Kikosi cha timu ya Taifa, Taifa Stars. Timu yetu ya Taifa Stars iliyochezwa jana usiku imeweza kufuta ndoto zake za kusonga mbele baada ya kupata matokeo mabaya zaidi kwa kufungwa 5-0, bao ambazo zinafanya matokeo kuwa 7-2, dhidi ya mabao ambayo Stars iliweza kuyapata awali mchezo uliochezwa nchini na kutoka sare ya 2-2.

CONMEBOL – Amerika Kusini
Columbia 0 – 1 Argentina

Venezuela 1 – 3 Bolivia

Paraguay 2 – 1 Bolivia

Uruguay 3 – 0 Chile

Brazil 3 – 0 Peru

CAF – Afrika
Rwanda 1 – 3 Libya

 

5 years ago

MillardAyo

Hii ndio first eleven ya Brazil Kombe la Dunia 2018, Firmino na Silva Out !!!

Bado miezi kadhaa tuweze kushuhudia fainali za michuano ya Kombe la dunia itakayofanyika nchini Urusi kuanzia mwezi June 2018, kocha wa timu ya taifa ya Brazil Tite kuelekea fainali hizo ametangaza kikosi chake cha kwanza yaani first eleven. Kocha Tite mwenye umri wa miaka 56 ameweka wazi kuwa staa wa Liverpool Roberto Firmino hana nafasi […]

 

9 years ago

Dewji Blog

Ivory Coast kuwakosa Bony, Kalou na Toure katika mchezo wao wa kufuzu kombe la dunia Urusi 2018

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ivory Coast, Wilfred BonyMchezaji wa Ivory Coast, Wilfred Bony

Na Rabi Hume

Timu ya Taifa ya Ivory Coast itakosa huduma ya wachezaji wake watatu muhimu katika mchezo wa kutafuta nafasi ya kucheza kombe la dunia dhidi ya Liberia.

Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Ivory Coast, Michael Dussuyer amewataja wachezaji hao kuwa ni Wilfred Bony, Solomon Kalou na Thomas Toure.

Kocha Dussuyer amesema tayari tayari ameita wachezaji wengine ambao watazipa nafasi zao ambao ni mshambuliaji Roger Assele na beki Arthur Baka ambao...

 

9 years ago

Dewji Blog

SPORT NEWS: Matokeo ya michezo ya jana kutafuta nafasi ya kufuzu kombe la Dunia 2018 na ratiba ya leo Novemba 14!

World Cup 2018

Matokeo ya michezo ya Jana Novemba 13

CONMEBOL Qualification;

Argentina 1 – 1 Brazil

Peru 1 – 0 Paraguay

CONCACAF Qualification;

USA 6 – 1 Saint Vincent

Guatemala 1 – 2 Trinadad and Tobago

Mexico 3 – 0 El Salvador

Costa Rica 1 – 0 Haiti

Jamaica 0 – 1 Panama

CAF Qualification;

Madagascar 2 – 2 Senegal

Comoros 0 – 0 Ghana

Kenya 1 – 0 Cape Verde

Libya 0 – 1 Rwanda

Angola 1 – 3 Afrika Kusini

Niger 0 – 3 Cameroon

Liberia 0 – 1 Ivory Coast

Mauritania 1 – 2 Tunisia

Swaziland 0 – 0 Nigeria

Ratiba...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TFF yapongeza watoto kubeba Kombe la Dunia

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeipongeza timu ya taifa ya watoto wa mtaani kwa kutwaa ubingwa wa dunia kwa kuifunga Burundi mabao 3-1 katika fainali iliyochezwa jijini Rio de Janeiro,...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS WA TFF JAMAL MALINZI LEO AFUNGA FAINALI ZA MICHUANO YA KOMBE LA AIRTEL RISING STARS

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Jamal Malinzi leo amefunga fainali za michuano ya kombe la Airtel Rising Stars katika uwanja Karume jijini Dar es salaam.Akiongea kwakati wa ufungaji michuano ya airtel mbele ya halaiki ya vijana walioshirki michuano hiyo, Malinzi ameishukuru kampuni ya simu ya Airtel kwa kuendelea kudhamini michuano hiyo ambayo inawapa nafasi vijana ya kucheza mpira na kuonekana na baadae kujipatia ajira.“Lengo la TFF ni kushirki fainali za Olimpiki za...

 

10 years ago

CloudsFM

ALIYEKUWA KOCHA MSAIDIZI WA TAIFA STARS AFARIKI DUNIA

Aliye kuwa kocha wa zamani wa timu ya Taifa Star Sylvester Marsh amefariki dunia leo katika Hospitali ya Muhimbili ambapo alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya Saratani ya koo kwa muda mrefu Sylvester enzi za uhai wake alishawahi kufanya kazi kakita timu tofauti tofauti ikiwemo timu ya Toto Africa Mwanza,Kagera Suger ,Azam FC ya Dar Es Salaam na Taifa Stars Mungu ailaze Roho ya marehemu mahali pema peponi Amen

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kenyatta aipeleka Harambee Stars Brazil kwa ziara ya mafunzo kwa kushuhudia kombe la dunia

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameizawadi kwa kuifadhili timu ya taifa ya soka Harambe Stars ziara ya kwenda Brazil kutazama michuano ya kombe la dunia Hafla ya kuikabidhi rasmi ufadhili huo timu hiyo, ilifanyika katika ikulu ya Rais Ijumaa ambapo wachezaji kumi na moja wa timu hiyo walikabidhiwa tiketi za ndege kwenda Brazil.  Kitendo cha Rais bila shaka ni jambo la kutaka kuwatia motisha wachezaji wa timu ya taifa ambao hivi karibuni waliicharaza Djibouti mabao mawili kwa moja katika duru...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani