Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TFF yapongeza watoto kubeba Kombe la Dunia

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeipongeza timu ya taifa ya watoto wa mtaani kwa kutwaa ubingwa wa dunia kwa kuifunga Burundi mabao 3-1 katika fainali iliyochezwa jijini Rio de Janeiro,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Kocha wa Stars, TFF fikirieni Kombe la Dunia 2018

Mwezi ujao, timu yetu ya soka ya Taifa, ‘Taifa Stars’ inatarajiwa kuikabili Malawi au The Flames katika mchezo wa awali wa kusaka tiketi ya kushiriki Fainali za Kombe la Dunia mwaka 2018 nchini Russia.

 

11 years ago

GPL

TIMU YA WATOTO WA MITAANI YA TANZANIA YATWAA KOMBE LA DUNIA BRAZIL

Timu ya Watoto wa Mitaani ya Tanzania ambayo imetwaa Kombe la Dunia. Watoto hao ambao ni mabingwa wakishangilia na kiongozi wao, Mutani Yangwe .…

 

11 years ago

Michuzi

JUST IN: TIMU YA WATOTO WA MITAANI YATINGA FAINALI KOMBE LA DUNIA NCHINI BRAZIL

Timu ya Taifa ya Watoto wa Mitaani ya Tanzania imetinga fainali za mashindano ya Kombe la Dunia la Watoto wa Mitaani baada ya kuichapa Marekani mabao 6-1 katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali uliochezwa jana (Aprili 5 mwaka huu) jijini Rio de Janeiro, Brazil.
Hadi mapumziko Tanzania ilikuwa mbele kwa mabao 4-0. Bao pekee la Marekani katika mchezo huo ambayo hadi nusu fainali ilikuwa haijafungwa lilifungwa dakika za mwisho.
Kwa matokeo hayo, Tanzania inacheza nusu fainali na Burundi....

 

10 years ago

BBCSwahili

TFF yapongeza Shirikisho la soka la Mali

Rais wa Shrikisho la Mpira wa Miguu nchini Tanzania Jamal Malinzi ametuma salama za pongezi kwa Rais Boubacar Diara wa Mali.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU,PINDA AWAANDALIA CHAKULA CHA MCHANA TIMU YA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU,WALIOTWAA KOMBE LA DUNIA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea kutoka kwa nahodha msadidizi wa timu ya soka ya Tanzania ya Watoto wa Mitaani, Frank William, kombe ala ubingwa wa dunia wa soka la watoto wa Mitaani wakati alipowaandalia chakula cha mchana kwenye makazi yake mjini Dodoma Aprili 11,2014. Wachezaji wa Timu ya Soka ya Tanzania ya Watoto wa Mitaani, waliotwaa ubingwa wa Dunia wakipata Chakula cha mchana kilichoandaliwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwa ajili yao kwenye makazi yake mjini Dodoma...

 

10 years ago

Mtanzania

TFF yafunika kombe

MESNA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limeamua kufunika kombe kunusuru aibu iliyokuwa itokee kuhusu sakata la mkataba kati ya Simba na mchezaji Ramadhani Singano ‘Messi’ kwa kuwataka wakutane na kuingia mkataba mpya.
Pande hizo mbili zilikutanishwa jana kufuatia kutokea mgogoro mkubwa baina yao, baada ya Messi kudai mkataba wake wa miaka miwili uliokuwa umalizike mwezi ujao umechezewa na Simba, ambao wanadai unamalizika Julai, mwakani.

Kikao hicho kilichofanyika...

 

11 years ago

Mwananchi

TFF inafunika kombe mwanaharamu apite

Mambo yote yanayofanywa na wanadamu mahali popote ulimwenguni huwa yanapita katika ngazi nne ambazo ni fikra, mpango, uamuzi na utekelezaji.

 

9 years ago

Vijimambo

AZAM, TFF ZARUDISHA KOMBE LA SHIRIKISHO

Rais wa TFF Jamal Malinzi ( kushoto ) akiwa na Mkurugenzi wa Azam media Rhys ThorringtonShirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) kwa udhamini wa kampuni ya Azam Media kupitia Azamtv Sports leo wamezindua kombe la Shirikisho litakalofahamika kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) ambalo litaanza kutimua vumbi mwezi Novemba mwaka huu kwa kushirikisha timu 64 nchini. 


Kurudishwa kwa michuano hii imekua ni faraja kwa wapenzi na wadau wa mpira miguu nchini baada ya kukosekana kwa takribani miaka...

 

9 years ago

StarTV

TFF yapongezwa kwa kuanzisha mashindano ya kombe la FA.

 

Mara baada ya kuanza rasmi kwa mashindano ya kombe la Shirikisho (FA)wadau wa mchezo soka Mkoani Morogoro, wameupongeza uongozi wa TFF, kwa uanzishaji wa mashindano hayo, kwani wanaamini yamelenga katika kuleta maendeleo ya mchezo wa soka nchini, pamoja na kuibua vipaji vya wachezaji ambao walikosa fursa ya kuonekana.

Aidha imeelezwa michuano hiyo itawasaidia wachezaji wachanga na timu za chini, kujijengea uwezo wa kujiamini, kutokana na kupata nafasi ya kukutana na timu zinazoshiriki ligi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani