Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AZAM, TFF ZARUDISHA KOMBE LA SHIRIKISHO

Rais wa TFF Jamal Malinzi ( kushoto ) akiwa na Mkurugenzi wa Azam media Rhys ThorringtonShirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) kwa udhamini wa kampuni ya Azam Media kupitia Azamtv Sports leo wamezindua kombe la Shirikisho litakalofahamika kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) ambalo litaanza kutimua vumbi mwezi Novemba mwaka huu kwa kushirikisha timu 64 nchini. 


Kurudishwa kwa michuano hii imekua ni faraja kwa wapenzi na wadau wa mpira miguu nchini baada ya kukosekana kwa takribani miaka...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

AZAM YAONDOLEWA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA

TIMU ya Azam FC imeondolewa katika Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kufungwa mabao 2-0 na Ferroviario de Beira ya Msumbuji. Kwa matokeo hayo, Azam imeondolewa kwa mabao 2-1 baada ya mechi ya kwanza iliyopigwa Chamazi, Dar kushinda bao 1-0 .

 

9 years ago

Michuzi

UZINDUZI KOMBE LA SHIRIKISHO LEO

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa michuano ya Kombe la Shirikisho (AzamHD Federation Cup) utakaofanyika leo Jumatatu, saa 9 kamili mchana katika uwanja wa Karume ambapo timu ya Abajalo FC itacheza dhidi ya Transit Camp zote za jijini Dar es salaam.Michuano hiyo ilianza kutimua vumbi jana kwa mchezo mmoja kuchezwa katika uwanja wa Karume uliopo mjini Musoma, ambapo Vill Squad ya jijini Dar es salaam iliweza...

 

10 years ago

Mwananchi

KOMBE LA SHIRIKISHO: Tumekosa wote

>Yanga imejijengea mazingira magumu ya kusonga mbele kwenye hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho la Soka Afrika baada ya sare ya bao 1-1 dhidi ya Etoile du Sahel.

 

9 years ago

Michuzi

KOMBE LA SHIRIKISHO RAUNDI YA TATU.

MICHUANO ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) mzunguko wa tatu inatarajiwa kuendelea Januari 12 na wikiendi ya Januari 23-27 kwa timu 32 kuchuana kuwania kufuzu kwa hatua ya 16 bora ya michuano hiyo.
Timu 16 zinazoshiriki Ligi Kuu ya Vodacom zimeingia moja kwa moja mzunguko wa tatu ambapo sasa zinajumuika na timu 16 zilizofuzu kutoka raundi ya pili yenye timu kutoka ligi daraja la kwanza na ligi daraja la pili.
Jumamosi, Januari 12, Majimaji itacheza dhidi ya JKT Mlale uwanja wa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Al Ahly kucheza Kombe la Shirikisho

Timu ya Al Ahly ya Misri watakabiliana na Difaa Hassani Jadida ya Morocco katika mashindano ya Kombe la Shirikisho

 

10 years ago

BBCSwahili

TFF yapongeza Shirikisho la soka la Mali

Rais wa Shrikisho la Mpira wa Miguu nchini Tanzania Jamal Malinzi ametuma salama za pongezi kwa Rais Boubacar Diara wa Mali.

 

10 years ago

BBCSwahili

Yanga ina matumaini kombe la shirikisho.

Klabu ya Yanga Tanzania imesema ina inamatumaini ya kusonga mbele kwenye michuano ya soka kombe la Shirikisho Barani Afrika.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kombe la Shirikisho:Yanga dimbani leo

Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika Yanga watawakabili BDF XI huko Gaborone, Botswana

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani