Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KOMBE LA SHIRIKISHO RAUNDI YA TATU.

MICHUANO ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) mzunguko wa tatu inatarajiwa kuendelea Januari 12 na wikiendi ya Januari 23-27 kwa timu 32 kuchuana kuwania kufuzu kwa hatua ya 16 bora ya michuano hiyo.
Timu 16 zinazoshiriki Ligi Kuu ya Vodacom zimeingia moja kwa moja mzunguko wa tatu ambapo sasa zinajumuika na timu 16 zilizofuzu kutoka raundi ya pili yenye timu kutoka ligi daraja la kwanza na ligi daraja la pili.
Jumamosi, Januari 12, Majimaji itacheza dhidi ya JKT Mlale uwanja wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Timu saba zatinga raundi ya tatu kombe la FA

TIMU saba zimekata tiketi ya kucheza mzunguko wa tatu wa michuano ya kombe la Shirikisho, FA unaotarajiwa kuanza mapema Januari 2016. Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), timu hizo ni Ashanti United, Burkinafaso, Geita Gold, Friends Rangers, Madini FCM, Panone na Rhino Rangers.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ratiba ya raundi ya tatu, FA yatoka

Ratiba ya kombe la FA roundi ya tatu imetoka, mabingwa watetezi Arsenal kukipiga na Hullcity

 

10 years ago

BBCSwahili

Phil Taylor atinga raundi ya tatu.

Mshindi mara kumi na sita wa dunia kwa mchezo wa kurusha vishale Phil Taylor, ameingia hatua ya tatu ya mchezo vishale ya dunia .

 

11 years ago

GPL

MATOKEO RAUNDI YA 3 KOMBE LA FA: LIVERPOOL, CHELSEA ZAPETA, MAN UTD HOI

Wilfried Bony wa Swansea baada ya kufunga bao la pili na la ushindi dhidi ya Manchester United.
Mchezaji wa Manchester United, Danny Welbeck, akiwa kichwa chini miguu juu wakati wa mtanange huo uliomalizika kwa Swansea kushinda 2-1. Manchester United 1-2 Swansea City…

 

9 years ago

Michuzi

UZINDUZI KOMBE LA SHIRIKISHO LEO

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa michuano ya Kombe la Shirikisho (AzamHD Federation Cup) utakaofanyika leo Jumatatu, saa 9 kamili mchana katika uwanja wa Karume ambapo timu ya Abajalo FC itacheza dhidi ya Transit Camp zote za jijini Dar es salaam.Michuano hiyo ilianza kutimua vumbi jana kwa mchezo mmoja kuchezwa katika uwanja wa Karume uliopo mjini Musoma, ambapo Vill Squad ya jijini Dar es salaam iliweza...

 

11 years ago

BBCSwahili

Al Ahly kucheza Kombe la Shirikisho

Timu ya Al Ahly ya Misri watakabiliana na Difaa Hassani Jadida ya Morocco katika mashindano ya Kombe la Shirikisho

 

10 years ago

Mwananchi

KOMBE LA SHIRIKISHO: Tumekosa wote

>Yanga imejijengea mazingira magumu ya kusonga mbele kwenye hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho la Soka Afrika baada ya sare ya bao 1-1 dhidi ya Etoile du Sahel.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kombe la Shirikisho:Yanga dimbani leo

Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika Yanga watawakabili BDF XI huko Gaborone, Botswana

 

9 years ago

Vijimambo

AZAM, TFF ZARUDISHA KOMBE LA SHIRIKISHO

Rais wa TFF Jamal Malinzi ( kushoto ) akiwa na Mkurugenzi wa Azam media Rhys ThorringtonShirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) kwa udhamini wa kampuni ya Azam Media kupitia Azamtv Sports leo wamezindua kombe la Shirikisho litakalofahamika kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) ambalo litaanza kutimua vumbi mwezi Novemba mwaka huu kwa kushirikisha timu 64 nchini. 


Kurudishwa kwa michuano hii imekua ni faraja kwa wapenzi na wadau wa mpira miguu nchini baada ya kukosekana kwa takribani miaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani