Phil Taylor atinga raundi ya tatu.
Mshindi mara kumi na sita wa dunia kwa mchezo wa kurusha vishale Phil Taylor, ameingia hatua ya tatu ya mchezo vishale ya dunia .
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nc61tuPNc3PUviCoGU6ULtWmjR0M1-lVLb9toIxKFw0uI0R8VNkpmAM7kgkwBHSDlpKmZcj3YhKnm-VfqxB-EpqTRyPUa6nu/1.jpg)
ANDY MURRAY ATINGA RAUNDI YA 3 FRENCH OPEN
Andy Murray ametinga raundi ya tatu kwa kumtoa Marinko Matosevic. Andy Murray akikwaana na Marinko Matosevic. Mashabiki wakishuhudia mpambano…
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ynrQnNAOmFw/Voz5m90Um2I/AAAAAAAIQzM/nkPUuY3tobQ/s72-c/facup.png)
KOMBE LA SHIRIKISHO RAUNDI YA TATU.
![](http://2.bp.blogspot.com/-ynrQnNAOmFw/Voz5m90Um2I/AAAAAAAIQzM/nkPUuY3tobQ/s640/facup.png)
Timu 16 zinazoshiriki Ligi Kuu ya Vodacom zimeingia moja kwa moja mzunguko wa tatu ambapo sasa zinajumuika na timu 16 zilizofuzu kutoka raundi ya pili yenye timu kutoka ligi daraja la kwanza na ligi daraja la pili.
Jumamosi, Januari 12, Majimaji itacheza dhidi ya JKT Mlale uwanja wa...
10 years ago
BBCSwahili09 Dec
Ratiba ya raundi ya tatu, FA yatoka
Ratiba ya kombe la FA roundi ya tatu imetoka, mabingwa watetezi Arsenal kukipiga na Hullcity
9 years ago
Habarileo23 Dec
Timu saba zatinga raundi ya tatu kombe la FA
TIMU saba zimekata tiketi ya kucheza mzunguko wa tatu wa michuano ya kombe la Shirikisho, FA unaotarajiwa kuanza mapema Januari 2016. Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), timu hizo ni Ashanti United, Burkinafaso, Geita Gold, Friends Rangers, Madini FCM, Panone na Rhino Rangers.
9 years ago
MichuziBONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' AMDUNDA ALLY MUHURO KWA T.K.O YA RAUNDI YA TATU
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' (kulia) akimshambulia kwa makonde mazito Ally Muhuro wakati wa mpambano wao ulifanyika siku ya jumamosi Class alishinda kwa T.K.O ya raund ya tatu Picha na SUPER D BOXING NEWS
5 years ago
The Guardian21 Mar
Classical music: let the Berlin Phil come to you
Classical music: let the Berlin Phil come to you The Guardian
10 years ago
BBCSwahili14 Apr
Phil Nevile amtetea Yaya Toure
Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya England na Manchester Utd, Phil Neville amemtetea Yaya Toure wa Manchester City.
9 years ago
BBCSwahili29 Oct
Phil Collins aamua kurejelea muziki
Mwanamuziki kutoka Uingereza Phil Collins ametangaza kwamba atarejelea uimbaji na kusema hata anapanga ziara ya mataifa mbalimbali duniani.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sGeqV*sT8d2YBiyNi1*Pkfe9RuCZj9FZtT7IJrRUN9-T4M1oKQVuBzb233amnI7dk0vrBgtG8ojAEB8EDksHARemXBh2w9RJ/1PhilCollins.jpg?width=650)
LEO NI SIKU YA KUZALIWA MWANAMUZIKI PHIL COLLINS
Phil Collins. MWANAMUZIKI kutoka nchini England, Philip David Charles "Phil" Collins leo ametimiza umri wa miaka 63. Collins ambaye pia ni mwimbaji, mwandishi wa nyimbo, mpiga ala mbalimbali za muziki na mwigizaji alizaliwa Januari 30, 1951 jijini London, England. Baadhi ya nyimbo za msanii huyo zilizotamba ni pamoja na: "You Can't Hurry Love", "You Can't Hurry Love", "You Can't Hurry Love", "Against All Odds (Take a...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania