Kolabo za Coke studio zawa gumzo kwa wapenzi wa muziki
-Fid q na Maurice waleta raha
Wapenzi wa muziki nchini ambao wanafuatilia onyesho la Coke Studio kupitia luninga ya Clouds ambalo limeanza kuonyeshwa hivi karibuni wamesema linaleta burudani na Kolabo(mash-up) za mwaka huu imeshirikisha wanamuziki wenye mvuto na kipaji kikubwa.
Wakitoa maoni yao baada ya show ya nguli wa Bongleva Fid Q kutoka nchini na Maurice Kirya kutoka nchini Uganda walisema onyesho hili mwaka huu limezidi kuwa bora na kuleta raha kwa wapenzi wa muziki.
Walisema kuwa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog24 Nov
Coke Studio ni moja ya mafanikio katika safari yangu ya muziki-Ben Paul
.Wanamuziki Ben Paul na Fid Q wanaoshiriki kwenye onyesho la Coke Studio wakiwa katika picha ya pamoja na washabiki wao wakati wa uzinduzi wa onyesho hili jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
![BEN 3](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/11/BEN-3.jpg)
9 years ago
Dewji Blog19 Oct
Shangwe ya Coke studio yaleta furaha kwa wanafunzi mashuleni
Mwanafunzi wa shule ya sekondari ya Sunrise ya mjini Mwanza Janeth Malima akionyesha kipaji cha kucheza kwenye tamasha la Coke Studio lililofanyika shuleni hapo.
Wanafunzi wa shule za sekondari za Bwiru na Sunrise wakionyesha vipaji vyao vya kucheza na kuimba wakati wa tamasha la Coke studio.
Wanafunzi wakifuatilia burudani za tamasha la Coke Studio wakiburudika na kinywaji cha Coca-Cola.
Wanafunzi waliofika kwenye matamasha wakigawiwa kinywaji.
Wanafunzi wakipozi na kinywaji chao cha...
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-heRTGBxvEtQ/VgGR6SqlQZI/AAAAAAAA6MU/B6XBHyc-bKg/s72-c/0P0A9624.jpg)
PUSH UP ZA DK MAGUFULI ZAWA GUMZO NCHINI
![](http://2.bp.blogspot.com/-heRTGBxvEtQ/VgGR6SqlQZI/AAAAAAAA6MU/B6XBHyc-bKg/s1600/0P0A9624.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-1UB3HM059b4/VgGR65-SADI/AAAAAAAA6MY/0IBb4ZjK9tU/s1600/0P0A9625.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-zzZeVVRJfIc/VgGR6DUECTI/AAAAAAAA6MQ/n6wBUuXno5I/s1600/0P0A9630.jpg)
10 years ago
Bongo Movies04 May
Picha za Wema na Idris Zawa Gumzo Mitandaoni
Picha za Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu na mshindi wa BBA 2014, Idris Sultan wakiwa kwenye Instagram party jijini Mwanza zimezua mjadala na maswali mengi kwenye mitandao ya kijamii juu ya ukaribu walionao kwa hivi sasa na picha zao wakiwa ‘batani’.
Kila mtu ana lake kuhusu picha hizi, wapo wanosema hawa ni marafiki tu, huku wengine wakisema Wema anataka kujiweka kwa Idris, wapo wanaosema Wema anafanya hivyo kumrusha roho ‘fulani’.
Lakini yote kwa yote wawili hawa ni marafiki tu , na...
10 years ago
Bongo Movies28 Apr
Tetesi za Ndoa ya Wema Sepetu Zawa Gumzo Mjini!
Ubuyu Mpya unaoenea kwa siri kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa, ni kuhusu ndoa ya super star wema sepetu inayotarajiwa kufungwa ivi karibuni.
Chanzo cha ubuyu kinaeleza kuwa hatua zote muhimu zimeshachukuliwa, kinachosubiriwa tu ni bwaba harusi huyo mtarajiwa kuchukua jiko lake bila kipingamizi chochote. Mpaka sasa ivi bado mume huyo mtarajiwa wa staa huyo hajawekwa wazi kwa kuogopa watu wabaya kumfanyia fitna.
Mpaka sasa management yake inafanya siri kubwa kuhusu tukio hilo muhimu...
10 years ago
Bongo Movies05 Jan
Picha za Wolper Akifanya Mazoezi Zawa Gumzo Mtandaoni!!!
Picha za mrembo na mwigizaji wa sinema za kibongo, Jackline Masawe ‘Wolper’ alizoziweka mtandaono akiwa nafanya mazoezi ya viungo zimezua mjadala na maswali mengi.
Wolper ambae kwasaa anaonekana kuwa ‘Bonge’ , wiki iliyopita alitangaza kuanza kufanya mazoezi ili aurudie mwili wake wazamani, toka juzi amekuwa akitupia mtandaoni picha hizo hapo juu akiwa mazoezini.
Mbali na mashabiki wake wengi kumpamoyo kuwa aendelee kukomaa na mazoezi, wapo ambao waliona kama mwanadada japokuwani kweli...
10 years ago
Bongo Movies06 Feb
Picha za Wema na Ommy Dimpoz Zawa Gumzo Mtandaoni!!!
Siku ya jana kwenye kurasa mbalimbali za watu maarufu kwenye mtandao wa INSTAGRAM walibandika picha hizi za mwanadada Wema Sepetu akiwa na Ommy Dimpoz wakiwa katika mapozi tofauti tofauti.
Kila zilipowekwa, wengi wa bonyeza kitufe cha kuzipenda na wengine waliandika maoni yao huku wengi wakiwasifia kwa jinsi walivyopendeza, na wengine walienda mbali zaidi kuwa wamependezana hivyo ingependeza hii iwe ni Le PROJECT mupyaaa.
Ila baadhi ya watu walibuka na kuponda bila sababu kibaya zaidi ni...
10 years ago
Bongo Movies11 Apr
Picha: Hizi za Hamisa Mobeto Akiwa Mjamzito Zawa Gumzo
Picha za mwanamitindo ambaye pia amewahi kucheza filamu kadhaa, Hamisa Mobeto akiwa na ujauzitoo zimewashangaza wengi leo huko kwenye mtandao wa Instagram kwani sio tu ameonenaka na ujauzito bali habari zilizotoka na picha hizo ni kwamba mwanadada huyo tayari ameshajifungua mtoto wa kike siku kadhaa zilizopita.
Tofauti na mastaa wengi , ujauzito wa staa huyu ulikuwa siri na wengi hatukujua. Hongera sana Hamisa Mobeto.
Mzee wa Ubuyu