Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kombe la Mapinduzi hatihati

2NA MOHAMED MHARIZO, DAR ES SALAAM

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu nchini (TFF), limepanga kuzuia timu zake kushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar, kutokana na Chama cha Mpira wa Miguu visiwani humo (ZFA), kukabiliwa na kesi mahakamani.

Rais wa wa TFF, Jamal Malinzi, amesema Dar es Salaam jana katika mahojiano maalumu na MTANZANIA kuwa wana kila sababu ya kuzizuia timu zinazoshiriki Ligi Kuu ya Tanzania Bara, kwenda Zanzibar kushiriki Kombe la Mapinduzi.

Alisema ZFA ina usajili wake...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Brazil 2014: Suarez hatihati kuendelea Kombe la Dunia

Mchezaji wa Uruguay, Luis Suarez anatarajiwa kukumbana na adhabu kali ambayo itasababisha ashindwe kuendelea na fainali za Kombe la Dunia 2014, ikiwa itathibitika kuwa alimng’ata kwa makusudi Giorgio Chiellini wa Italia.

 

11 years ago

Mwananchi

KCCA wateka Kombe Mapinduzi

Bao la mshambuliaji Herman Waaswa lilitosha kuipa ubingwa wa Kombe la Mapinduzi timu ya KCCA ya Uganda baada ya kuichapa Simba 1-0 katika mechi ya fainali iliyofanyika jana kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

 

10 years ago

BBCSwahili

Yanga yaaga kombe la Mapinduzi

Yanga imeng'oka katika michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kufungwa bao 1-0 na JKU.

 

11 years ago

GPL

Logarusic: Kombe la Mapinduzi si ishu

Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic. Na Mwandishi Wetu
KOCHA Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic, amesema kikosi chake kutwaa Kombe la Mapinduzi si ishu kubwa sana kwake. Logarusic ambaye ameungana na Simba akitokea kwao Croatia, amesema ataitumia michuano hiyo kama sehemu ya kuboresha kikosi hicho. “Tunacholenga sisi ni Ligi Kuu Bara. Michuano hii ni kama ya kirafiki, tunaweza kuchukua au kutochukua ubingwa na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Azam yatema kombe Mapinduzi

MABINGWA wa Kombe la Mapinduzi, Azam FC, jana walivuliwa taji baada ya kukubali kichapo cha mabao 3-2 kutoka timu ya Halmashauri ya Jiji la Kampala Uganda (KCC), katika mechi ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Simba SC mabigwa wa kombe la mapinduzi

Timu ya Simba Sc imeibuka kidedea kwa kutwaa kombe la mapinduzi kwa mikwaju 4-3 dhidi ya Mtibwa Sugar.

 

9 years ago

Habarileo

Simba wapania Kombe la Mapinduzi

TIMU za Simba na Azam zimepania kuchukua ubingwa wa Kombe la Mapinduzi kwa kuhakikisha zinapambana mwanzo hadi mwisho na kushinda kila mchezo ulioko mbele yao.

 

10 years ago

GPL

SIMBA SC YATWAA KOMBE LA MAPINDUZI ZANZIBAR

Mshambuliaji wa Simba SC, Danny Sserunkuma akiwatoka mabeki wa Mtibwa Sugar wakati wa mechi ya fainali Kombe la Mapinduzi usiku huu huko Zanzibar. Patashika wakati wa mtanange huo.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Kombe la Mapinduzi kuanza Januari Mosi

Michuano ya kombe la mapinduzi kuanza kutimua vumbi Zanzibari januari mosi mpaka Januari 13 mwakani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani