KOMEDIANI JOAN RIVERS AFARIKI DUNIA
Marehemu Joan Rivers enzi za uhai wake. KOMEDIANI maarufu nchini Marekani, Joan Rivers amefariki dunia jana akiwa na miaka 81 baada ya kusumbuliwa na maradhi ya moyo. Binti wa marehemu Joan aitwaye Melissa Rivers. Joan amefariki akiwa katika Hospitali ya Manhattan nchini Marekani. Taarifa iliyotolewa na binti wa marehemu aitwaye Melissa Rivers ilisema mama yake alifariki dunia kwa amani akiwa amezungukwa na familia… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili05 Sep
10 years ago
Dewji Blog04 Sep
Joan Rivers, Comedy Pioneer and TV Host, Dies at 81
Joan Rivers — who made the world laugh for over 50 years with her jokes, put-downs and one-liners — has died in NYC … a week after her heart suddenly stopped beating during vocal cord surgery.
She was 81.
Joan’s daughter Melissa Rivers took her mom off life support so she could pass comfortably in a private room.
The death has been reported to the NYC Medical Examiner’s Office — and officials tell TMZ the office will open an investigation to determine cause of death.
Melissa just issued a...
11 years ago
Mwananchi22 Feb
Mtume aliyetabiri mwisho wa dunia afariki dunia
11 years ago
Tanzania Daima08 Jun
Mwanakatwe afariki dunia
KATIBU Mkuu wa zamani wa Chama cha Soka Tanzania (FAT, sasa Shirikisho la Soka Tanzania – TFF), Kanali mstaafu Ali Hassan Mwanakatwe amefariki dunia jana asubuhi katika Hospitali Kuu ya...
10 years ago
CloudsFM20 Feb
Mez B afariki Dunia
10 years ago
CloudsFM21 Oct
MSANII YP AFARIKI DUNIA
Msanii aliyekuwa mkali wa Bongo Fleva, YP kutoka kundi la wanaume Family amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Meneja wa kundi hilo Said Fella amethibitisha kutokea kwa msiba wa msanii huyo, aliyefariki kwa maradhi ya kifua katika hospitali ya Temeke, Dar es Salaam.
10 years ago
GPLY-P WA TMK AFARIKI DUNIA
10 years ago
Uhuru Newspaper08 Apr
Dk. Mhita afariki dunia
NA MWANDISHI WETU ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA),Dk. Mohamed Mhita, amefariki dunia. Dk. Mhita ambaye pia ni mume wa Mbunge wa Kondoa Kaskazini, Zabein Mhita, anatarajiwa kuzikwa leo baada ya kuwasili kwa mkewe, aliyeko India kwa matibabu. Akizungumza na waandishi wa habari, mtoto wa marehemu, Muhaji Mhita alisema baba yake aliugua maralia, Jumatatu alfajiri na kupelekwa hospitali, ambapo alifariki usiku. Alisema walipofika hospitali walibaini kuwa shinikizo la...
11 years ago
Mwananchi14 Apr
Gurumo afariki dunia