Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kongamano la kujadili jamii za kiasili (indigenous people) lafunguliwa Dar

001

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi , Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani  (Mb) akitoa hotuba yake wakati akifungua  kongamano la siku mbili la bara la Afrika la kujadili masuala ya jamii za kiasili (indigenous people) lililofanyika katika Hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam.(PICHA NA PHILEMON SOLOMON).

Kongamano hilo linajadili changamoto zinazowakabili watu wa jamii za asili na namna ya kuboresha maisha ya jamii hizo bila kupoteza uasilia wao huku mada kuu ikiwa ni suala la...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

kongamano la kimataifa la wanasayansi kujadili maeneo ya ardhioevu na yale lafunguliwa jijini Dar

Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo, Utafiti na Ubadilishanaji Maarifa wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Florence Luoga (aliyesimama) akiongea wakati wa kufungua kongamano la kimataifa la wanasayansi kujadili maneneo ya ardhioevu na yale ambayo mito inakutana na bahari lililofanyika jana Jumanne jijini Dar es Salaam. Wengine ni waratibu wa kongamano hilo, Mkurugenzi wa Taasisi ya Uthamini Raslimali (IRA) ya UDSM, Prof. Amos Majule (kushoto); Dk. Catherine Masao (wa pili kulia)...

 

11 years ago

Michuzi

kongamano la kupata maoni ya wadau kuhusu rasimu ya sera ya Petroli lafunguliwa leo jijini Dar

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akifungua kongamano la siku moja la kupata maoni ya wadau kuhusu rasimu ya sera ya Petroli linalofanyika leo katika ukumbi wa mikutano uliopo Hoteli ya New Africa jijini Dar es Salaam. Kongamano hilo limejumuisha wadau wa mafuta na gesi, wabunge, viongozi wa dini na mikoa iliyofanyiwa utafiti wa mafuta na gesi na vyama vya siasa. Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro (hayupo pichani) wakati akifungua kongamano...

 

10 years ago

Michuzi

KONGAMANO LA ELIMU YA JUU LAFUNGULIWA JIJINI ARUSHA

Afisa Masoko wa Kampuni ya Global Education Link (GEL) wa Tawi la Arusha, Regina Lema akitoa maelezo kwa mmoja ya wageni waliofika katika maonyesho yaliyoandaliwa na wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kwa kushirikiana na Tume ya Vyuo Vikuu nchini, Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) pamoja na Kamati ya Wakuu wa vyuo Vikuu nchini (CVCPT) yanayofanyika jijini Arusha sambamba na kongamano la saba la elimu ya juu lililoanza leo Oktoba 1 -2, 2015.Chuo Kikuu cha Muhimbili cha jijini Dar...

 

10 years ago

Michuzi

KONGAMANO LA KWANZA LA SERIKALI MTANDAO LAFUNGULIWA ARUSHA

Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma,Bw.Hab Mkwizu akifungua Kongamano la kwanza la Serikali Mtandao jijini Arusha leo.Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha(RAS)Addoh Mapunda akizungumza kwenye ufunguzi mapema leo.Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Serikali Mtandao,Dk Jabiri Bakari akizungumza kwenye kongamano la siku tatu jijini Arusha ambalo limewakusanya maafisa zaidi ya 600 kujadili mikakati ya kuongeza matumizi ya mtandao katika shughuli za kila siku.

Wajumbe...

 

11 years ago

Michuzi

KONGAMANO LA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA LAFUNGULIWA RASMI LEO

Mgeni Rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI akifungua Kongamano la Miaka 50 ya Muungano katika Utumishi wa Umma 2014 katika Kituo cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere mapema leo. Mgeni Rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI akifungua Kongamano la Miaka 50 ya Muungano katika Utumishi wa Umma 2014 katika Kituo cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere mapema leo. Kaimu Katibu Mkuu Utumishi Bw.HAB Mkwizu akiongea kabla ya ufunguzi rasmi wa Kongamano la Miaka 50 ya...

 

11 years ago

Dewji Blog

Jumuiya ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA) Imeandaa Kongamano la kujadili mchakato wa kupata Katiba mpya

009

Jumuiya ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA), Imeandaa Kongamano la kujadili mchakato wa kupata Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kongamano hilo litafanyika tarehe 27 Julai 2014 siku ya Jumapili kuanzia saa 8 mchana ndani ya ukumbi wa Nkrumah wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kongamano hilo litarushwa moja kwa moja na kituo cha televisheni cha Star TV

Mada kuu ya kongamano hilo ni, “Tujadili na Kutafakari Mchakato wa Katiba Mpya kwa Manufaa ya Taifa Letu”.

Watoa Mada katika...

 

11 years ago

Michuzi

KONGAMANO LA UWEZESHAJI BIASHARA KWA NCHI CHANGA ZA AFRIKA LAFUNGULIWA, MWANZA

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Evarist Ndikilo, kwa niaba yaya Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt Abdallah Kigoda, akifungua Kongamano la uwezeshaji biashara baada ya mkutano mkuu wa Bali kwa nchi changa linalofanyika Mkoani Mwanza, Mei 16 hadi 16, 2014. Meza kuu katika Kongamano hilo. Viongozi Wakuu katika Kongamano hilo, Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Mtangamano wa Biashara Bw Lucas Saronga, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Evarist Ndikilo, Profesa Francis...

 

11 years ago

Michuzi

KONGAMANO LA NNE LA MAKATIBU MUHTASI TANZANIA (TAPSEA) LAFUNGULIWA LEO JIJINI MWANZA


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji na Uwezeshaji ambaye pia ni Mlezi wa Chama cha Makatibu Muhtasi Tanzania (TAPSEA),Mh. Dk. Mary Nagu akihutubia wakati wa ufunguzi wa Kongamano la nne la Makatibu Muhtasi Tanzania,leo Julai 11,2013 jijini Mwanza.Mh. Nagu katika hotuba yake,amesema atawasimamia Makatibu hao na kuhakikisha wanaanzisha Benki yao ambayo itawawezesha kuweka abiba zao na kukopeshana pia.
Mgeni Rasmi katika Kongamano la Makatibu Muhtasi Tanzania na Mshauri wa Mambo ya...

 

10 years ago

Michuzi

DUKA LA ZURII HOUSE OF BEAUTY LAFUNGULIWA RASMI NDANI YA DAR FREE MARKET JIJINI DAR

 Mgeni rasmi Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Arusha, Mh. Catherine Magige  akikata utepe katika ufunguzi wa ZuRii House of Beauty duka jipya na la kisasa la vipodozi lililofunguliwa rasmi Jumatatu 12 Jan 2015 . kulia ni Mkurugenzi wa ZuRii Fashion & Beauty Boutique, Jestina George. 
   Mkurugenzi wa ZuRii Fashion & Beauty Boutique, Jestina George  akitoa ufafanuzi kwa Mgeni rasmi Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Arusha, Mh. Catherine Magige kuhusu bidhaa zilizopo kwenye duka la ZuRii...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani