KONGAMANO LA SIKU TATU ZA MATUMAINI
![](http://4.bp.blogspot.com/-dmQ0ZS7jbQE/VIlVQM7AsJI/AAAAAAABGf0/LvQvjCHaTkE/s1600/full%2Bpage%2Badvert.jpg)
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-dmQ0ZS7jbQE/VIlVQM7AsJI/AAAAAAABGf0/LvQvjCHaTkE/s72-c/full%2Bpage%2Badvert.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-TNccvKO2mJg/VcirFddxCPI/AAAAAAAD3Ck/nXcom-fHHf0/s72-c/diaspora%2Btentative%2Bprogramme%2B-%2BFinal%2B1-1.jpg)
10 years ago
GPLKONGAMANO LA SIKU MBILI VITA DHIDI YA UKATILI KWA WANAWAKE NA WALEMAVU LILILOANDALIWA NA SHIRIKA LA SEED TRUST LAFANYIKA MKOANI MOROGORO
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Manejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani akihutubia wakati akifungua Kongamano la Majadiliano kuhusiana na vitendo vya ukatili kwa wanawake na walemavu Mkoani Morogoro leo. Kongamano hilo ambalo limeshirikisha wadau mbalimbali kutoka baadhi ya mikoa ya Tanzania limeandaliwa na Shirika la Seed Trust la mjini Morogoro kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya...
10 years ago
Michuzi13 Oct
11 years ago
GPLVODACOM ILIVYONOGESHA TAMASHA LA MATUMAINI JUZI
Mmoja wa Mashabiki waliodhuria Usiku wa Tamasha la Matumaini akiwa mwenye furaha katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam Msanii wa Muziki wa kizazi kipya, Amad Alli (maarufu) Madee akiwapagawisha mashabiki wake wakati wa  Usiku wa Tamasha la Matumaini lililofanyika katika  Uwanja wa Taifa Dar es Salaam na kuzaminiwa na Kampuni ya Vodacom Tanzania.  … ...
10 years ago
GPLKONGAMANO LA KIMATAIFA LA WATOTO NA VIJANA WENYE ULEMAVU KUTOKA NCHI TATU, TANZANIA, RWANDA NA SWEDEN
Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu Eng.Christopher Chiza(katikati)akisoma hotuba iliyoandaliwa katika kongamano hilo (kulia)balozi wa Swideni wa Tanzania Lennarth Hjelmaker(kushoto)Askofu mkuu wa makanisa ya FPCT David Batenzi.…
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cwh76f0JjblkrHz7Au2q8aXxuHPuUesodDrMhu9mHS9reKk9xPajZ0fleY6i9wThp-SV54lPsvJtiMmrrjfTKATISflTH-e1/bongomuvi.jpg)
TAMASHA LA MATUMAINI IMEBAKI SIKU MOJA PEKEE
Na Nassor Gallu
SIKU zinahesabika kuelekea tamasha babkubwa na la kihistoria la Usiku wa Matumaini, linalotarajiwa kufanyika keshokutwa Ijumaa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar. Kikosi cha Bongo muvi. Kuelekea tamasha hilo, tayari mkali wa ngoma ya Johnny, Yemi Alade kutoka Nigeria, amedondoka jana jijini Dar kwa ajili ya kuwasha moto wa burudani kwa kuachia shoo kali jukwaani kwa kupigwa ‘tafu’ na mastaa kibao...
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/07/DSC_0017.jpg)
WANAHABARI: ANDIKENI HABARI ZA VVU NA UKIMWI ZENYE KULETA MATUMAINI
Mshauri na Mkufunzi wa Redio Jamii kutoka UNESCO, Bi. Rose Haji Mwalimu akitoa mada inayohusu mchango wa vyombo vya habari katika kuhamasisha matumizi rafiki ya huduma za kuzuia VVU na Huduma za Afya ya Uzazi kwa Vijana wakati warsha ya siku tatu ya mradi mpya kuhamasisha Vijana kuhusu udhibiti wa Maambukizi mapya ya VVU iliyofanyika hivi karibu katika kituo cha Habari na Mawasiliano Sengerema, Mwanza chini ya mradi wa SHUGA...
10 years ago
BBCSwahili29 May
Siku ya pili ya kongamano la FIFA imeaanza
Siku ya pili ya Kongamano la kila mwaka la FIFA imeanza huko Zurich Uswisi.Leo ndiyo siku ya Uchaguzi wa Urais
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania