Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAMASHA LA MATUMAINI IMEBAKI SIKU MOJA PEKEE

Na Nassor Gallu
SIKU zinahesabika kuelekea tamasha babkubwa na la kihistoria la Usiku wa Matumaini, linalotarajiwa kufanyika keshokutwa Ijumaa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar. Kikosi cha Bongo muvi. Kuelekea tamasha hilo, tayari mkali wa ngoma ya Johnny, Yemi Alade kutoka Nigeria, amedondoka jana jijini Dar kwa ajili ya kuwasha moto wa burudani kwa kuachia shoo kali jukwaani kwa kupigwa ‘tafu’ na mastaa kibao...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

USIKU WA MATUMAINI; TAMASHA NAMBA MOJA TANZANIA

Mwaka 2012, Tamasha la Usiku wa Matumaini (Night of Hope), lilikuwa kubwa sana, 2013 likatisha zaidi kutokana na muundo mzima wa burudani, jumlisha na historia iliyoandikwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete. Staa wa Bongo Movie, Irine Uwoya Dk. Kikwete alikuwa mgeni rasmi, alizungumza na umati mkubwa uliohudhuria lakini hakuishia hapo, aliandika historia pale alipokagua wachezaji wa timu za...

 

11 years ago

Michuzi

Mahojiano ya moja kwa moja na msanii Anna Mwalagho kuhusu Tamasha lijalo

Anna Mwalagho.
Photo Credits Anna Mwalagho Facebook page  Karibu katika mahojiano mafupi na ya moja kwa moja kati ya msanii Anna Mwalagho na Kwanza Production kwenye kipindi cha NJE-NDANI Jumamosi Juni 14, 2014 Amezungumzia tamasha kubwa linaloendelea ambalo atatumbuiza pamoja na kikundi chake kwa siku tatu
Tamasha hilo linaandaliwa kwa ushirikiano wa watu wa Oman na maktaba ya sanaa za waAfrika hapa Washington DC Karibu usikilize

 

10 years ago

Bongo5

Ushirikiano huu wa Afrika Mashariki ndio njia pekee ya kula sahani moja na Wanaijeria!

Kwa mtazamo wetu, Afrika Mashariki haijawahi kuwa na ushirikiano wa karibu kama tunaouona sasa. Hebu tuangalie kwa ufupi.. Turudi nyuma hadi pale Victoria Kimani alipowashirikisha Diamond Platnumz na Ommy Dimpoz kufanya wimbo Prokoto. Shaa alichaguliwa na kituo cha Citizen TV kuwa host wa show yao ya Sakata Mashariki na kiukweli watazamaji wamempokeza vizuri. Shaa huyo […]

 

9 years ago

Dewji Blog

Hernandez aweka wazi kilichomkimbiza Man United, VLG alimpa asilimia moja pekee ya kucheza

during the UEFA Champions League quarter-final second leg match between Real Madrid CF and Club Atletico de Madrid at Bernabeu on April 22, 2015 in Madrid, Spain.

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United, Javier Hernandez “Chicharito” (pichani) ameweka wazi sababu iliyomfanya aondoke Manchester United kuwa ni baada ya kocha wa timu hiyo Louis Van Gaal kumwambia kuwa hana nafasi katika kikosi chake na kama akimpa nafasi basi ana asilimia moja pekee kucheza katika nafasi ya ushambuliaji ambayo ndiyo anacheza mchezaji huyo.

Akinukiliwa na gazeti la Hispania la Marca, Hernandez alisema kuwa kocha LVG alimuita kuzungumza nae...

 

11 years ago

GPL

WASHIRIKI WA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI WATAMBIANA

Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo (katikati), ambaye kampuni yake inaandaa tamasha hilo, akizungumza kwenye mkutano huo. Mkutano ukiendelea.…

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014 NI VITA

Umewahi kujiuliza nini kitatokea endapo waheshimiwa wabunge, Hamis Kigwangala wa Nzega na Mwigulu Nchemba wa Iramba Magharibi wakiziweka suti zao pembeni na kupanda ulingoni, nani atamkalisha mwenzake? Itakuwa vita! D.k Hamis Kigwangala mbunge wa Nzega. Basi hicho ndicho kitakachotokea kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini litakalotimua vumbi Agosti 8, 2014 (Nane Nane) kwenye Uwanja wa Taifa ambapo waheshimiwa hao watanyukana...

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA MATUMAINI 2014 FULL MSISIMKO

TAMASHA la Usiku wa Matumaini, Dar (Dar Night of Hope 2014) lililofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar lilikuwa ni full msisimko kutokana na matukio mbalimbali yaliyofanyika. Mgeni rasmi Dk.Mohamed Ghalib Bilal akikagua timu ya wabunge wa Simba. Makamu wa Rais Mh. Mohamed Gharib…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani