Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VODACOM ILIVYONOGESHA TAMASHA LA MATUMAINI JUZI‏

Mmoja wa Mashabiki waliodhuria Usiku wa Tamasha la Matumaini akiwa mwenye furaha katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam Msanii wa Muziki wa kizazi kipya, Amad Alli (maarufu) Madee akiwapagawisha mashabiki wake wakati wa  Usiku wa Tamasha la Matumaini lililofanyika katika  Uwanja wa Taifa Dar es Salaam na kuzaminiwa na Kampuni ya Vodacom Tanzania.  … ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

Picha: Vodacom ilivyonogesha tamasha la Matumaini Juzi

Mashabiki wa bondia, Mada Maugo wakimwagia maji baada ya mwanamasumbwi huyo kushinda pambano lake zidi ya bondia Thomas Mashari wakati wa Tamasha la Usiku wa Matumaini lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam juzi Mmoja wa Mashabiki akiwa na furaha katika Tamasha la Usiku wa Matumaini lililodhaminiwa na […]

 

11 years ago

Michuzi

VODACOM ILIVYONOGESHA TAMASHA LA MATUMAINI JIJINI DAR

Mmoja wa Mashabiki akiwa na furaha katika Tamasha la Usiku wa Matumaini lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam juzi.Msanii wa Muziki wa kizazi kipya, Ahmad Alli (maarufu) Madee akiwapagawisha mashabiki wake wakati wa Tamasha la Usiku Matumaini lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam juzi.Msanii wa Muziki wa kizazi kipya, Roma Mkatoliki akiwapagawisha mashabiki wake wakati wa Tamasha la Usiku wa...

 

10 years ago

Vijimambo

SEPP BLATTER AACHIA NGAZI KUONGOZA CHOMBO KIKUBWA KABISA KINACHOONGOZA MPIRA WA MIGUU DUNIA FIFA LICHA YA JUZI JUZI TU KUSHINDA KWA KISHINDO


Kutoka na tuhuma za rushwa ilichokikumba chama cha soka duniani FIFA rais wake ajiuzulu. Habari zaidi kuwaletea kwaiyo endelea kukodolea macho blog yako ya jamii Vijimambo.

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA MATUMAINI 2014 FULL MSISIMKO

TAMASHA la Usiku wa Matumaini, Dar (Dar Night of Hope 2014) lililofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar lilikuwa ni full msisimko kutokana na matukio mbalimbali yaliyofanyika. Mgeni rasmi Dk.Mohamed Ghalib Bilal akikagua timu ya wabunge wa Simba. Makamu wa Rais Mh. Mohamed Gharib…

 

11 years ago

GPL

WASHIRIKI WA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI WATAMBIANA

Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo (katikati), ambaye kampuni yake inaandaa tamasha hilo, akizungumza kwenye mkutano huo. Mkutano ukiendelea.…

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014 NI VITA

Umewahi kujiuliza nini kitatokea endapo waheshimiwa wabunge, Hamis Kigwangala wa Nzega na Mwigulu Nchemba wa Iramba Magharibi wakiziweka suti zao pembeni na kupanda ulingoni, nani atamkalisha mwenzake? Itakuwa vita! D.k Hamis Kigwangala mbunge wa Nzega. Basi hicho ndicho kitakachotokea kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini litakalotimua vumbi Agosti 8, 2014 (Nane Nane) kwenye Uwanja wa Taifa ambapo waheshimiwa hao watanyukana...

 

11 years ago

GPL

Azam, Mtibwa kunogesha Tamasha la Matumaini

Kikosi cha timu ya Azam, FC Na Khadija Mngwai
TIMU za Azam FC na Mtibwa Sugar, zinatarajiwa kunogesha Tamasha la Usiku wa Matumaini litakalofanyika Agosti 8, mwaka huu jijini Dar es Salaam kwa kushuka dimbani siku hiyo kuonyeshana ubabe. Tamasha hilo litahusishwa na burudani kibao ikiwa ni pamoja na mechi za Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa upande wa Simba na Yanga ambao wataonyeshana ubabe kwa kujua nani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani